Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Mpeleke basi makao makuu akamsaidie mchumba maana mchumba si muhasibu lakini ndio hivyo tena.

Wanawake kwa kupersue vitu wanavyovitamani au kushindana na wengine.....sasa wewe itakusaidia nini kumwita mke wa mtu mchumba?Ninawasikia wanawake wa kiswahili km wewe wengi tuu mjini wakiwasema wengine kuwa hawaendani na waume zao km vimada wao.Ninaopata muda nao huwa nawacheka sana..kwani hiyo kiburi ya kijinga ndio mategemeo yasiyofikiwa yanayoweza washikilia ktk maumivu haki kifo.Na hiyo ndio inawap wanaume wajanaj edge ya kuwafanay wawatumie hadi mwisho ...huku manunga embe yakidhani kuwa yanakomoa mama kubwa.

Josephine...atakufunika no matter what..jipe matumaini kwa chochote unachoweza dhani kuwa umemshinda....ila mwihso wa siku atakupiga bao bila ubishi.

Naona umeamua kutulete kaumbea fulani hivi.......kuna sheria nyingi sana zinazoongoza vyama vya kisiasa..pole sana.Mke wangu anafanya kazi anayopenda na si mbay aakipenda ya familia.
 
haha....umechemka wewe kilaza....sasa unamumunya maneno ya nini cowaed wewe..si ukubali tuu hujui na uhuckue muda kuuliza jamani naomba nayejua hiki na au hiki anieleweshe.

Maccm huw ayanapoteza muda kubishana wasichokijua, na mwisho kufanya thread kuwa chaos..halafu kesho ipo jukwaani akirudiarudia..km kitu ya kuwafanya wajisikie kuwa wamepanda class....Ben Saanane akikuonyesh ulipochemka na ulipaswa tumia wapi si ajabu kesho ukadhani sasa uanweza gombea urais.MiccM mjinga..ikimtukana Mbowe au Dr. Slaa kesho yake inatamani Urais CCM.

Same level of thinking!!!!!!

The question is are you intending to attack the personality so as to get me high and loose my focus or it is true that you are missing the point on table????!!!!!!

Halafu huu ujinga wa kudhani kiwa kila anayewauliza juu ya uhalisia ni CCM mmeupata wapi na mnaendelea kuambukizana!!!!!!! Hii nchi ni zaid ya vyama vya siasa kumbukeni kuna watu hawana mzuka na vyama na siasa za majukwaani ila pia hawachukulii poa kila yanayotokea.

I insist you have a low IQ,this implies the product of your mental activity is low and thus you are a low class political follower!!!!!!!

Sasa kwa kifupi tuu; Too low kwa sababu ni wa kiume nakuita brother and hence too low brother

Haya fungua hilo darasa
 
Mkuu pole na uchovu ni bora ukalale tu maana uandishi wa post unakushinda.Kutetea maovu ya chadema ni sawa na kuwa mwehu hata ukikesha hapa hauelweki.

Kwani kuna kitu chenye maana ambacho mnaweza elewa.Km Jk hadi leo hajui kuwa chama chenye ni nidhamu na corrdination.basi kila asemacho kada wake kinapaswa kuwa ni kile tuu kilichopitishwa na chama...kashindwa hata diegst ya Lissu na Alichokumushwa na mbowe.

hayo maou umepima kwa kipimo kipi..?Siku hizo unashinda CDM...?ndio upo njiani kuihama CCM kwa gia kuwa unakwenda peleleza kumbe unakwenda jiliza km Nape na Sita.
 
Same level of thinking!!!!!!

The question is are you intending to attack the personality so as to get me high and loose my focus or it is true that you are missing the point on table????!!!!!!

Halafu huu ujinga wa kudhani kiwa kila anayewauliza juu ya uhalisia ni CCM mmeupata wapi na mnaendelea kuambukizana!!!!!!! Hii nchi ni zaid ya vyama vya siasa kumbukeni kuna watu hawana mzuka na vyama na siasa za majukwaani ila pia hawachukulii poa kila yanayotokea.

I insist you have a low IQ,this implies the product of your mental activity is low and thus you are a low class political follower!!!!!!!

Sasa kwa kifupi tuu; Too low kwa sababu ni wa kiume nakuita brother and hence too low brother

Haya fungua hilo darasa

umechaaganya mboga.....niliwahi kutana na mhaya mmoja anaongea lfudhi ya kihaya km vile bado yupo kule kashozi....Ila alikuwa akijitetea kuwa ana asili ya bukoba ila kazaliwa na kukulia Dar....tena muda wote alikuwa ni mtu waboarding ingawa kwao ni dar..Kila kitu kinaonyesha influence ya uhaya ktk lafudhi isingekuwa kiasi kile km hata nyumbani tuu hakuwa na muda kihivyo.

