Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

Kila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.

DO SOMETHING or just shuthole.

Kwa wananchi ndo MAHAKAMA kuu kuliko zote. Umesahau hatua ya zile namba za Makinda na Ndugai? Walishika adabu yao, naona wanataka kurudia makosa yao tena.
 
Tabia ya kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli...ni ya ibilisi!!
Wabunge wa CCM kila mtu anajua ndio waongo wakuu wana pitisha vitu bungeni kwa kushangilia ..lkn maisha ya mtanzania wa kawaida yanazidi kuwa magumu kila siku!!!!!

Sasa nani muongo hapa!!

maisha ni magumu kwako tu wewe ambaye unaishi kwa hisani za dr slaa
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Taratibu nyingine zinahalalisha wizi na ufisadi! Kwani ni kitu gani alichokisema Mh.Mbilinyi ambacho kinastahili kupelekwa kijiweni? Bila shaka wewe ni kati ya wakurupukaji! Tuambie kuanzia kifungu cha kwana cha hotuba yake hadi cha 13 wapi panaonesha uchache wa fikra?
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.

Tuache kucheza na mambo ya msingi yanayo waongoza Watanzania,hivi watu kung'olewa kucha,meno na matukioa yanayoendelea yanayo kwenda sambamba na kauli za viongozi ndani ya serikali nayo ni uchochezi?Labda Ritz ulitaka matukio haya yaendelee tu bila kukemea ili kuficha yaliyo nyuma ya pazia.

Jambo lolote baya kama huna uwezo wa kulikemea basi onyesha kuchukizwa nalo,kinachofanywa na wapinzani ni kujitoa mhanga kuwatetea wanyonge ambao walikwisha dharaulika na kufanywa nyenzo ya kutafutia kura.
 
slaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika
Kuna watembea na sumu zaidi ya ccm? Kolimba,Mwakyembe,Mrema,Mwangosi,Kibona,Balali,Kubenea,......................;;;;;;;;;n.k n.kNa wewe hauko salama
 
maisha ni magumu kwako tu wewe ambaye unaishi kwa hisani za dr slaa

Angalia uavyowaza kiudahaifu kama JK!
Nyie ndio viongozi wetu wadahaifu namna hii! Huyu Dr Slaa mnae muogopa namna hii, kunasiku atawafanya kitu kibaya sana!
 
Spika wa bunge la Tanzania ni sawa na Remote Control ya Decoder!
 
Kuna watembea na sumu zaidi ya ccm? Kolimba,Mwakyembe,Mrema,Mwangosi,Kibona,Balali,Kubenea,......................;;;;;;;;;n.k n.kNa wewe hauko salama

kama huamini kamuulize ben saa8 aka molemo
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.

....aaaah hata wewe..? ngoja tukusaidie kuelewa, aliochosema "HAKUNA KANUNI YOYOTE INAYOMPA MAMLAKA SPIKA KUPELEKA KWENYE KAMATI YA MAADILI ILI WAAMUE NINI KISEMWE" kama bunge sio kijiwe mwambie madam spika asiokote kanuni za mitaani na kupeleka bungeni. Bunge limejiwekea utaratibu wake ni wajibu wake kuufuata utaratibu...
 
Wabunge wa CHADEMA wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na Dr. Kigwangala wapatiwe tiba.

Hivi uoni aibu thread moja una comment mara tatu tatu mkiambiwa mnalipwa povu linawatoka.
 
Taifa kwanza, Uzalendo mbele anae shabikia ccm usawa huu ana utindio wa ubongo

kwa hiyo unajuaje kama mie nasukumwa na buku saba na si uzalendo. mzalendo ni yule anayetetea serikali na chama tawala nyie wengine ni wasaliti na waganga njaa
 
Nasikia mwanahalisi imerudi mtaani kwa jina Mawio. Hiyo habari ileteni kwa upana, ili tuwalewe vizuri.
 
kwa hiyo unajuaje kama mie nasukumwa na buku saba na si uzalendo. mzalendo ni yule anayetetea serikali na chama tawala nyie wengine ni wasaliti na waganga njaa

Leo Juliana Shonza ni zamu yako kutumia i.d hiyo upo shift ya mchana?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom