Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Mchumba anampeperusha mzee wa watu kama kishada vile. Haya tunamtakia ulaji mzuri wa mihogo huko aendako.
 
Siamini km Dr. Slaa yule aliyekuwa anapendwa kiasi kile ndo huyu anayetupiwa mayai viza na kila mtu. Du! Kweli Dr. alibugi step.
 
Tupo vitani tukitetea rasilimali zetu yakiwemo madini na makanikia, so wenzetu mnaoishi Canada makao makuu ya adui tujulishane yanayojiri huko. BTW Katibu Mkuu wa Chadema mstaafu aishiye huko Canada anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?
 
Atakuwa anabeba box tu, usaliti haujawahi kumwacha mtu salama
 
ana beba box napigia msitari

7a7df09865c3ce48318a09087d03e157.jpg
 
Mbowe ana fanya nini nyumbani kwa Wema?
 
Back
Top Bottom