Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!


ungekuwa na tabia ya kujisomea, ungejaribu kupitia katiba ya CCM ungegundua hichi ulichokiandika hapa ni zero.
 


basi mambo,kumbe ndicho alichokalia humu jamvini,yatamshinda basi,kama ameshukia posta safari hii ataondokea chanika
 
- Absolutely nothing to do na the ishu, Slaa na Chadema wanahitaji kukanusha kwamba Slaa halipii kadi yake ya CCM aliyokubali kuwa nayo! le mutuz

Stupidity above all stupidity level; Chadema wakanushe kwani walipokea malipo ya kadi hiyo ya CCM? Toeni hizo risiti ama sivyo ni ukaragosi uliokithiri kama sio mwendelezo ze utamu?
 
Mkuu una maana kuwa yeye ni mwanachama wa CCM?

Hili sharti la kutoka uanachama unapojiunga na chama cha upinzani unasemaje?
Mkuu Mwanaukweli huyu kilaza hawezi kujibu hii hoja. Atajibu utumbo tu. Hebu msome hapa chini. Huyu angekuwa mtoto wa mkulima angeishia darasa la saba. Hamna kitu kichwani.

- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?

le mutuz
Mkuu katiba ya CCM inasema uanachama wa mwanachama wa CCM unakoma pale anapojiunga na chama Kingine. Kwanini uanachama wa Dr. wa ukweli Slaa usikome? Au yeye ni exceptional? Na kama Dr. ametenda dhambi ya usaliti kwa kujiunga na chama kingine, inakuwaje vigumu CCM kumfukuza?

We ngoja nikuachie Bigirita na cacico ndio wanakuwezeaga.
 
Last edited by a moderator:

jamani mmeambiwa mlete ushahidi kama amelipia mwezi gani na tawi gani?kama alilipia miaka mingi toka alipoinunua still ni invalid kwa mujibu wa katiba ya ccm,usitupotezee mda kurudia vitu ambavyo vipo clear.
 
Tunategemea chama tawala kiwe na mikakati ya maendeleo ya watu!

Nashangaa leo CCM ina OPERATION CHAOS!!!! Kwa kutumia kodi zetu hizi hizi!!!

Watu wenye akili wanaendelea kuona, kutafakari na kuchukua hatua!
 

Ubumbumbu+udhaifu=0
 
ccm makini wanakosoa huu mpango wa W.Malecela na Nape,huyu ni baharia na si mwanasiasa
 
umenidhalilisha! Naomba unitake radhi, nipo bussy nawafundisha paka wangu kula bila kufungua mdomo, afu unanichanganya na kuniita ita hovyo huku! Hubby plz niwacheeeeeeee nipumuweeeeeee.........!
 
vijana wa arusha wanawaita watu kama hawa .........wala utumbo.
Mtu anayekula utumo wa kuku unategemea awe na akili ya aina gani.
tena akazanie dose ya minyoo! La sivyo hupata kikohozi kama mtu mwenye tb! Sabal kheri Bigirita!
 
Last edited by a moderator:
Willy naona kwenye operation chaos mnataka pia JF watu wapigwe sana ban. Muulize Pascal sasa anajiita Pascal Mayalla. Soon na wewe utajiita Jitu Patel.
 
mtuache tupumue na Dr. wetu wa ukweli..mkilala mkiamka Dr.Slaa. Hivi huko hamna shughuli ya kufanya zaidi ya siasa za maji taka.?
 
Tatizo lenu mnapenda kuhusisha ukombozi na CHADEMA. Nyie mnaamini bila CHADEMA nyie mtakuwa salama.

Let me tell you, CHADEMA ni kama gari tu lakutupeleka kwenye ukombozi. Likiharibika, safari haitaishia hapo. Tutaenda hata bila magari (VYAMA), lakini lazima azma yetu ya kuleta mabadiliko Tanzania ifikiwe.

Najua utasema hata ndani ya CCM tutapata mabidiliko, lakini the truth is CCM is "WALKING BUT DEAD" na hata mkikataa huo ndio ukweli. Chama kimejaa rushwa kuanzia kwenye unyayo mpaka utosi.

Remember, ukombozi ni hitaji na nia sio chama. Hata CHADEMA ikifa, hamtaua mahitaji na nia ya kutaka mabiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…