Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Huyu ni kibaraka namba moja wa CCM.Namfahamu siku nyingi alivyo kuwadi wa CCM.
Funguka mkuu, huyu dogo namfahamu!.. Ameanza lini kufanya uchafu huu?.
dogo alikuwa na shitambala pale domu kwa lengo la kurudisha kadi ya cdm naye apate ahadi ya kacheo,akapata kigugumizi.wasiliana na shitambala.hapo ndipo alipokosea kwa kuonesha undumila kuwili wake.kazi tunayo.sory kwa kujiita tenende'
Niambie CCM unafaidika nini na uwepo waa Dr. Slaa Chadema? Na kama inafaidika kwa nini kelele kuhusu Dr. Slaa zinatoka CCM?Mwalimu alijua anachokiongea.
Mkuu licha ya kutokuwa na uelewa sidhani hata kama una hadhi ya kuyakariri maneno ya Mwalimu.
Kwa maneno ya Mwalimu, alimwita mtu kama Dr kuwa ni malaya wa kisiasa, na hilo ndilo mnalolitetea kwa nguvu zote.
Ya mabibi na hoja inayojadiliwa hapa havina uhusiano. Na inaonekana kabisa unamchukia Slaa japo unamng'ang'ania kuwa mwanachama wa chama chako.Usijipe moyo, jamaa aache kuchukua mabibi za watu ?
Ati anajenga chama chake kwa kulipia kadi ya CCM!
Msijidanganye kwa kula kunya na kuishi na mamluki asiye na haya.
So much for your chademic IQ.
See no wrong, hear no wrong Dr Slaa rules your airwaves.
Long live your mentor.
To the rest of us you are one person rotting for lack of intellect.
Nape amekuwa kama Mungu.Mwalimu alijua anachokiongea.
Mkuu licha ya kutokuwa na uelewa sidhani hata kama una hadhi ya kuyakariri maneno ya Mwalimu.
Kwa maneno ya Mwalimu, alimwita mtu kama Dr kuwa ni malaya wa kisiasa, na hilo ndilo mnalolitetea kwa nguvu zote.
Jamani nasisitiza tena na tena;Eddo namjua vilivyo na wala HANA HADHI YA KUJADILIWA HAPA!Huyu ni mchumia tumbo na alichokifanya Kyela tulipo mpa nafasi ya kugombea Ubunge tunajua wote!
Njaa yake ni kali zaidi hata ya Shitambala,APUUZWE tu!
Maneno ya kuambiwa cdm msihukumiane!! bora EDO KULIKO WENYE KADI MBILI KAMA ..........
Your obsessions prove a point.His rule is much effective in your misguided mindset,You ve never learned anywhere that language can be an art and different people have different talents to demonstrate impressive skills in different areas and attributes of a language.But all these have nothing to do with mind power and intelligent reasoning.(whatever that means)
Who (who?)are the rest of you?Le mutuz,Nape and Wassira+disgraceful You.?
Watu kama ninyi mkipelekwa mahakamani mnaishia kujikojolea au kujiachia kinyesi.Nape amekuwa kama Mungu.
Neno analolisema Nape hata kama ni la kijinga namna gani watu (pro-CCM) wanapokea bila kupima kwa akili zao.
Kwa akili ya kawaida, kama una askari wako uliyemweka kwenye kikosi cha adui, utamwacha aendelee kufanya kazi yake kwa siri mpaka adui agundue.
Iweje leo CCM ipandikize mamluki Chadema, kisha CCM ndio ipige kelele kuwa kuna mamluki Chadema? Kama mamluki anakufaidia kwa nini umpe adui faida?
This is simple common sense.
Mkuu ni lazima una matatizo ya mtindio wa ubongo.
Dr Slaa is on record kukubali kuwa ana kadi ya CCM, na mbaya zaidi anailipia.
Na huyo ndiyo katibu mkuu wenu CDM.
Nape alitoa allegation ambayo ilikuwa CONFIRMED na Dr Slaa mwenyewe, sasa hapo kama brain yako imeingia overdrive na kuchanganyikiwa, usilete za kuleta hapa jamvini.
By Nnauye Jr![]()
![]()
Katika matamshi yangu hakuna mahali nilipohusisha kuwa na kadi na uanachama wa mtu.....hivyo wanaojaribu kubwabwaja kuwa sijui Katiba ya CCM wanakurupuka kwasababu ndogo sana..kukairishwa lazima kumtukana Nape hata bila kupima kwa makini hoja....nilichosema Dr. Slaa na baadhi ya vigogo wa CDM wana kadi za CCM na baadhi yao wanazilipia mpaka leo. Sijazungumzia uanachama wao...najua kuwa kwa katiba ya CCM ukisha kuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wako CCM unakufa hapohapo.
Sasa kwa akili yako pevu kuwa na kadi ya chama unachokichukia ina maana gani kama si usanii au ujuha!
Hakuna mahali popote ambapo Slaa amesema analipia kadi hayo ni maneno ya Nape. Maneno hayo hayana ushahidi wowote.
Alichosema Slaa ni kwamba Kadi anayo.
Nape amethibitisha kwamba kuwa na kadi si kuthibitisha uanachama
Sasa kwa akili yako pevu kuwa na kadi ya chama unachokichukia ina maana gani kama si usanii au ujuha!
Mahakamani hawatapokea kauli ya Nape bila uthibitisho.Watu kama ninyi mkipelekwa mahakamani mnaishia kujikojolea au kujiachia kinyesi.
Assertations zikiwa proved basi hakuna ubishi wa kisheria hapo.
Nape ka assert: Dr Slaa ana kadi ya CCM
DR Slaa amekubali, hapo hakuna ubishi, na mimi sielewi usichokielewa hapo nini?
Nape ka assert: Dr Slaa analipia kadi yake ya CCM
DR Slaa hapo kaingia mitini, lakini kuna ushahidi, according to Nape kuwa kadi imelipiwa, sasa vilaza ninyi hapo msichokielewa kitu gani?
Tatzo lenu ni kuwa na half cooked reasoning capacities ambazo haziwasaidii kuishi!