Kwenye hili sakata, kwa hali ilivyo, ccm hakuna mwanasiasa makini anayeweza kushughulika na Kagame. Kikwete haliwezi! Tena wasijefanya makosa kumkabidhi mwigulu au nape, hawa ndo kabisa, ni vilaza tu. Hili swala wawakabidhi makamanda tu, kina Dr Slaa na Mbowe, uone kashikashi lake.
Sijawahi ona Padri mzandiki kama Dr Slaa! Anataka kutusahaulisha kuwa Rais Kikwete hakai na wapinzani wakati yeye dr slaa na viongozi wa chadema waliwahi kukaa ikulu kwa masaa 6 wakijadili namna ya kuunda mfumo wa kukusanya maoni ya kuunda katiba mpya kwa uwazi! Leo anasema Rais hawasikilizi wapinzani! Ee Mungu tuepushe kiongozi huyu asije akashika madaraka makubwa ya Taifa letu kwa mapenzi yako Mungu! Amen
Yaani naipenda chadema lakini katika hili naanza kuamini huyu mzee anazeeka vibaya.....Huwezi kumkosoa Rais wa nchi yako na kumuegemea foreigner katika jambo linalohusu maslahi ya nchi...naona nakosa imani naye iwapo atakuja kuwa kama Rais.....katika hili amechemka sana
Tena Ajabu Dr Slaa kajibu vema na kuweka sawa,
kinachomfanya yy kuja juu kwa lugha za matusi na hasira utadhani katukanwa au kakashifiwa yeye nini?
Kuna vijana wanajipendekeza ndan ya chadema na kwa viongoz utadhani waungu wao,tena kwa sababu zisizo za msingi na maana,
kichefu chefu sana
Dr. Slaa sio kosa lake.
Uwezo wake wa kufikiri umekuwa wa kiwango cha Josephine Mushumbusi.
Anasema Kikwete haongei na wapinzani wakati Slaa ameonekana mara kadhaa
Ikulu akinywa juice. Sasa sijui walikuwa wanakunywa juice kimyakimya!!!
View attachment 105628
[/QUOTE]Mzizimkavu,
This is too cheap. Kumbe kukosoa udhaifu ni kuunga mkono upande wa pili! Wenye kujua principles watanielewa. Ukifanya makosa lazima tutakuambia, ndio maana wakati wa EPA tuliwasema hadharani, bila kumumunya maneno. Wangapi wakati ule walituunga mkono! Tusingelikuwa majasiri tungekata tamaa. Tulishikilia, na hata sasa ninaamini kauli ya JK haina uhusiano na kuunga mkono upande wa pili! Hata wakati wa EPA tuliambiwa hatuna uzalendo, tunaaibisha Taifa, oh tutakosa misaada, oh! Oh! Oh, Taifa lisilo na watu wenye principle au misimamo linaenda kaburini.
QUOTE=MziziMkavu;6999416]
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, amemkosoa Rais Jakaya Kikwete, kuhusu kauli yake ya kumshauri Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuzungumza na waasi wa serikali yake ...
Dk. Slaa amesema haoni busara kwa Rais Kikwete kuwaambia viongozi wa Rwanda, akiwamo Rais Kagame, kuzungumza na wafuasi wa chama cha FDRL walioko Congo.
Slaa aliyasema hayo wakati akizungumza katika kongamano la vijana wa Chadema (BAVICHA) la uchumi na ajira lililofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Rais Kikwete hapa nyumbani hawezi kuzungumza na wapinzani na hajachukua hatua dhidi ya wauaji wa mwandishi Daudi Mwangosi...
"Alishauriwa amuwajibishe Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda na badala yake amempandisha cheo, alisema Slaa.
Kauli Dk Slaa imekuja siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kueleza kuwa Tanzania haina mgogoro na nchi ya Rwanda, kutokana na kauli za kejeli na matusi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa nchi hiyo dhidi yake na Tanzania.
Kumezuka sitofahamu ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Rwanda, baada ya Rais Kikwete kuitaka Rwanza imalize ugomvi na waasi kwa njia ya mazungumzo ya amani...
Rais Kikwete aliutoa ushauri huo wakati wa mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia hivi karibuni.
Ushauri huo ulionekana kumchukiza Rais Kagame, anayedaiwa kuhutubia mikutano kadhaa nchini kwake na kutumia lugha ya matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya Rais Kikwete na Tanzania.
Kitendo cha Dr Slaa kumkingia kifua Kagame kinatia shaka uzalendo wake na chama chake kwa taifa hili ...
Sote tumekuwa tukishuhudia matusi ya Kagame dhidi ya Tanzania.Iwaje Rais Kikwete aonekane mbaya kwa kumjibu Kagame, tena kwa lugha ya kizalendo??
