vivyo hivyo pia bunge siyo idara ya ccm. huwezi kuchukua maelekezo ya chama ukaendeshea bunge. mtu akisema taifa linaloongozwa na ccm linaua na kuwatesa waandishi wa habari kamchochea nani dhidi ya nani? ni sawa na kusema hata shuleni tusitathmini hali ya taifa na mustakabali wake. kama hamkutaka watu wawaseme kwanini mliwateka na kuwauwa baadhi ya waandishi?Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.