kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,550
matatizo ya kukariri kua, ukishakua mpinzani kila kitu unakipinga ndio haya...inanipa mashaka kuwa na kiongozi mwenye hulka za kidikteta, kiongozi ambaye hana msahama, wala asiyependa reconciliation ni hatari, Mungu mwenyewe anasamahe...ingawa tunamkosea kila siku...bahati mbaya Chadema kuwa na viongozi wenye hulka hatarishi kama hawa..
mr stroke....naomba kidooogoo nikumoderate...historia si ya kupuuzw hata kidogo...
rejea historia ya vyama vingi na upinzani tanzania....pengine hata dr slaa ukimuuliza ni mara ngapi amekoswa koswa na mauti ndio utanielewa....
however, ni nguvu ya ajabu ya dr slaa ndio inapelekea ukombozi wa nchi hii....wengi walijaribu wakashindwa refere kina mbatia na wengine......
vyombo dola kama kina john tendwa.....tume za uchaguzi...polisi .... mahakama na wengineo wamezoea kuwashughulikia wanasiasa wa upinzani kama wezi wa kuku....kiasi kwamba wamewashushia sana heshima zao na kuwadhalilisha sana....imagine mtu kama tundu lisu ambaye naamini tangu amepata akili hajawahi kutembea tumbo wazi anachaniwa nguo na askari na analazwa ndani bila kosa....fikiria mtu kama mbowe anasakwa kama jambazi la magari.......lazima mwisho wa siku huyu mtu awe morally and psychological destructed.....JUST IMAGINE AT ONE TIME MTU UNAKUWA NA KESI KILA KONA YA NCHI..ETI UGAIDI......kwa hiyo destruction hii ni state made..and sencirely, we should do something on it!!!!!
na pengine ndio kuna haja kumwelewa dr slaa alivyosema yeye uraisi ni kipindi kimoja tu..kama mandela alivyofanya...alete ukombozi ndipo aikabidhi nchi kwa amani......anajua kabisa kuwa mawazo yake yatakuwa na orientation za ukombozi zaidi...ili hali kizazi kipya kinafikiria economic progress.......
kama kuna mtu namheshimu sana basi ni tulway sumaye....ambaye alisema kupata uraisi ni vitu vitatu...1...chama chako.....2....sanduku la kura na 3.....kuungwa mkono na dola....
dr slaa kuukosa uraisi 2010 haikuwa bahati mbaya tu...bali..muda zaidi ulihitajika ili both..yeye na ...dola.....wafanyiane orientation za dhati........miaka mitatu baadae..dola imemtambua vizuri na yeye anazidi kuitambua vyema.....
hivyo basi, mimi bado naamini kuwa Dr Slaa aliteleza....na mimi kama mwanachama mwaminifu wa CDM na tanzania ninaomba kwa mara nyingine tena kumuombea msamaha....
naomba kutoa hoja...