Kagame amekuwa akituhumiwa na jumuiya mbalimbali za kimataifa kwa kutoa misaada ya kivita kwa waasi wa M23 ambao wamekuwa wakiua raia na kuwabaka wanawake....
Kauli ya Dr Slaa ina mambo mengi yaliyojificha na huenda yeye na chama chake ni wafuasi wa karibu wa M23 kama ilivyo kwa Kagame.
Kuwa mpinzani, haimaanishi ukosoe kila kitu.
chanzo. WANYARWANDA WAANZA KUREJEA MAKWAO BAADA YA RAIS KIKWETE KUWAPA SIKU 14 ZA KUONDOKA
Mkuu, kama umeisoma hii story kwa urefu wake, basi tuwekee story nzima. Nimesoma habari hizi kwenye title ya gazeti la Tanzania Daima, but sijajua undani wa habari yenyewe. Tafadhari tusaidie kwa kutuwekea story nzima ili tujue kwa undani hayo aliyoyasema Slaa.
Mlengo wa Kati hebu eleweni concern ya Slaa kwanza
Wewe baba mwenye nyumba haukuwepo umesafiri umerudi umekuta nyumbani kwako kuna matatizo yaliyotokea ukiwa haupo si ni lazima utahitaji kuelewa ilikuwaje? Kuna watoto wameumia si utawajulia hali jamani wanangu hamjambo?
Kwa Rais wetu hakuwepo nchini wakati bomu limetupwa na ccm kwenye mkutano wa Cdm Arusha alivyorudi angeonyesha kuguswa na tatizo lile,lakini hakulichukulia uzito wowote aliona kama waliopoteza maisha pale sio binadamu bali ni kuku,simply ni chama cha upinzani,ingekuwa limetokea kwa ccm si angetoa hata kauli kulaani tukio hilo? Hapo ndipo anaambiwa ataachaje kwake kunaungua unaenda kuzima nyumba ya jirani? Wapinzani CUF wameteswa na jeshi Mtwara na Lindi hakutoa kauli,Daudi Mwangosi ameuawa na polisi katulia,Soweto Arusha bomu limerishwa na polisi katulia hajataka hata kukaa na wapinzani kubadilishana nao mawazo lazima wanamuona kama anafurahia madhila yanayowapata,sasa utaendaje kushauri mwenzako akae na wapinzani wake wakati wewe haukai na wapinzani wako? Huo ushauri unakusaidia nini
Ndio maana Slaa anaona huo ushauri haumsaidii,hivyo tuache kukurupuka kujibu usichokielewa,unapotoa ushauri wewe unautumia?
Hao uliowapendekeza hawajui hata maana ya diplomasia, ni nani asiejua kuwa Dr Slaa ni mwanasiasa mbabe na jeuri?, ukimkabidhi hili sakata kikubwa atakacho fanya ni kuitisha vita tu kumbe room ya mazungumzo ipo wazi.
Rangi halisi ya Dr. Slaa imeanza kuonekana.
Mara awaambie watu kuomba Mungu sio jambo zuri. Sasa anaunga mkono waasi na kuside na Kagame agaist Rais wa Tanzania!!!
Mzizimkavu,
This is too cheap. Kumbe kukosoa udhaifu ni kuunga mkono upande wa pili! Wenye kujua principles watanielewa. Ukifanya makosa lazima tutakuambia, ndio maana wakati wa EPA tuliwasema hadharani, bila kumumunya maneno. Wangapi wakati ule walituunga mkono! Tusingelikuwa majasiri tungekata tamaa. Tulishikilia, na hata sasa ninaamini kauli ya JK haina uhusiano na kuunga mkono upande wa pili! Hata wakati wa EPA tuliambiwa hatuna uzalendo, tunaaibisha Taifa, oh tutakosa misaada, oh! Oh! Oh, Taifa lisilo na watu wenye principle au misimamo linaenda kaburini.
Hivi wewe akitajwa Dr slaa unachanganyikiwa eehhh kijana unamawazo mgandoWewe ni mpuuzi na wakupuuzwa kama wahuni wenzio tu wanaoganga njaa hapa mtandaoni,
Umehama MMU sasa unadandia jukwa la siasa kijana?
Mods
Unganisheni ----- huu na uzi halisi wa "Dr Slaa ampinga jk",
Ok! Vipi kuhusu mabomu?? Hakuona umuhimu wa kuongea na hasimu wake kabla ya kutuma kikosi cha mauaji??haya ya mazungumzo yana fit upande wa rwanda tu? Mwangosi aliuliwa na polisi mbele ya kamanda wao!au sio? Dialogue haikuwepo miaka hiyo? Mtwara wanataka tu kujua manufaa ya gesi itakayopatikana kwao!jibu ni mazungumzo rahisi tu ya kuwaelewesha wana mtwara A B c ,badala ya majibu wamepelekewa jeshi la wabakaji wauaji!!! Na wewe umeona ni sawa tu?????eti?