Umejipa taswira tofauti na zaidi ya mja ktk ulichoandika......Haha..sawasawa..hembu niambie hiii ulikuwa unataka sema nini?

">.........................I insist you have a low IQ,this implies the product of your mental activity is low and thus you are a low class political follower!!!!!!!.........................<"
upumbavu wako unakufanya udhani kwa mitizamo km ya JK hotuba zake huwa anarudirudia akijifanya tolea maelezo neno moja moja....As if anachoongea ni yeye tuu anachokijua na anaongea nao ni wanaona kila kitu kigeni km yeye..As if yupo ktk mkutano mkuu wa maCCM ya madarasa ya akina Khadija Kopa...Mbaya maelezo yake yanaonyesha jinsi asivyoelewa akisemacho..Wewe ni junk kabisa na wala shida yako si lugha tuu..wewe ume expire kabisa ktk ubongo.

Ben hakukosea....wala kubahatisha.Nami naongezea hili WEWE NI MTANZANIA WA KWANZA -------- ANAYEWEZA ONGEA KWA UJASIRI HUKU AKION WENGINE WOTE HWAJUI ILA YEYE KWA VILE ANAWEZA JIPA POSI FULANI NA VI MISAMIATI KIDOGO VYA KIINGEREZA NAVYOWEZA CHANGANYA.
 
umechagnay mboga.....niliwahi kutana na mhaya mmoja anaonge alfudhi ya kihaya km vile bado yupo kule kashozi....Ila alikuwa akijitetea kuwa ana asili ya bukoba ila kazaliwa na kukulia Dar....tena muda wote alikuwa ni mtu waboarding ingawa kwao ni dar..Kila kitu kinaonyesha influence ya uhaya ktk lafudhi isingekuwa kiasi kile km hata nyumbani tuu hakuwa na muda kihivyo.

Umejipa taswira tofauti na zaidi ya mja ktk ulichoandika......Haha..sawasawa..hembu niambie hiii ulikuwa unatka sema nini?

">.........................I insist you have a low IQ,this implies the product of your mental activity is low and thus you are a low class political follower!!!!!!!.........................<"
upumbavu wako unakufanya udhani kwa mitizamo km ya JK hotuba zake huwa anarudirudia akijifanya tolea maelezo neno moja moja....As if anachoongea ni yeye tuu anachokijua na anaongea nao ni wanaona kila kitu kigeni km yeye..As if yupo ktk mkutano mkuu wa maCCM ya madarasa ya akina Khadija Kopa...

Ben hakukosea....wala kubahatisha.

Ha ha haaaaa hilo halitaua hoja ya msingi mkuu naona mnahama tuuuu kutoka kwa hoja sasa grammar na composition!!!!!!!

Insisted on the fact that he is of a low thinkig order, this has been implied by his argument of which is aproduct of his low IQ and it is my opinion that he is a low class political follower !!!!!

HAYA NICHOLAS THE EDITOR, FUNGUA DARASA
 
umechaaganya mboga.....niliwahi kutana na mhaya mmoja anaongea lfudhi ya kihaya km vile bado yupo kule kashozi....Ila alikuwa akijitetea kuwa ana asili ya bukoba ila kazaliwa na kukulia Dar....tena muda wote alikuwa ni mtu waboarding ingawa kwao ni dar..Kila kitu kinaonyesha influence ya uhaya ktk lafudhi isingekuwa kiasi kile km hata nyumbani tuu hakuwa na muda kihivyo.

Umejipa taswira tofauti na zaidi ya mja ktk ulichoandika......Haha..sawasawa..hembu niambie hiii ulikuwa unataka sema nini?

">.........................I insist you have a low IQ,this implies the product of your mental activity is low and thus you are a low class political follower!!!!!!!.........................<"
upumbavu wako unakufanya udhani kwa mitizamo km ya JK hotuba zake huwa anarudirudia akijifanya tolea maelezo neno moja moja....As if anachoongea ni yeye tuu anachokijua na anaongea nao ni wanaona kila kitu kigeni km yeye..As if yupo ktk mkutano mkuu wa maCCM ya madarasa ya akina Khadija Kopa...Mbaya maelezo yake yanaonyesha jinsi asivyoelewa akisemacho..Wewe ni junk kabisa na wala shida yako si lugha tuu..wewe ume expire kabisa ktk ubongo.

