Dr. Slaa hatimaye aibuka

Dr. Slaa hatimaye aibuka


Ala GAM mzee ado. mahhitimar bars press..naas chama cha cdm atok. mu mugurbo/esar way...ccm labda watatoka ala barabaliman heshimaqotok..ne low as a atafuata masharti ya chama chako..naas gan mioyo ya watanzania wanakulilia..dr ARAJICK...Haydon Lutheran Hospital
 
hajamkana huo ndo ukweli. inafika sehemu hata kana Dr tunampenda tunamweka pembeni kwa maslahi ya taifa na chama. Sasa tubaki kumbembeleza Dr kweli mapambano tutayaweza

well said.nafikiri mfano kauona kwa lipumba alifikiri akiondoka cuf itayumba lakini wapi watu wapo busy na mapambano.
 

Attachments

  • 1439525323875.jpg
    1439525323875.jpg
    41.2 KB · Views: 227
well said.nafikiri mfano kauona kwa lipumba alifikiri akiondoka cuf itayumba lakini wapi watu wapo busy na mapambano.

Enyi wafuasi mliopo gizani...ukweli ni kwamba...Dr pamoja na Prof wakiweka ukweli hadhalani lazima mgawane fito
 
Yeye aende anakoenda na ataenda yeye na familia yake. Sisi ni wafuasi wa chama siyo wa mtu , nafikiri majibu mmeyapata kwa LIPUMBA. Wasaidieni hao watu kiuchumi lakini sisi malengo yetu yako palepale kumwondoa mkoloni mweusi CCM oktoba.

Mbona mmemfuata LOWASSA. acheni uzandiki na unafiki
 
Tumechoka na habari za Dr. Slaa na ujio wa Lowassa.
Kamanda Mbowe alisema kua wamempa muda wa kupumzika huku safari ya mabadiliko ikiendelea.
Mabadiliko hayawezi kumsubiri mtu, hivyo wanamabadiliko tunasonga mbele.
Akiamua kuungana na sisi sawa, akiamua kuendelea na likizo yake vyote kheri.
 
Hamna chama kinaweza kumkataa Lowasa,na huwezi kumpokea Lowasa ukamuweka benchi.Itakuwa ajabu Yanga imsajili MESSI halafu aanzie benchi.maamuzi ya MBOWE ni sahihi kutokana na wakati,na maamuzi ya SLAA ni mazuri kwasababu za kimaadili.Hamna jingine zaidi ya kukaa mezani.
 
Dr. Ingia vitani na wenzako mmalizeni adui kwanza ndipo mmalize tofauti zenu
 
Wanachama wapya wa CHADEMA ndio hawa! Ungekuwa sio mfuasi wa mtu ungebaki hukohuko CCM kwa magamba wenzio.Ufuasi wako kwa mtu (Lowassa) ndio leo unapata nafasi ya kumdhihaki Dr Slaa.Sisi wengine tunaendelea kumheshimu kwa mchango wake kwa chama,chamsingi asikidhuru chama.
Slaa hana mvuto ameshasahaulika huyo bora astaafu siasa hana jipya tena
 
"DK SLAA amefunguka kwamba dakika za mwisho MBOWE aliwaburuza na kulazimisha tumpokee LOWASA , hapo nikaona nikae pembeni. muda si mrefu nitaitisha press confrence kwani watu wanapotosha sana kuhusu mimi DK SLAA."

Post zako miaka ya nyuma ulikuwa ukimtukana sana Dr Slaa , leo kageuka lulu kaka.
 
kiukweli hakuna mwanasiasa mwenye mbinu za kuhakikisha upinzani unakuwa kama mbowe kamwe..
 
Back
Top Bottom