Hawa nyumbu sasa wanatia kinyaa. Mi nilijua Lowassa labda ana nguvu ya ziada.. Kumbe ni ujinga tu wa Watanzania!! Leo hii mtu anamuona Dr Slaa shetani, halafu Lowassa malaika!! Duh...Mmecharuka kumponda Dr.Slaa bila kujua hizo taarifa ni kweli au fitna tu! Kosa lake nini? Chuki gani hiyo kwa Dr.Slaa hata downfall ndogo tu tena ya majungu muifurahie kama hivi!! Kumbukeni hakuna adui au rafiki wa kudumu katika siasa! Au mshasahau huu usemi maarufu
Hana chochote hakuna mtu yeyote anaemufuatilia kutaka kumudhuru au kumfikiria kama yupo, ameshaona baada ya kupoteza wadhifa wake Chadema na sasa nyumba, kwa kutaka kumuridhisha mama, maisha yake yatakuwa magumu kuishi Tanzania bila pato lolote, kwahiyo ni bora aombe ukimbizi Canada apate nyumba ya bure na vijipesa kidogo za kumsaidia.Swala la lipumba...na dr slaa ni tofauti..
Mahangaiko yanayomsumbua dr ni mengi.... usaliti wa chama na kanisa... ni vitu hatari sana...
Lipumba anaweza kuomba msamaha akasamehewa ikumbukwe wakati anajiengua kwenye kiti chake bado hajakaa mbali na siasa...
Huyu dr makando ni mengi mara familia...mara chama...mara kanisa...mara bango la nyumba...
Huyu Dr kama kachanganya mambo vile !!!!.
Labda first lady ameleta shinikizo anyway apewe mzee amalizie maisha vizuri
Likishaiva kama halijauzika ndani ya siku tatu imekula kwakoHivi maparachichi hayaozi eeh?!
Haukuwa wito wake mkuu, aligundua wito wake ilikuwa ni sacrament ya ndoa.
kenny Rogers! gamblerHuko atafanya kazi gani? upadri haez rudi,siasa kashachemka,mchumba ndoa haieleweki,mkono wametegua,nyumbani anakuogopa. Oooh poor slaa,you failed to play your cards. Siasa nikama kamari unatakiwa ujue time ya kuicheza siasa,time ya kuhesabu hela na time ya kukimbia.
vijana kama kafulila na wenzake wajifunze,mtu maarufu ukifulia nitabu sana inabidi umwone psychologist.
Rudi hom dr. Slaa tupo tunaoenzi jitihada zako na tutakulinda kwa nguvu zooote
Kwa kweli Ina sikitisha Sanaa mtu aliye jijengea heshima kubwa sasa hivi Ana enda kuwa kundi Mmoja Na Mzee wa kiraracha
Weka akiba ya maneno..Hii taarifa haina uhakika.Huko atafanya kazi gani? upadri haez rudi,siasa kashachemka,mchumba ndoa haieleweki,mkono wametegua,nyumbani anakuogopa. Oooh poor slaa,you failed to play your cards. Siasa nikama kamari unatakiwa ujue time ya kuicheza siasa,time ya kuhesabu hela na time ya kukimbia.
vijana kama kafulila na wenzake wajifunze,mtu maarufu ukifulia nitabu sana inabidi umwone psychologist.
Rudi hom dr. Slaa tupo tunaoenzi jitihada zako na tutakulinda kwa nguvu zooote
shugulisha ubongo wako kidogo,wewe ni great thinker mpaka na gazette utafutiwe wakati google ipo?Please.! ungikuwa vizuri mngetuwekea na hilo gazeti na tungesibitisha kuwa hiyo ni habari au porojo. Ila nimjuavyo dokta siku akirudi huu wote utaonekana upuuzi na udaku.
Mkuu unataka watu wawe wale wale? Kwa hiyo unataka kina Wasira,Mtei Malechela na sampuli hizo zidominate siasa za hapa milele?CDM ya EL imepwaya sana. Vijana wadogo akina Salum Mwalim wanajikanyaga tu. Hii habari imeletwa na magazeti ya habari corp. Tunafahamu mlengo wao toka uteuzi wa ndani ya vyama,kampeni hata baada ya matokeo. Hao wanshabikia mtu,si sera. EL na CDM mamluki wanadhani Dr Slaa ni threat kubwa kwao kuliko CCM.