Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

Yaani wee hata fikra zako huzijuwi zinataka nini...we ni kijana acha kuamini na kushabikia kila kitu tafakari kwanza kabla hujapost ndio ukomavu wa fikra, sio kwasababu kaongea Dr Slaa basi naunga mkono.... Lol pole sana

Kama umewahi kusoma comments zangu za mwanzo huo ndio ulikuwa msimamo wangu katika huu mgogoro PK na JK.Na si baada ya Dr Slaa kutoa maoni yake hapa.I am very independent in the way i view the world,I am not kind of push-over and i am not an emotionally driven guy,i am sensible,analytical and rational guy.For the guy whose thinking,behavior and actions has caused him so many enemies inside and he did absolutely nothing to end this internal bickering and political enenmity with his political foes isn't surprising now has added other enemies outside the Country and now he want to drag us into this problem.Hell No!If he adviced Kagame to talk with his political foes to solve the present conflict then he should do the same by talking to Kagame about this as well.
 
Kwa namna Wanyarwanda walivyoupokea ushauri wa JK bila shaka kuna walakini.Lakini hata kwa logic ya kawaida mfano; Jirani yako anapokushauri ukae chini mzungumze na watu waliowaua wazazi wako,ndugu na jamaa utajisikiaje?


The highest level of wisdom will definetly direct you to JUST IGNORE. Si lazima uufanyie kaz huo ushauri na pia NO NEED TO RIDICULE, INSULT & MUDSLIDING
 
Siku 14 kurudi makwao, basi atoe siku 14 kwa watanzania wanaoishi nje illegally kurudi Bongo (hasa watoto wao hao vigogo waliopo Ulaya na US). JK ni mtu mbaya sana, amechafua Tanganyika na sasa nje, after 2015 atakwenda wapi?
 
Naungana na Dr Slaa na watanzania wote wanaopenda amani na majirani zake. Aidha, sikuiona busara ya Rais Kikwete kumtaka hadharani Rais Kagame na Rwanda kuzungumza na wauaji wale. Wengi wetu humu hamjui uzito wa kilichotokea mwaka 1994 ambapo mpaka leo watu 1 millioni wahakuweza kuwa accounted for. Katika nchi yenye watu 10 million, hiyo ni idadi kubwa mno na ni kubwa hata hivyo kwa standard yoyote. Nadhani Rais wetu angeweza tu kuongea na Kagame kwenye mikutano yao ya ndani uwezekano wa kukaa na wale nk. Rwanda ni nchi ndogo sana na Tanzania ambapo pia wanaishi Wanyarwanda wengi tu mpaka ndani ya seriklai na majeshini, hakuna haja ya ugomvi. Tofauti ingekuwa kama wanataka meter kadhaa ya ardhi yetu. Nadhani Rais wetu ashughulike zaidi na matatizo ya ndani Tanzania na umasikini wa watanzania walio wengi kuliko hilo la Rwanda. Kwangu anaona ni ku divert attention juu ya matatizo ya ndani na serikali yetu kuwa adiu wa raia wake. Kwangu adui ni Malawi anayetamani ziwa letu la Nyassa. Hakuna haja ya Tanzania kuwa na uadui na jirani. Ukimgusa Kagame, unamgusa Museveni. Hilo yujue. Kenya atasimamia pale maslahi yake yatakapokuwa pindi vurugu zikitokea. Congo na wacongo wala haitabiriki na kwa hiyo sio wa kutilia maanani sana. Kule Congo kuna Wanyarwanda kama milioni 5, na Rais Joseph Kabila pia ni Mnyarwanda kwa hiyo lolote laweza kutokea. Watanzania tuwe waangalifu sana na ukanda huu wa maziwa makuu. Kuna mambo mengi yaliyojificha. Tujenge Tanzania na tudumishe ujirani wetu. Kama Kikwete binafsi na tatizo na Kagame binafsi wayamalize wenyewe. Vita ya Kagera 1979 bado inaumiza Tanzania na sio jambo jema kupigana bila sababu. Wamarekani wasitutumie kwa maslahi yao. Asanteni.
 
jk kachemsha sana, si rahisi sana kwa pk kukaa na wauuaji, aanze yeye kukaa na babu seya.
 
Kushinda vita kunahitaji umoja wa kitaifa.Uzalendo ni kigezo kimojawapo katika sababu za kushinda au kushindwa.Kiongozi mkuu wa Nchi ni lazima aunganishe taifa dhidi ya common enemy ambaye ni adui wa nje.Wahenga walisema kamba hukatika......!

