JAMES SIMBA
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 111
- 23
Sangara,huyo jamaa hata tamko hajuio ni nini.Unaelewa maana ya tamko?
Sangara,huyo jamaa hata tamko hajuio ni nini.Unaelewa maana ya tamko?
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Ni utaratibu upi unao uzungumzia mkuu Ritz? Utaratibu wa kambi ya upinzani kuchaguliwa kipi waseme bungeni umeanza lini? You should feel ashamed kwa kutetea huu upuuzi hata kama kula yako inategemea unachoandika hapa jamvini.
Tiba
Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Kila siku anamuonya SPIKA wa bunge. HOW MANY TIMES?. Kwa nini sasa asichukue hatua. Inaonekana Kuonya kwa tafsiri ya Dr. Slaa ndiyo kuchukua hatua butu. Hizi ni kama kelele zisizokuwa na maana ambazo zinakosa hata mwelekeo maalum.
DO SOMETHING or just shuthole.
bunge haliwezi kuvunjika kwa matakwa yake wala ya walalamikaji, litavunjwa kwa matakwa ya wananchi maskini na wavuja jasho
jifunze kuwa mtu mzima wapinzani hawapangiwi cha kuzungumza lakini uhuru wao kisiwe kigezo cha kutunga uongo kwa malengo ya kuchafua watu,kuchochea chuki na kukejeli wetu.wajenge hoja wataeleweka tu,waoneshe uongozi wao nasiyo kuonesha ujana.Ni utaratibu upi unao uzungumzia mkuu Ritz? Utaratibu wa kambi ya upinzani kuchaguliwa kipi waseme bungeni umeanza lini? You should feel ashamed kwa kutetea huu upuuzi hata kama kula yako inategemea unachoandika hapa jamvini.
Tiba
Hivi sasa hivi Spika kasimama kumkataza Rebeca Mgodo asiongelee habari za Fredric katulanda aliyevamia kwenye nyumba yake wa gazeti la mwanachi huyu mama menoupose yake imechanganya kweli yaani anadhani haya mambo yakifichwa ndio utakiwa utatuti au tungeyasema wazi ili ufumbuzi ufikiwe
Kanunu ipi inaruhusu spika ailishe shughuli za bunge? kisa kesi ipo mahakamani? shame!mkuu, bunge lina kanuni zake. ni kutokana na kubaini kuwa chadema kupitia sugu jana walikuwa mambumbumbu wa kanuni za bunge ndo maana leo asubuhi john mnyika akaomba kutoa hoja ili kanuni ya bunge inayozuia jambo lililo mahakamani kuzungumzwa bungeni itenguliwe ili bunge sasa liingilie uhuru wa mahakama. hakujua kuwa mahakama ni mhimili kamili wa nchi ambao hautakiwi kuingiliwa katika majukumu yake kama lilivyo bunge. tatizo ni shule
Tunasikiliza bunge we kilaza...kumbe mnasikilizaga TBC1?
neno hili zuri fu u by serukamaba,siongei na mbwa kwa hisani ya ???????Bunge siyo kijiwe ni muhimili wa dola huwezi kuokota maneno mitaani na kuyapeleka bungeni hilo aliwezekani. Bunge limejiwekea utaratibu wake kila mbunge ni wajibu wake kuufuata utaratibu.
Ni utaratibu upi unao uzungumzia mkuu Ritz? Utaratibu wa kambi ya upinzani kuchaguliwa kipi waseme bungeni umeanza lini? You should feel ashamed kwa kutetea huu upuuzi hata kama kula yako inategemea unachoandika hapa jamvini.
Tiba
Wewe acha bana.wewe kwa akili yako finyu unadhani dr slaa atachukua hatua gani kama si kuendelea kulalamika tu. imemshinda familia ataweza kutetea maslahi ya taifa?
Kwani uongo hamuwang'oi kucha waandishi na meno na kuwaua kama kwa Mwangosi
mkuu, huo ni udhaifu mkubwa kudhani kuwa kila anayempinga dr slaa analipwa buku saba. wengine wamejenga tu chuki naye kutokana na kitendo chake cha kulikimbia kanisa. wengine wamechoka kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu. wengine wana bifu naye kwa kitendo chake cha kujaribu kubaka ofisini kwake. huku wengine wakimchukia kwa kitendo cha kushinikiza akina shonza na mwampamba wafukuzwe, kwa ujumla dr slaa ana maadui wengi kuliko unavyofikiri. ni wewe tu umebaki kumtetea kwa vile tu unatetea mkate wake
Bunge siyo kijiwe cha kahawa.
slaa awaonye watembea na sumu hadi bar kwanza ndipo aweze kumuonya spika
Wewe mwenye miakili kibao ndio unaelewa, mimi kilaza sijui lakini ninachojua viongozi wene midomo yao inawadhalilisha kwa kauli wanazotoa, manake wanaonekana vichekesho tu sasaUnaelewa maana ya tamko?
kumbe mnasikilizaga TBC1?