Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Slaa lately amekuwa mtu wa kujiabisha sana.

Nadhani baada ya watu kujua ufisadi wake sasa anajitahidi kutafuta njia nyingine ya kutoka, lakini mwisho wake anaharibu!

Kuna watu walimshauri apumzike siasa akakubali ila Josephine ndio anamshinikiza kuendelea na siasa kwa sababu anadhani kuna siku atakuwa first lady!!!
kupumzika siasa ni jk,kila kitu ni kuambiwa..
 
huyu babu kweli amechanganyikiwa. baada ya watanzania kumchoka na umaarufu wake kupungua, sasa anakuja kwa stail hiyo?
Nazidi kuamini kuwa ccm wako wehu na ama ukiwa mpenzi wa ccm una mapungufu kichwani.

Mungu ampe afya njema dr.slaa kwa kazi anayofanya kwa ajili ya taifa lake.
 
mkuu, dr slaa hafanyi kwa manufaa ya taifa bali ni kutokana na msukumo wa Josephine na mtoto mjukuu wake Junior
 
Slaa lately amekuwa mtu wa kujiabisha sana.

Nadhani baada ya watu kujua ufisadi wake sasa anajitahidi kutafuta njia nyingine ya kutoka, lakini mwisho wake anaharibu!

Kuna watu walimshauri apumzike siasa akakubali ila Josephine ndio anamshinikiza kuendelea na siasa kwa sababu anadhani kuna siku atakuwa first lady!!!

Mnaombea sana Dr.Slaa aache siasa ili mpumue.Kwa taarifa yenu hali hii itazidi kuwawia vigumu huko tuendako.Ukweli.Mnaujua

Jinsi mlivyokosa akili na busara mnadhani kumchafua ndio suluhisho.Poleni
 
mkuu, ahsante sana. Tatizo dr slaa amechanganya ya Kaisari na ya Mungu. kama angeamua kuwa padre kama alivyoanza na akaendelea kuwa hivyo hadi sasa, hizi pressure zinazomkumba sasa angeepukana nazo. huyu kibabu ana mwisho mbaya sana. wenzake wanamaliza na Mungu yeye anamaliza na shetani. na hakuna mwisho mbaya kama kumaliza na shetani

Mlimkimbia Kwenye Mdahalo hadi leo hallucination zinawaandama.Badala ya kutukana matusi mngejisomea maarifa ili mjenge hoja.Hakuna umaarufu katika uzuzu na umbumbumbu.
 
Halafu nyinyi Chadema Diaspora si ndio Josephine aliwaita WAKIMBIZI?
 
mkuu, ahsante sana. Tatizo dr slaa amechanganya ya Kaisari na ya Mungu. kama angeamua kuwa padre kama alivyoanza na akaendelea kuwa hivyo hadi sasa, hizi pressure zinazomkumba sasa angeepukana nazo. huyu kibabu ana mwisho mbaya sana. wenzake wanamaliza na Mungu yeye anamaliza na shetani. na hakuna mwisho mbaya kama kumaliza na shetani

Slaa kituko sana. Kaenda Alabama kukutana na wanasiasa wasiounga mkono wamarekani wote kupatiwa bima nafuu ya afya halafu anawaambia chama chake kinataka kutoa huduma ya afya bure kwa watanzania wote. Jamaa walimuona zinga la chizi. Huduma ya bei nafuu kwa watu wao wanaipinga halafu yeye anawaambia huduma ya BURE.

Kule Slaa alionekana kama object of touristic attraction tu...
 
Mlimkimbia Kwenye Mdahalo hadi leo hallucination zinawaandama.Badala ya kutukana matusi mngejisomea maarifa ili mjenge hoja.Hakuna umaarufu katika uzuzu na umbumbumbu.
​wanategemea kuongoza nchi ka pesa za wauza unga unafikiri ccm ni wanasiasa? ccm alikufa nayo nyerere waliobai wote ni vibaka.
 
