And the cycle becomes endless.Wamekwenda kusimamisha vita.
And the cycle becomes endless.Wamekwenda kusimamisha vita.
JasusiKama ninachosema ni pumba hebu jibu swali langu moja tu. Umesema vita siyo suluhisho. Kama ni hivyo Kikwete amepeleka wanajeshi wetu Goma kufanya nini? Stop this obsession with Slaa!
Jasusi
Kila siku nahoji upeo wako nadhani majibu yapo wazi; sina haja ya kufunguka zaidi kila kitu kinajieleza wazi inawezekana upeo wako kishule ni mdogo sana; majeshi ya Tanzania yapo kwa kulinda amani kwa mujibu wa sheria na taratibu za umoja wa mataifa yapo kule baada ya umoja wa mataifa kuiomba Tanzania kuchangia askari; zipo nchi kadhaa zimechangia askari Tanzania haikujipeleka yenyewe; msingi mkubwa wa kuwepo askari Goma ni kulinda amani na ndio maana hadi leo hawajarusha risasi; mimi hata siku moja sikwezi kuwa obsessed na slaa nyie ambao ndio mmjeigeuza waumini wa slaa ndio mpo obsessed naye mpo tayari kula kinyesi chake ili mradi mumridhishe; kama ukaavyo slaa na uraisi wa Tanzania ni mbingu na ardhi; jiandae kutafuta mtu mwingine wa kumuabudu baada ya 2015!
And the cycle becomes endless.
JasusiUmesema ukweli kaka. Upeo wangu kishule ni mdogo sana. (Anayekutukana hakuchagulii tusi.) Lakini baada ya kusema hayo hujajibu swali langu. Kama vita siyo suluhisho, kwa nini Kikwete amekuwa na kiherehere cha kupeleka majeshi yetu Congo? Yeye anawashauri wenzake wazungumze na wapinzani wao wakati yeye kapeleka jeshi Mtwara kudhibiti raia ambao wana haki ya kulalamikia gesi yao? Charity begins at home, kaka.
Kaka,Jasusi
sijakutana huo ndio ukweli wenyewe shule yako ndogo au hicho ulichosoma hukuelewa ulisoma kwa lengo la kutundika vyeti ukutani kama picha lakini kichwani kwenye analyze vitu ni minus yaani kwa maana nyingine hata mtoto anayetambaa ana nafuu!
Thats true huwezi kuacha majambaz yavamie kisa unagombana na alieko ndaniDr.Slaa anaweza kuongea hivyo kwa sasa. Lakini hata Dr. Slaa angekuwa Rais wa nchi,maisha yake binafsi na mipaka ya nchi yake ikitishiwa,angeanza kwanza ku deal na wanaotishia mipaka ndipo angekuja kutatua ya ndani.
Ukiwa unagombana na mkeo/mumeo ndani,ukasikia watu wanataka kuvunja gate wavamie kwako,cha kwanza utaenda kupambana na wanaivunja gate lako ukisha wasambaratisha ndio utarudi ndani kupatana na mkeo/mumeo.
It's very unfortunate to have people with shallow minds like you; peace will be achieved because the world has become one when it comes to this nonsense war!
kulinda amani baada ya Tanzania ya kuombwa na umoja wa mataifa na labda nikuulize majeshi ya Kagame yanafanya nini Congo?Kaka, Hata kama shule yangu ndogo hujajibu swali langu. Majeshi yetu yanafanya nini Congo kama vita si suluhu? Didn't you say that?
Sikusushii hadhi nakueleza ukweli; unashabikia hali ya Congo kwasababu labda huna ndugu lakini ni ukweli usiokificho Kagame ndio chanzo cha kukosekana amani ya Congo; mzozo wa Congo haukuanza jana kama lengo la Tanzania ilikuwa ni kujiingiza vitani ni wazi ingefanya hivyo zaidi ya miaka 5 mitano iliyopita na hatukufanya hivyo; hivi sasa tumeombwa kwenda kulinda amani; umoja wa mataifa haupo Congo kupigana dhidi ya waasi kama lingekuwa ni hilo nadhani hata huyo Kagame unayemshabikia asingekuwepo madarakani; isitoshe mizozo ya vita kwenye ukanda wa maziwa ni mzigo kwa serikali ya Tanzania; tutapokea wakimbizi hadi lini? imefikia hatua hali ya usalama inatishiwa na wakimbizi ambao tumepokea; sasa ubaya ulikuwepo wapi kwa kushauri Kagame atafute suluhu mezani? kwa ufupi wa akili zenu mnachanganya mada; Mtwara hakuna waasi ni kikundi cha watu waliokuwa wakitumiwa na wanasiasa uchwara kama slaa; jeshi limefanya kazi yake kwa mujibu wa katiba ya nchi.Inasikitisha kuona watu wanapoishiwa hoja hugeuka kushusha hadhi ya wenzao. Ni wewe mwenyewe uliyesema kuwa vita si suluhisho, lakini kwa hili la Kikwete kupeleka majeshi Congo nakuuliza vita ina role gani unasema nina shallow mind. Kama ni shallow mind basi let me be.
kulinda amani baada ya Tanzania ya kuombwa na umoja wa mataifa na labda nikuulize majeshi ya Kagame yanafanya nini Congo?
Umeuliza swali zuri. Nijibu na wewe Interahamwe inafanya nini Congo? FDLR wanafanya nini Congo? Kama kweli UN wanataka amani Congo wahakikishe FDLR hawatumii eneo la mashariki mwa Congo kuhujumu uhuru na amani ya Rwanda.[/QUOT
Unaumwa ww..wasitumie eneo la Congo wakati huko ndio makazi yao...RPF mbona wao walitumia eneon la uganda kuihujumu serikali ya Habyarimana au unadhani wao walitumia eneo la kutoka mbinguni???Hata RPF wakati huo Rwanda ilikua na amani na walifanya hivyo hivyo wakitokea kwa m7...hii ni tit for tat....FDLR huko Congo ndo makazi yao kama ilivyokua RPF uganda...umenifahamu.
sasa wewe unatuletea mambo ya lumumba....
ili upate kutia akili kwenye ubongo wako naomba ujibu swali hili..
je ni katika kesi ngapi DPP anazoibambikia chadema serekali imeshinda???
ukiishajibu ndio tutaendelea na mjadala.....
na kama ni kuteleza basi na aliyesema nasema apigwe tu..... na liyesema mimba za watoto ni kiherehere chao unawachukuliaje?
Kikwete kasema hadharani kwenye mkutano wa wakuu wa Afrika na si barabarani na Kagame alikuwepo.
Kumbuka, mimi na wewe hatujuwi kama walishayaongea hayo wakiwa peke yao, hawa watu si mara moja kukutana.
Pia elewa kuwa, hata Kagame kama hakuupenda huo ushauri na hataki kuzungumza na Wahutu ilikuwa ni busara angejibu kistaarabu katika mkutano huohuo badala ya kungoja afike kwao kwanza halafu aanze kubwabwaja.
Kikwete kamjibu vizuri kabisa juzi, kasema huo ni ushauri tu na yeye ana haki ya "kuukubali au kuukataa" lakini si kwa kejeli na kutishia kuwa atampiga, yamefikaje hayo? Mbona hao alioambiwa akae nao na kutafuta suluhu hatujawasikia kukosa adabu na kuongea hovyo kama huyu Kagame.
Kwani alilazimishwa? si angesema tu " Rais tumekusikia, hatutaki kuongea nao na hatutaki kulizungumzia hilo. basi, kwisha.
CDM kama ni chama cha watu wanaofikiria mbele huu ndo wakati muafaka wa kumpiga chini huyu dr maandazi slaa....na kuweka mtu kama Zitto Kabwe 2015 ikiwa wanataka kura...huyu slaa kitu kidogo kama hiki ameshindwa kutoa maamuzi ya maana..hivi huyu kweli ndo mnategemea kushika nchi??? au kijiji???kama nchi itapata kiongozi kama huyu from that time naukana uraia wa bongo maana itakua ni kichekesho kwenye international community!!!yaani mara elfu hata Mtikila anaweza kuongoza na kuona mambo kwa kina lakini sio huyu dr cjui slaa!!!
Slaa n janga la taifa,na makosa aliyoyafanya katka Dini alioitumikia na kuikacha wakat tayar ameshakula NADHIRI ya maisha ndo laana inayomtafuna na itakayo mtafuna milele,huyu mtu sio mwema kabsa na hana mpango na aman TZ,nnaanza hata kuamin mipango ya Lwakatare na wenzake n idea toka kwa huyu babu!!anachotaka kukifanya sasa n kuhakikisha anaingia Ikulu hata kama n kwa Serkal Mseto japo anajifanya kuipnga,,,,Tumkatae vijana wenye utimamu.
Umeuliza swali zuri. Nijibu na wewe Interahamwe inafanya nini Congo? FDLR wanafanya nini Congo? Kama kweli UN wanataka amani Congo wahakikishe FDLR hawatumii eneo la mashariki mwa Congo kuhujumu uhuru na amani ya Rwanda.
For your information katika hili suala la Kagame nimeanza kumpinga Kikwete hata kabla ya Slaa kusema aliyoyasema juzi. Mimi siyo kama wewe ambaye unamtetea Kikwete kama vuvuzela hata pale anapoboronga. Na katika hili nimefurahi Mzee Slaa ana maoni yanayoshabihiana na yangu.naona akili yako imeanza kurejea kidogo jeshi la kulinda amani Congo haliangalii upande mmoja lipo kuchunga pande zote; ndio maana mwisho wa yote ili amani ipatikane lazima Kagame akae chini na hao interahamwe; ukweli hao waasi hawakukaribishwa Congo; mashariki ya Congo ilikuwa ni kama hakuna serikali hakukuwa na jeshi kuwadhibiti; tofauti na Kagame ambaye amekuwa akitoa mafunzo na kuwapatia silaha M23 nadhani umejikita kwenye mjadala bila kusoma madhumuni na malengo ya jeshi la kulinda amani Congo; wewe ni muumini wa slaa ndio maana umejitia kwenye mjadala kwa sababu huwezi kusema kinyume na mtume wako; mshaurini Kagame kama anataka kuharakisha safari the Hague ajitie kwenye vita na Tanzania; jamaa hawana haraka wanaye wanamsubiri na hilo analijua fika chuki dhidi ya Kikwete ni za bure ule ulikuwa ni ushauri tu haikuwa amri!
wewe kweli --------..Kinadharia ushauri wa Kikwete unaweza kuonekana kama mzuri lakini haukuwa na action plan au road map ya utekelezaji kushauri bila action plan ni sawa na kuropoka hasa unapomshauri mkuu wa nchi nyingine.
Kama Kikwete ataanzisha vita na Kagame binafsi nitakuwa wa mwisho kwenda vitani, kwa sababu naamini Kikwete hakuwa sahihi kuwaambia Rwanda wakutane na waasi alichotakiwa ni ku-mediate mkutano kwa kuwakutanisha mahasimu na sio kuwaambia wakutane, kwanza wakutane wapi na nani awe mlalamikaji na mlalamikiwa.