Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,224
- 18,383
Uzalendo unaanzia nyumbani,kuwatuma JWTZ waende mtwara kuua na kubaka huku wewe ukibaki kuendelea na matayarisho ya kongamano la kuombea taifa AMANI ni UJINGA!anayeunga mkono naye ni --------,JK meshindwa kushughulikia amani ya Tanzania kwa sababu anajua matunda ya kuvurugika kwa amani,mlipuaji wa bomu pale Soweto alipita mbele ya polisi wote waliokuwa pale uwanjani,Kikwete hajapata ujasiri wa hata kuwahoji kama kuna aliyeweza kumwona hata kwa mbali,lakini ana Guts za kushauri/kukemea/kuhoji na hata kutuma majeshi yetu congo kupambana na anaoamini ni wanajeshi wa hasimu wake Kagame,Dr slaa angeweza kumsapoti jk,na bado anaweza kumsapoti ikiwa jk ataweza ku Practice what he preach!! Ila jk ana preach water while he drink wine,sidhani kama Dr slaa ni mjinga kiasi cha kuisapoti M23 hadharani!!