nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Mbowe kapiga pesa ndefu
lipumba kalamba 3.7 bilion..
Mbowe kapiga pesa ndefu
clitical
lipumba kalamba 3.7 bilion..
sioni maneno ya dr slaa, Illa nakuona wewe ndio unasema."DK SLAA amefunguka kwamba dakika za mwisho MBOWE aliwaburuza na kulazimisha tumpokee LOWASA , hapo nikaona nikae pembeni. muda si mrefu nitaitisha press confrence kwani watu wanapotosha sana kuhusu mimi DK SLAA."
dr. Slaa yuko honey moon...!!!
Aendelee na honey moon, hatuna muda wa kubembelezana...mwanaume hadeki, habembelezwi...lowassa ndio kila kitu, tushaamua...!!!
Dr. Slaa anajiona yeye ndio yeye tu, au mtakatifu fulani hivi, of which he is not at all...!!! Atambae tu...nn bana...!!!
"DK SLAA amefunguka kwamba dakika za mwisho MBOWE aliwaburuza na kulazimisha tumpokee LOWASA , hapo nikaona nikae pembeni. muda si mrefu nitaitisha press confrence kwani watu wanapotosha sana kuhusu mimi DK SLAA."
"DK SLAA amefunguka kwamba dakika za mwisho MBOWE aliwaburuza na kulazimisha tumpokee LOWASA , hapo nikaona nikae pembeni. muda si mrefu nitaitisha press confrence kwani watu wanapotosha sana kuhusu mimi DK SLAA."
CHANZO: NIPASHE
Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE
2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE
3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k
kaa pembeni milele usituletee story zile zile kila siku.lowasa anashida gani huoni jinsi ukawa unavyo zidi kupata nguvu.shida yako wewe slaa ulikuwa unataka urais.kaa mbali kabisa ccm wakununue.
Dr s. Anamaadili na anajitambua..... Kama 2010 mbowe na wabunge wa chadema walitoka bungeni wakidai dr silaa alishinda uchaguzi ila akaibiwa kuraa kwanini safariii hiii asiweze kushindaaa amaa walitudanganyaaa au deal la billion 10 ni la ukweli kwa kamanda wa angaa. Mzee wa mabisinessss
Jamani naomba kuuliza hivi Magufuli ni mkatoliki?