Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

Dr. Slaa aomba ukimbizi Canada

da9d0f747c131a92fe974dc42a7faca3.jpg

Mtamkumbuka sana..... Lakini Mashinji si yupo Katibu Mkuu msomi kuliko wote duniani?
 
Bado yupo Fungate..
Anakula mzigo..
Mshumbushi hajawahi muacha Dr Salama..
 
Tupo vitani tukitetea rasilimali zetu yakiwemo madini na makanikia, so wenzetu mnaoishi Canada makao makuu ya adui tujulishane yanayojiri huko. BTW Katibu Mkuu wa Chadema mstaafu aishiye huko Canada anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?
Muulize Mbowe LOWASA yuko wapi?
 
Muongeze na mmoja ameenda huko juzi sijui kufanya nini!
Tumekataliwa kuwajadili
 
ehee, watu mna majibu.. Halafu kwa dizaini hii tuendelee.. Hizo ni ndoto za yesu kuja, wkti hatujui ni lini atakuja duniani tena.
 
Kwanza huku wana UKAWA wengi wanamuonea huruma
alivyoingizwa mkenge na Magufuli

Sasa watu wanao kuonea huruma wataku dhuru vipi?
Naona siku hizi kachoka hata kutoa pongezi kwa Magufuli. kapongeza weee, mwisho kashindwa
 
Habari za kutoka magazetini leo asubuhi itv zimesema kuwa Dr. Slaa ameomba ukimbizi huko Canada kwa madai kuwa maisha yake yamo hatarini Tanzania!

Swali: Ni nani huyo anayetishia uhai wa Dr.Slaa?
Mmm, ngoja nipite tu.
 
Usaliti ni kitu kibaya sana asa kuwasaliti wananchi sasa slaa alilisaliti hadi kanisa na familia huyu bado kuchanganyikiwa tu
 
Back
Top Bottom