Uongozi wa JK na brutality dhidi ya wapinzani wa serikali yake unaliweka taifa katika precarious situation.Nyerere alishinda vita ya Kagera kutokana na ushawishi wa ndani.Rais anatakiwa amfanye mtanzania ajisikie proud anaposimama mbele ya raia wa mataifa mengine.Pride na national values ndizo zinazolitofautisha taifa kubwa na dogo.We have what it takes to make Tanzania a giant Nation in Africa and beyond!

1. Nakubaliana na hoja yako ya kwanza kwamba kushinda vita kunahitaji umoja wa kitaifa.
2. Kuhusu nyerere na ushawishi wa ndani; tukumbuke kwamba wakati wa nyerere hakukuwa na chadema wala CUF. Fikra za nyerere zilikuwa ni "fikra sahihi" kwa hiyo hakuhitaji kumshawishi mtu yoyote kwenda vitani. Alichofanya ni kutoa amri tuu na amri ikatekelezwa. JK anafanya kazi katika mazingira tofauti na yale ya JKN. Miongoni mwa wapinzani kuna wazalendo na pia kuna "unscrupulous, machiavellian, opportunist characters ". Hili kundi la pili ndilo kundi la hatari sana kwa taifa letu. Wasi wasi wangu ni kwamba Slaa yuko kwenye hili kundi la pili, na kama haya yaliyoandikwa humu ni maoni yake kweli; basi chadema wana kila sababu ya kuutazama upya uongozi wao kama kweli wanajali maslahi ya taifa letu.
 
Siku 14 kurudi makwao, basi atoe siku 14 kwa watanzania wanaoishi nje illegally kurudi Bongo (hasa watoto wao hao vigogo waliopo Ulaya na US). JK ni mtu mbaya sana, amechafua Tanganyika na sasa nje, after 2015 atakwenda wapi?

Atawarudisha vipi wakati punda wa rizimoko??
 
JK aliPAYUKA hadharani na ikaonekana kwamba kagame yuko pamoja na hao waasi.
Haiwezekani watu wakawa wanagombana muda wote halafu mtu unakuripuka unakuja unasema kaeni meza moja mpatane badala ya wewe unayesema hivyo kuchukua hatua ya kuwapatanisha.
Otherwise wasingegombana.

JK take action ya kuwapatanisha acha mboyoyo mingi haisaidii chochote
 
Atawarudisha vipi wakati punda wa rizimoko??
Hiyo Kauli ya JK ni ya kinyama sana, bora angesema wale wanaojishughurisha na shughuli za uvunjaji wa sharia. Hata wezi wa EPA aliwapa miezi,
 
MFANO mzuri ilainategemea waliwauwa vipi kwa bahati mbaya au kikatili (kimafi) shaka kuna walakini.Lakini hata kwa logic ya kawaida mfano; Jirani yako anapokushauri ukae chini mzungumze na watu waliowaua wazazi wako,ndugu na jamaa utajisikiaje?[/QUOTE]
 
nyumbani kwako kunafuka moshi then wewe unakimbilia kuzima moto wa majirani maajabu.
 
Dr hapo hujasema kitu chanzo cha mauaji ya kimbari ni P Kagame aliyeangusha ndege iliyobeba marais wa Rwanda na Burundi . WEKA UTAIFA MBELE mzee.
 
Hiyo Kauli ya JK ni ya kinyama sana, bora angesema wale wanaojishughurisha na shughuli za uvunjaji wa sharia. Hata wezi wa EPA aliwapa miezi,
EPA? nani mwenye uwezo wa kumkamata Kagoda?
 
Tanzania inasera ya kufungamana na upande wowote sasa kitendo cha raisi kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine huko ni kuvuka mpaka ya uongozi wake.

Binafsi hata mimi nilishangazwa sana na kauli ile na nilitegemea hayo majibu kutoka kwa rwanda.
 
Sidhani kama kuna haja ya kulumbana juu ya suala hili., kama watanzania yatupasa tuwe na msimamo m1 juu ya jambo hili nalo ni uzalendo.,,kama JK alivyosema kama ushaur wake ni mmbovu uachwe na kinyume chake utekelezwe.....

Yaani naipenda chadema lakini katika hili naanza kuamini huyu mzee anazeeka vibaya.....Huwezi kumkosoa Rais wa nchi yako na kumuegemea foreigner katika jambo linalohusu maslahi ya nchi...naona nakosa imani naye iwapo atakuja kuwa kama Rais.....katika hili amechemka sana
 
Back
Top Bottom