Dr. Slaa hatimaye aibuka

Dr. Slaa hatimaye aibuka

Rais - lowassa
Waziri mkuu - Mbowe
Waziri wa fedha- Anthony Komu
Waziri wa afya - Gidbles Lema
Waziri wa nishati - Henry Kilewo
Waziri wa miundombinu - nassari
Waziri wa ofisi ya rais (tamisemi) Ole medeye
Waziri wa sheria na katiba - halima mdee
Waziri wa ardhi - John mrema
Waziri wa ujenzi - James Mbatia
Jamani tunauza nchi mchana kweupee.... Ikulu sio
kilabu cha mbege!
 
Punguza hasira wewe gamba...

Hatuna namna ya kukusaidia...

Mimi ni mwana LOGISTICS,
si gamba wala gwanda,

logic hainitumi kula chochote kwa vile nina njaa!
Otherwise tutachinja vitoto vyetu vichanga kwa kuwa tuna njaa halafu vyenyewe ni dhaifu(easy prey)
 
Ivi huyu Dr anaipa au kusaidia nini CHADEMA
kama sio kujikopesha mihela kibao
Tusonge mbele mwachani
 
CCM NYIE SIYO MAMA YETU USEME UKITOKA HATUNA MAMA MWINGINE... TUMEWACHOKA ... lieni tu
 
Mimi ni mwana LOGISTICS,
si gamba wala gwanda,

logic hainitumi kula chochote kwa vile nina njaa!
Otherwise tutachinja vitoto vyetu vichanga kwa kuwa tuna njaa halafu vyenyewe ni dhaifu(easy prey)

Hicho ulichoandika hapo unaona kina mantiki kweli?
 
​Hivi SISIEM kwanni msiconcentrate na kumuuza Magufulii???leo hii mnampigania padre tangu lini

sijasema magufuli ndiye anayefaa wala ...nimezungumzia kuchanganya tofali za udongo na block kupata nyumba imara
 
Maskin umekunywa zile dawa maana utajinyonga bure si tumeshasahau ubaya wa EL sasa hatutaki kuwa watumwa nchini mwetu
 
Mbona mnatapatapa sana maCCM? Tulieni msubiri October 25..
Dr. Slaa and Prof. Lipumba have no Impact wamechelewa sana kufanya maamuzi hayo...
Hata waite press conference leo au kesho nothing will change in the minds of Freedom Fighters..
Tumechoka na CCM, we need to remove this insect called CCM by any means...

Angalia hapo kwenye nyekundu kwanza.....
CCM: we need to remain in power by any meas....
Kama umeanzisha hivyo nao wakajipanga hivyo what will be the feature? Tafakar...
 
hivi CCM wamesahau kuwa wana mgombea wao na wanahitaji kumpigia kampeni?

Hata mm nadhani wamemsahu makufuli wanahangaika na Dr.slaa. cjui akija na kauli ya kuwashushua wanaomfuatilia cjui wataingia uvunguni
 
Back
Top Bottom