Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Dr. Slaa interview na Washington, D.C., U. S. A. Pacifica station WPFW 89.3 FM, Oct 9, 2013

Mimi nipo katika siasa kwa maana ya ninachokiamini na kukifahamu juu ya chama changu.Pro Chadema wengiwao ni misukule na watabaki kuwa misukule mpaka pale watakapojitambua.Njaa na kupoteza muelekeo wa maisha kwa dhana ya utegemezi na kusubiri vya bure na upendeleo vimewafikisha hapo.
Ungekua imara kiasi hiki usingeingia na ID Fake! Coward!
 
Wewe kweli umelala usingizi mzito sana, radio tena? ma TV ya Kimataifa uyapeleke wapi?:

[video=youtube_share;-3Z0ErRoiCs]http://youtu.be/-3Z0ErRoiCs[/video]

Nikuongezee?
Tatizo hawa mabavicha wanataka kumfananisha Rais wa JMT na Rais wao wa ndotoni...hakuna mfanano..Rais wao wa ndotoni anawenzake wa kufananishwa nao makatibu wa saccos
 
Matumizi ya Ruzuku hukaguliwa na Mkaguzi wa Hesabu za Seeikali(CAG) na ripoti yake huwekwa wazi.CHADEMA ndiyo chama pekee ambacho kimekua kikiweka wazi Matumizi na hesabu zake na hata kwenye kampeni za Uchaguzi.Ni lini CCM waliwahi kuweka hadharani?

Babu alisharejesha ule mkopo wake wa fedha za ruzuku?
 
Matumizi ya Ruzuku hukaguliwa na Mkaguzi wa Hesabu za Seeikali(CAG) na ripoti yake huwekwa wazi.CHADEMA ndiyo chama pekee ambacho kimekua kikiweka wazi Matumizi na hesabu zake na hata kwenye kampeni za Uchaguzi.Ni lini CCM waliwahi kuweka hadharani?

Kwani ikiandikwa posho za safari za viongozi nje ya nchi kwa shughuli maalum za chama na ilikuwa katika budget CAG atakuwa na hoja gani tena????!!!!Ndio imepita hiyo

Na ujue kura yangu sipigiwi na CAG sasa lazima niwe na uhakika na ninapoi deposit ndio mantiki ya kujua clarity ya chama na mgombea!!!!!!!

Siku maisha yakiwa magumu wanangu hawatakula wala kusomeshwa na CAG kwa hiyo tuangalie uhalisia kwanza then institutions baadae kwa matakwa yetu sio zenyewe zituamulie jinsi ya kuishi!!!!! Imetosha we need a change yes but a proper one
 
Hesabu za za CHADEMA zinawekwa wazi siku zote.

Kama unaamini katika spirit hiyo ungehoji ziara 357+ za JK.
 
Mbona ziara ya Mwigulu(gaidi) ya Uingereza hairipotiwi....Tunataka update jamani....
 
Hesabu za za CHADEMA zinawekwa wazi siku zote.

Kama unaamini katika spirit hiyo ungehoji ziara 357+ za JK.
Usitake kuwahadaa watanzania huku ukijua fika kuwa hata wewe hufahamu juu ya hilo.Huu unafiki unaoufanya kutetea ujinga utakuja kukutesa pale mungu atakapokupa maisha marefu na kugundua kama ungetumia vyema akili na maarifa aliokujaalia na kusimamia ukweli ungekuwa ni miongoni mwa werevu katika taifa lako.
 
Hesabu za za CHADEMA zinawekwa wazi siku zote.

Kama unaamini katika spirit hiyo ungehoji ziara 357+ za JK.

Tunahoji za huyu anayeonekana kama tumaini jipya ili kuwa na.uhakika wa safari yetu,dereva tuliyenaye anaishia chalinze hapo wakati sisi tunaenda arusha ila kwa jinsi alivoendesha tangu ubungo we now know makosa ya gari na mapungufu ya dereva!!!!!
 
Hesabu za za CHADEMA zinawekwa wazi siku zote.

Kama unaamini katika spirit hiyo ungehoji ziara 357+ za JK.

Jikumbushe, naona una kumbukumbu fupi sana kijana:

NA SULEIMAN JONGO

KATIBU Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa, amekiri kuwa chama chake kimetozwa fainHatua hiyo imetokana na chama hicho kudaiwa kukwepa kulipa kodi na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). za mishahara na posho za watumishi wake kwa miaka kadhaa. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam, jana, Dk. Slaa alisema TRA imeitoza CHADEMA faini ya sh. milioni 94. "Ni kweli tumepigwa faini na TRA kulipa sh. milioni 94...

Soma zaidi: https://groups.google.com/forum/#!topic/wanabidii/t4tY0SbFlu0
 
Dr Slaa aache unafiki. mambo ya Tanzania utaongeleaje kwenye nchi za watu? yaelekea ndo tabia yake kutoa mambo ya ndani kufikisha kwa jirani. ndo maana hakuna mwanamke anayependa kuolewa naye. walisambaza picha za uchochezi wameshindwa na sasa wanakuja kivingine. pole sana babu. bora uje kulea watoto wajukuu wako tu bongo

Wewe Punguani leo unasema haya wakati hata matamko muhimu ya Nchi JK huwa anayafanyia USA ? Kweli wewe juha
 
Usitake kuwahadaa watanzania huku ukijua fika kuwa hata wewe hufahamu juu ya hilo.Huu unafiki unaoufanya kutetea ujinga utakuja kukutesa pale mungu atakapokupa maisha marefu na kugundua kama ungetumia vyema akili na maarifa aliokujaalia na kusimamia ukweli ungekuwa ni miongoni mwa werevu katika taifa lako.
Ben Saanane anajifanya hajui kuwa mchumba ndiye anadhibiti "program" zote za matumizi na mapato chadema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom