Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

Huwezi kuwa mtuu mzima wewe kwa hiyo nadeo filikunjombe nae anaumwa na wasema ukweli wa ccm nao wanaumwa...sasa labda wewe unaishi kinyume kama ukweli kwako ni uwongo na uwongo kwako ndio ukweli sasa wewe co binadamu utakuwa jini wewe
sure mkuu maana siku hizi wagonjwa wameongezeka. Zamani alikuwepo lisu pekee lakini sana kuna lema, msigwa, sugu, mnyika na wengine wanakuja. Kuna haja ya waziri wa afya kuomba fungu maalum ili kituo cha kutibu watu wa aina hii kianzishwe pale bungeni na dr kigwangala aongezewe wataalam na vitendea kazi
 
Dr. Slaa anafurahisha sana, hawezi kukaa siku tatu bila ya kutafuta tukio la kutokea nalo kwenye jamii ya Watanzania na akikosa tukio analazimisha ili mradi tumsikie.

Viongozi wa CHADEMA hawana tofauti na RockStars.

Saa ya ukombozi imewadia nyie endeleeni kupiga kelele.
 
Kama usingizi mnono wa asubuhi ulikufanya kuzembea shule, hili siyo tatizo langu kutokuelewa neno SHUTHOLE. Jaribu masomo ya jioni ya kujiendeleza!!

Hahahahaha!....wewe utakuwa mmoja wa wale waliopata div 0 sasa wanawachakachuliwa ili muonekane mna akili...hata wakifanyaje? Mwisho wa siku "the cream always rises to the top"....pole sana wewe na serikali yako
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.

Kinachotakiwa kuzungumzwa Bungeni ni Facts tu, bunge lilitakiwa lipokee ile hotuba na liifanyie kazi ikiwepo kuibana kambi ya Upinzani katika kuthibitisha ukweli wa mauaji kama kweli Serikali inaua waandishi wa habari ama la, failure kuthibitisha ndo tungeidharau kabisa Chadema, kwanini Serikali haitaki kuibana Chadema ithibitishe? nani yupo Tayari kuiona Serikali inayo undwa na chama chake inaachwa uchi officially japo mpaka sasa ipo uchi
 
Kakasamu najua unasumbuliwa na book 7, hamna shida kwa leo zimeingia tayari. Unajua definition ya uchochezi? Kuna mchangiaji mmoja hapa ameeleza vizuri kwamba uchochezi wa hali ya juu ni vitendo vya kuiba pesa za umma na kuzificha uswizi, kutorosha wanyama wetu wakiwa hai, kuua tembo wetu, kuingia mikataba ya kifisadi, kuiba pesa benki kuu kupitia EPA n.k. Hivi ndivyo vitu vinavyochochea chuki ya wananchi dhidi ya serikali sio hotuba ya wapinzani inayolenga kuikumbusha serikali kuacha kuua waaandishi wa habari kama njia ya kuwanyamazisha kwasiandike juu ya uozo wa serikali. Jumuia ya kimatiafa tayari unajua kwamba Tanzania ni nchi ya saba duniani kuwa hatari kwa waandishi wa habari. Na kama Bunge lilifikiri alichokisema Mh. Sugu ni uzushi si wangemtaka alete ushahidi?

Wimbi la ukombozi wa pili wa nchi hii hauwezi kurudi nyuma kwa kumtumia mtu kama Makinda au bunge au kutuma watu hapa JF kuja kuandika utumbo, usijidanganye na wafikishie wakubwa zako ujumbe huu.

Tiba
tiba mimi nilifikili umekomaa kimawazo kumbe bado mchanga kiasi hicho unaeleaelea tu tulia au mpaka upepewe,unaweza kuongea ufisadi bila kumtaja slaa na mbowe? slaa aliiba pesa za kanisa mbona hujatuambia,mbowe anatumia pesa za ruzuku atakavyo na hakuna wa kuhoji akihoja unamfuata chacha wangwe unataka ufisadi gani,pesa za uswis ni nadharia tu zito muhuni anajijengea umaarufu wa uongo kwa kuwahadaa watu na hapo siagusia ufisadi wa wake za watu.
 
Bado najiuliza tulikosea wapi mpaka tukawa na viongozi wa AJABU km makinda....She don't want to perform her duties japo kazi anaitaka....coz hiyo hutuba ilipitapita wapi mpaka ikaja kusomwa hakuiona kabla...au ndo uvivu wa kusoma na kufuatilia mambo....coz yupo kama aliiona mara ya kwanza pale...na kutoka usingizini kuipiga stop na nyiyi vijana wa CCM maomtetea hamuoni km Makinda anawaibisha au hayupo makini kama ni kuizuiya kwa nini asifanye tangu mwanzo....NiAIBU na UJINGA kuktetea tu hata kama ni UJINGA kisa ni mtu wa CDM kamsema wa CCM
 
Kakasamu najua unasumbuliwa na book 7, hamna shida kwa leo zimeingia tayari. Unajua definition ya uchochezi? Kuna mchangiaji mmoja hapa ameeleza vizuri kwamba uchochezi wa hali ya juu ni vitendo vya kuiba pesa za umma na kuzificha uswizi, kutorosha wanyama wetu wakiwa hai, kuua tembo wetu, kuingia mikataba ya kifisadi, kuiba pesa benki kuu kupitia EPA n.k. Hivi ndivyo vitu vinavyochochea chuki ya wananchi dhidi ya serikali sio hotuba ya wapinzani inayolenga kuikumbusha serikali kuacha kuua waaandishi wa habari kama njia ya kuwanyamazisha kwasiandike juu ya uozo wa serikali. Jumuia ya kimatiafa tayari unajua kwamba Tanzania ni nchi ya saba duniani kuwa hatari kwa waandishi wa habari. Na kama Bunge lilifikiri alichokisema Mh. Sugu ni uzushi si wangemtaka alete ushahidi?

Wimbi la ukombozi wa pili wa nchi hii hauwezi kurudi nyuma kwa kumtumia mtu kama Makinda au bunge au kutuma watu hapa JF kuja kuandika utumbo, usijidanganye na wafikishie wakubwa zako ujumbe huu.

Tiba

Tiba gani hiyo mkuu. au ile ya kuwatibu akina lissu
 
Huwezi kuwa mtuu mzima wewe kwa hiyo nadeo filikunjombe nae anaumwa na wasema ukweli wa ccm nao wanaumwa...sasa labda wewe unaishi kinyume kama ukweli kwako ni uwongo na uwongo kwako ndio ukweli sasa wewe co binadamu utakuwa jini wewe

mkuu, hako kaugonjwa na wao kanawanyemelea. ipo siku watakua kuvua nguo bungeni. ila nashukuru dr kigwangala amewatibu na sasa watakuwa wanatoa michango mizuri
 
Wabunge wa CHADEMA wamekuwa kama wamechanganyikiwa. Hawajielewi. Wakaonane na Dr. Kigwangala wapatiwe tiba.

Kama unamwona Kigwangala kama role mode wako nawewe utakua umechanganyikiwa inabidi ukamwone doctor.AKILI YA MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 100 WA CCM.TAFAKARI
 
Hahaaaaa kumbe mnaangalia TBC?mnatapa tapa kweli poleni.
Vipi kuhusu mchakato wa katiba mpya siku zinaenda mnajitoa lini au ndo mtafanya kama mlivyofanya TBC?Baada yakujikuta mko wenyewe mnaotaka kujitoa maana mlitegemea mngeungwa mkono mnasahau kwamba nchi hii ina zaidi ya watu million 35 ambao si wanachama wa chama chochote cha siasa na katiba hii ni ya wananchi sio wanachama wa vyama vya kisiasa.
Mlikuwa mnatingisha kiberiti mmekuta kiko full mmeamua kutulia.

dada shonza, chadema wamefilisika kisiasa. walivyoona hoja yao ya kujitoa imepuuzwa na watanzania, si wakazunguka mlango wa nyuma na kuwashawishi akina deus kibamba kupitia jukwaa la katiba eti waende mahakamani kusimamisha mchakato! wapi bana, na wao wamechemka maana kila mtanzania amewapuuza
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.

lakini jana sugu aliwaweza kweli maana hakuficha kitu.... aibu kwa serikali SIKIVU ya ccm
 
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.

Hii ni kweli kabisa mkuu, ila naona kama Bunge letu sana linaendeleza sana ushabiki wa kivyama na kuacha jukumu lao la msingi la kuisimamia serikali, hili ni tatizo kubwa sana, na ninaona wananchi hatutendewi haki kabisa!
 
Bado najiuliza tulikosea wapi mpaka tukawa na viongozi wa AJABU km makinda....She don't want to perform her duties japo kazi anaitaka....coz hiyo hutuba ilipitapita wapi mpaka ikaja kusomwa hakuiona kabla...au ndo uvivu wa kusoma na kufuatilia mambo....coz yupo kama aliiona mara ya kwanza pale...na kutoka usingizini kuipiga stop na nyiyi vijana wa CCM maomtetea hamuoni km Makinda anawaibisha au hayupo makini kama ni kuizuiya kwa nini asifanye tangu mwanzo....NiAIBU na UJINGA kuktetea tu hata kama ni UJINGA kisa ni mtu wa CDM kamsema wa CCM

Mkuu hemu tumia kiswahili, maana naona matumizi ya tense yana kushinda.
 
Safi sana Dr.slaa,hakuna kupunguza ki2 kwan yaliyozungumzwa na sugu ni ukweli m2pu.
 
dada shonza, chadema wamefilisika kisiasa. walivyoona hoja yao ya kujitoa imepuuzwa na watanzania, si wakazunguka mlango wa nyuma na kuwashawishi akina deus kibamba kupitia jukwaa la katiba eti waende mahakamani kusimamisha mchakato! wapi bana, na wao wamechemka maana kila mtanzania amewapuuza

Ikiwa baba hana maadili yoyote aliasi kiapo cha dini hakuishia hapo akatelekeza mke na watoto na kuamua kukwapua mke wa mtu sioni ajabu kwa yeye kutetea utovu wa nidhamu wa vijana .
Tatizo kubwa chadema hawana agenda maalumu kwa watanzania na ndio maana wanafanya siasa kimfuniko na hoja zakuvizia zakimatukio halafu wanataka tuwape nchi sijui waipeleke wapi?
 
Back
Top Bottom