Slaa kituko sana. Kaenda Alabama kukutana na wanasiasa wasiounga mkono wamarekani wote kupatiwa bima nafuu ya afya halafu anawaambia chama chake kinataka kutoa huduma ya afya bure kwa watanzania wote. Jamaa walimuona zinga la chizi. Huduma ya bei nafuu kwa watu wao wanaipinga halafu yeye anawaambia huduma ya BURE.

Kule Slaa alionekana kama object of touristic attraction tu...
kule wale wagonjwa wa dr alex mko wengi umetoroka lini milembe wee:A S-confused1:
 
Ni unafiki kujifanya kujali nyumbani wakati hutaki kurudi nyumbani, hao ma diaspora wanatupotezea muda, walishatukimbia wakona huko kwawazungu ndio bora , sasa wanaanza tena kuhangaika na mambo ya nyumbani, kama mnapenda sana nyumbani si mrudi tu, mjenge nchi kwa elimu mlizopata huko??? halafu utakuta watu kama hao wengi wao papers zao hazijakaa vizuri kazi kuhangaika tu..huo ndio tunaoita unafiki, tengenezeni kwanza papers zenu ndio muanze kujihusisha na mambo yetu huku nyumbani
 
stroke,

This is ridiculous......!

Miongoni mwa waliopo nje ni Wanafunzi,Wafanyabiashara,wafanyakazi na wengine wanafanya research.Pia kuna uwezekano kuwa wengine wamejilipua

Hata hivyo kwa Wafanyakazi waliopo huko apart from wanaofanya kazi ubalozini au kwenye taasisi za kimataifa kama UN n.k wafanyakazi wengine wangependa kufanya kazi humu na kutumia utaalamu wao lakini serikali hii ni adui wa wasomi.Ni serikali ya vilaza tu

Marekani kwa kiasi kikubwa inajengwa na brains kutoka nje ya America halafu tunaenda kuomba huko.It sucks!
 
Last edited by a moderator:
huyu babu kweli amechanganyikiwa. baada ya watanzania kumchoka na umaarufu wake kupungua, sasa anakuja kwa stail hiyo?

babu yako huyo ndo amepungua umaarufu sio dr slaa pumbu wewe
 
Ni unafiki kujifanya kujali nyumbani wakati hutaki kurudi nyumbani, hao ma diaspora wanatupotezea muda, walishatukimbia wakona huko kwawazungu ndio bora , sasa wanaanza tena kuhangaika na mambo ya nyumbani, kama mnapenda sana nyumbani si mrudi tu, mjenge nchi kwa elimu mlizopata huko??? halafu utakuta watu kama hao wengi wao papers zao hazijakaa vizuri kazi kuhangaika tu..huo ndio tunaoita unafiki, tengenezeni kwanza papers zenu ndio muanze kujihusisha na mambo yetu huku nyumbani
kumbe kujenga nchi lazima uwepo nchini kwako? Halafu pia mkuu una utani na chris lukosi?
 
Miongoni mwa waliopo nje ni Wanafunzi,Wafanyabiashara,wafanyakazi na wengine wanafanya research.Pia kuna uwezekano kuwa wengine wamejilipua

Hata hivyo kwa Wafanyakazi waliopo huko apart from wanaofanya kazi ubalozini au kwenye taasisi za kimataifa kama UN n.k

Ungempa taarifa hii Josephine, ingemsaidia kujua kuwa kumbe watanzania waliopo ughaibuni sio refugees kama alivyowaita.
 
Mkiulizwa ziara aliandaa nani hamsemi,nani anagharimia hiyo kitu, majibu yanagongana tu!!!!

Ziara zooote kafanya mwenyewe kwenye radio ndio waandamane na.balozi ili iwe nini??????

Kwanza wakati anafika alikuwa karibu na ubalozi maana hakuna picha mimi nimeona akiwa ubalozini na wafanyakazi wa ubalozi!!!!!

Halafu balozi si anaishi huko hiyo radio mbona haikumtafuta kabla ya ujio wa katibu mkuu????!!!!

Kama balozi ametimia na anajitambua hatakiwi kwenda,kama wanashida naye wamtafutie muda wake wakahojiane
 
Back
Top Bottom