JINSI ULIVYOANDIKA HAPA NI DHAHIRI KUWA dr SLAA ni mwiba mchungu sana kwenu......HATA mfanye nini bado ataendelea kuwepo CDM na atazidi kuwanyima usingizi na kubomoa zaidi mtandao wa chama chenu! Matokeo ya shughuli aifanyayo kujenga CHADEMA mtayaona dhahiri 2014 kama hamtaki kuyatambua sasa.nadhani leo mtamuelewa vizuri sana tuntemeke.
slaa ni mamluki ndo maana haishi kuibua migogoro chadema.
hatetewi huyo ushahidi upo mpaka wa risiti kinachosubiliwa ni yeye abishe tu ukweli uwekwe hadharani.
zitto na mbowe mnatosha sana kwa ukombozi wa taifa hili huyo mamluki mfukuzeni .
kama mko serious na taifa hili.
ndo maana analipwa mshahara wakati mbowe amekijenga chama hiki kwa mamilioni na hajawahi kuyadai alipwe.
fukuzeni huyo babu ni kimeo.
hahaaaaa slaa anaweza anaweza,iyo iyooooo anaweza sanaa ,kumiliki kadi mbili anawezaaaa iyo iyooooo anaweza sanaaaa.
W. J. Malecela
Banned
Mkuu na hii Ban ni yake pia huyo bwana DUDE
Duuh.. Yaani kwenye chama cha mafisadi na majangili ameongezeka tapeli..! No wonder anatoka povu hapa kuwatetea kumbe they have plenty in common..!
Sasa umeongea nini ?Unakataa hau quote halafu unaendelea ku quote..Anything that goes round will always come around.
Sioni unapothink for yourself instead , naona unbwabwaja tuu, sijui unadhani uki paste vitu kiingereza kunakuongezea marks.
Bil ahata kujijua unachoongea unadhani mimi naongea fikra za Dr. Kweli ni CCM ndio wajinga wa kila kitu.Kwa kiasi fulani unaongea fikra zako ukidhani unaongea zangu ndio maana unajiaminisha halafu huna ushahidi.Pengine unahitaji pata prozac , ni mojawapo ya dawa ambazo zinegkuwa zimegundulika yrs back waanzilishi wa dini za kigaidi na viongozi wa CCM leo hii wasingetufikisha na kutushikilia hapa.Possible you need a dosage very urgently ili uache sikia your mind through others.
Hembu rudia uone jinsi unavyojidefine.
Yaani nyie hii propaganda mna target au watu wanaokubali kupotosha makusudi au wajinga.''ukihama nyumba unaenda na ufunguo wa akiba, . . .'' kumbe ndo maana Dr. Slaa anajua mambo mengi ya CCM.
Wakuu wote JF, bila kumbagua yoyote nina rafiki wa kike wa kizungu anayefanya kazi kwenye mradi mmoja ambao ukitimiza msharti yake ambayo sio magumu sana, basi wanakupatia viza ya miaka mitano kwenda nchi moja majuu kufanya kazi, ni kwa professional mbali mbali na hata kwa wasio na professional wanakubalika,- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Es!
- Ameniambia the goal ni matajiri flani hivi wa kizungu wanajaribu kuwasaidia watu kutoka nchi masikini, sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako.
All you need is a valid passport and an application fee of $300 and you will be issued a five years working visa; Those without international passports can as well participate coz the organization in conjunction with the immigration office are making it easier by helping such people by preparing for them emergency traveling certificates which they are to use and come in the replacement of the international passports.
Ukajibu hivi kwa hasira:I advice people not to get involved in this. One, no real jobs offer ask for an advance fee, secondly, this company if it working with an immigration office it should be able to give out its name and in what country this immigration office is, and no emergency travel docs for regular employment can be guaranteed by a private urgency.
Hivi umeamua kuwa mpiga debe wa CCM baada ya hizo pesa za kitapeli kuisha?- Hii habari ilipohamishwa pale haraka sana nilijua kuna mkono mzito sana wenye hasira ya something-else bwa! ha! ha! ha! lazima nicheke sana na this,
- Nimesema wazi bila kuficha kwamba nimeondoa majina kwenye hiyo info nikiwa na sababu nyingi za kuifahamu nchi yangu, lakini maswali yote uliyo-raise ukiisoma vizuri sana barua ya huyo dada utaona kuwa nimefuta na kuweka dots, na ungenifahamisha kwa pembeni ningekupa na bado ninaweza kukupa barua yote, isipokuwa nimeamua kutoiweka hapo mbele yote kwa sababu ya kuijua bongo vizuri sana, sometimes you try to carry too much on your shoulders kuliko uwezo wako, yaani zile zile tabia za Mwalimu, au? Bwa! ha! ha!. Demokrasia sio rahisi jamani inawashinda wazazi wetu na taifa letu, ama sivyo kina Kolimba na Wangwe wangekuwepo mpaka leo!
Otherwise, shukrani kwa maoni yako ila yako mis-informed wakati ukweli ni kwamba hayo uliyouliza yote yapo kwenye hiyo barua hivyo ila nimeyatoa kwa sababu, na sidhani kama kuna mbongo yoyote anayeweza kushindwa kuelewa hiyo sababu. Sasa ninawasaidia mabahria wenzangu kwanza walioko juu ya mawe na ninawalipa mwenyewe, na nitakufahamisha matokeo tena hapa hapa wazi mchana kweupe!
May God Bless You Bro! na H/VE A NICE DAY!
FMES!
Watu wanamwangalia mamluki kwa mambo haya:siku hizi kuna mafan boys wa vyama, hata penye makosa hawaoni as long as aliyekosa ni kiongozi wa chama chao.
Sometimes hata CCM sishangai kuona wanakumbatia madudu na bado ma fan boys wao wanawasupport kumbe hata upande wa pili yale yale
Naona magamba yanajitahidi sana kui amplify hoja dhaifu na isiyo na mashiko ya kadi ya ccm.
Kujaribu kuwatumia watu waliosimamishwa uongozi Chadema inaonyesha ni kiasi gani gambaz wamekuwa desperate!
Mzee wa zero planet kwiro sekondari sasa anaona amepata hoja ya kumuongezea posho toka lumumba, angalau kwa kipindi hiki ataweza kujitegemea baada ya kuwa kula kulala kwa baba yake tangu aliposhindwa ubunge wa Afrika Mashariki kwakuwa pensheni yote ya udereva wa magari taka huko US iliisha kwa kutoa rushwa ili achaguliwe lakini akapigwa nyavu ndogo.
Tangu wakati huo amekuwa akitunzwa na waziri mkuu mstaafu na kumfanya mzee ahame jiji na kukimbilia kijijini mtera kujinusuru na aibu ya kulea zee zima la umri zaidi ya nusu karne.
Field Marshall ES unakumbuka ulivyokuwa unajaribu kutapeli:
Mzee Mwanakijiji akakujibu
Ukajibu hivi kwa hasira:
Hivi umeamua kuwa mpiga debe wa CCM baada ya hizo pesa za kitapeli kuisha?
- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Es!