harson njau
Member
- Jul 31, 2015
- 64
- 4
Chadema aliondoka Zito Kabwe, madiwaniwa arusha mjini,na wengine wengi na inakwenda mbele
kwa hiyo dr. slaa akikosa hekima ya kutulia, na akaamua kuondoka, chadema bado itaendelea kama ni
MUNGU amewapa kibali, slaa ni mtu muhimu sana, ila anaweza asiwe na umuhimu kama akihamua kuondoka
MUNGU NAOMBA UIBARIKI CHADEMA. AAAMEN