Ben hakukosea....wala kubahatisha.Nami naongezea hili WEWE NI MTANZANIA WA KWANZA -------- ANAYEWEZA ONGEA KWA UJASIRI HUKU AKION WENGINE WOTE HWAJUI ILA YEYE KWA VILE ANAWEZA JIPA POSI FULANI NA VI MISAMIATI KIDOGO VYA KIINGEREZA NAVYOWEZA CHANGANYA.

Waaaala usipate taaabu na hiyo character assasination unayoianza haitafanya kazi hapa kwangu,attacking a person yaweza kuwa njia nzuri ya kumtoa mtu kwenye hoja iwapo tu huyo amayeshambuliwa haijui mbinu hiyo!!!!!

Rudi kwenye hoja ya msingi sasa as kelele zako zinakuwa absorbed na uwepo wa editors kwenye kazi zinazohitaji clarity ya lugha kwa hiyo waaaaala hakuna jipya katika kurekebisha lugha!!!!!!

Content and eloquence ndio kazi ya author hiyo composition na grammar ndio kazi yenu editors kama wewe sasa utakuwepo kwenye acknowledgement page.

Happy now!!!!!!???????
 
Tatizo ni nini hapa??
Au ni Dr. Slaa kuhojiwa na magic fm ya huko D.C au ni Dr. Slaa kwenda U.S.A???
Kila mtu yuko out of point, sijaona hata mtu mmoja aliyesema Dr. Slaa kahojiwa nini kasemaje kwenye hiyo magic fm ya W.D.C hakuna.

Sasa ni nini kinachoongelewa hapa??
 
Ndio hali ya hapa kila linapotokea la.kujadiliwa basi wanazi huja na mayowe ili kuua ajenda!!!!!

Kuna issue ya kuhojiwa yeye lakini kwa hiyo talk ni kama na balozi kaalikwa iala hajakubali wala kukataa mpaka sasa!!!

1. Hii radio imejua sasa uwepo wa balozi????!!!!
2. Mkuu alipofika kule alishirikiana na balozi au ofisi katika ziara nyingine kabla ya hili la radioni???!!!!!

Then kuna issue ya transparency kuhusu safari za viongozi nje nani anafund???!!! Rationale na motives ni zipi???!!!!

Kuhusu wataongelea nini kuna post imeainisha!!!!
 
ANZISHENI UZI WA HAYO MADAI YENU, MIMI MWANZO MWISHO NASOOMA NAJUA NITAKUTANA NA ALICHOSEMA/HOJIWA, HAMNA KITU.

TOPIC INASEMA HIVI WACHANGIAJI WANASEMA VILE, SASA HEADING HAINA MAANA
 
mkuu, ubalozi unajua kuwa dr slaa anataka kuzungumza upumbavu tu hakuna kitu kingine. naona anataka kuendeleza hoja za uzandiki, uzushi, uongo na ufitini kama alivyoanzisha Lissu

Ubalozi wa CCM ama wa Tanzania?Kilaza uliyechoka hoi hata akili kidogo ya kukuongoza ktk jema na baya umetindikiwa. hujitambui!
 
Ha ha haaaaa hilo halitaua hoja ya msingi mkuu naona mnahama tuuuu kutoka kwa hoja sasa grammar na composition!!!!!!!

Insisted on the fact that he is of a low thinkig order, this has been implied by his argument of which is aproduct of his low IQ and it is my opinion that he is a low class political follower !!!!!

HAYA NICHOLAS THE EDITOR, FUNGUA DARASA

Haha..naona umeshaona tatizo ila kwa vile umetoka nyumbani bado una shida ya personality....kwa ujumla ubaya wa lugha yako na masifa ktk grammer umeharibu maana na kuweka maana zaidi ya moja zisizo na mchango hktk hili na tofauti kabisa ktk ya hizo hoja.

Hembu jipande halfu uchagu maana inayofaa zaidi kwa mtazamoa wako....si ungeandika tuu kiswahili....hivi kwa ulichandika unadahani kweli opinion zako zitakuwa na maana kiasi cha kukupa hukumu ya class la huyo unayemwita mfuasi wa kisiasa.
 
Waaaala usipate taaabu na hiyo character assasination unayoianza haitafanya kazi hapa kwangu,attacking a person yaweza kuwa njia nzuri ya kumtoa mtu kwenye hoja iwapo tu huyo amayeshambuliwa haijui mbinu hiyo!!!!!

Rudi kwenye hoja ya msingi sasa as kelele zako zinakuwa absorbed na uwepo wa editors kwenye kazi zinazohitaji clarity ya lugha kwa hiyo waaaaala hakuna jipya katika kurekebisha lugha!!!!!!

Content and eloquence ndio kazi ya author hiyo composition na grammar ndio kazi yenu editors kama wewe sasa utakuwepo kwenye acknowledgement page.

Happy now!!!!!!???????
Pole km nimekulenga pabaya.....kuna makosa ya lugha ya lugha ,ila muongeaji ambaye katumia simple way na specific terminologies..ambzo zinahusiana na anachokisema.Hata km grammer...si nzuri kabisa.

Wewe ulichoanidka kinaonyesha hat fikra zako nishida kuliko hata lugha.Saa nania aku attack kilema wewe.wewew mwenye ni shida inayojimaliza.
 
Tatizo ni nini hapa??
Au ni Dr. Slaa kuhojiwa na magic fm ya huko D.C au ni Dr. Slaa kwenda U.S.A???
Kila mtu yuko out of point, sijaona hata mtu mmoja aliyesema Dr. Slaa kahojiwa nini kasemaje kwenye hiyo magic fm ya W.D.C hakuna.

Sasa ni nini kinachoongelewa hapa??

Umbeya wa Magamba kwa kwenda mbele
 
Ubalozi wamealikwa kwenye mazungumzo haya, lakini bado haujatoa kauli ya kushiriki au kuto shiriki. Bado radio host anasubiri kusikia kuto kwao.
Tatizo waliojazana kwenye ubalozi ni vimeo tupu! Kiingereza ni mgogoro! Ndiyo madhara ya kupewa post kishikaji bila kuangalia elimu ya mtu. Sidhani iwapo watathubutu kushiriki!
 
Nataka nyie watu wa Cdm mnijuze kidogo hapa!
Nakumbuka uchaguzi uliopita yule mchungaji MTIKILA alienda USA akapotea huko kwa muda kidogo!
Aliporudi akawa mpooole! Kama shoga anapika!
SASA HUYU DR SLAA KAENDA USA KUFANYA NINI HASA? NA USA WANA INFLUENCE GANI KUHUSU KAMPENI ZAKE??
AU NDIO WALE WANAOKWENDA KUPIGA MAGOTI KWA MJALUO halafu anawapiga bega na kuwaahidi kiti ikulu!?

Naanza na nyie walevi wawili Nyakageni na Nicholas !
 
Last edited by a moderator:
Same level of thinking!!!!!!

The question is are you intending to attack the personality so as to get me high and loose my focus or it is true that you are missing the point on table????!!!!!!

Halafu huu ujinga wa kudhani kiwa kila anayewauliza juu ya uhalisia ni CCM mmeupata wapi na mnaendelea kuambukizana!!!!!!! Hii nchi ni zaid ya vyama vya siasa kumbukeni kuna watu hawana mzuka na vyama na siasa za majukwaani ila pia hawachukulii poa kila yanayotokea.

I insist you have a low IQ,this implies the product of your mental activity is low and thus you are a low class political follower!!!!!!!

Sasa kwa kifupi tuu; Too low kwa sababu ni wa kiume nakuita brother and hence too low brother

Haya fungua hilo darasa

Teh teh teh teh!

Talking about IQ!!
The guy in subject is nuts!! He worship alcohol and you expected a fare conversation with him??

Teh teh teh teh! I think you need to know this! Nicholas fell In love with pombe ya moshi ! Soo much so that he decided to move closer to where they prepare it!

Its a place called KIBORILONI!

All illegal alcohol is sold there!

teh teh teh teh!

If the IQ of a squirrel is 70%
Nicholas and his companion Nyakageni is 35%.

Haleluyah!!
 
Last edited by a moderator:
Josephine ameushusha mno uwezo wa Dr. Slaa wa kutafakari mambo.

Slaa alipaswa kuwasiliana na ubalozi moja kwa moja sio ubalozi ukaribishwe na redio kwenye mahojiano! Hiyo ni dharau ya kijinga inayomyima yeye mwenyewe Slaa fursa ya kushirikiana na ubalozi wa nchi yake.

Josephine amezoea lifestyle ya kusutana, sasa Slaa naye mambo yake yameanza kuwa ki Josephine Josephine tu...
mkuu kejeli ni ya nin? Mbona una mambo ya kipwanipwani sana? Kejeli,umbeya,majungu, naona mipasho zaidi kuliko hoja!
 
Back
Top Bottom