Hoja ya Dr. Slaa ilikua kwamba Nchi haiwezi kuwa dragged vitani kwa sababu ya kauli ya Kikwete na vile vile akashsuri Kikwete aanze kwanza kukaa na wapinzani wake.
Hoja ya Dr. Slaa ilikua kwamba Nchi haiwezi kuwa dragged vitani kwa sababu ya kauli ya Kikwete na vile vile akashsuri Kikwete aanze kwanza kukaa na wapinzani wake.
siasa za tanzania uchuro mtupu.mtu analofanya leo kesho analisahau
![]()
![]()
Khaa!! yaleyale yaani wewe mtu amkosoa Dr.W. Slaa basi ni CCM. Hili ni tatizo. Hebu tutafute njia nzuri ya kufikiri kwa uhuru bila ya kubanwa na CCM au CDM au viongozi wake. Isiwe hii njia ya kuwa na solution tayari halafu ndiyo unaanza kuitafutia sababu
siasa za tanzania uchuro mtupu.mtu analofanya leo kesho analisahau
![]()
![]()
Hoja ya Dr. Slaa ilikua kwamba Nchi haiwezi kuwa dragged vitani kwa sababu ya kauli ya Kikwete na vile vile akashsuri Kikwete aanze kwanza kukaa na wapinzani wake.
Kushinda vita kunahitaji umoja wa kitaifa.Uzalendo ni kigezo kimojawapo katika sababu za kushinda au kushindwa.Kiongozi mkuu wa Nchi ni lazima aunganishe taifa dhidi ya common enemy ambaye ni adui wa nje.Wahenga walisema kamba hukatika......!
Uongozi wa JK na brutality dhidi ya wapinzani wa serikali yake unaliweka taifa katika precarious situation.Nyerere alishinda vita ya Kagera kutokana na ushawishi wa ndani.Rais anatakiwa amfanye mtanzania ajisikie proud anaposimama mbele ya raia wa mataifa mengine.Pride na national values ndizo zinazolitofautisha taifa kubwa na dogo.We have what it takes to make Tanzania a giant Nation in Africa and beyond![/QUOTE
leo umegeuka? tulikuwa wote kule nyuma kumshambulia kagame leo silaha kasema uko naye.
Umeona eeenhh. Hawo ndio bavicha mkuu. Sifa yao kuu ni unafki na uwongo
siasa za tanzania uchuro mtupu.mtu analofanya leo kesho analisahau
![]()
![]()
Huwezi kutenganisha HELLEN KIJO BISIMBA na RWANDA na Vile vile huwezi kutenganisha huyu mama na SLAA , kwa hiyo siwezi kushangaa anamkosoa JK
wajinga pekee hawajamwelewa dr. Slaa
Mkuu unachosema ni kweli tupu, tatzo letu kuu kama TAIFA ni kuendekeza mambo ya itikadi za vyama na kusahau kwamba inapokuja masuala yanayogusa USALAMA na AMANI ya nchi yetu wote tunapashwa kuwa kitu kimoja. Watu wanacho sahau ni kwamba JK hajakurupuka katika utoaji ushauri kwa akina Kagame, M7 na Kabila Jr wote hao nchi zao zililikumbwa/zinakumbawa na mahuhaji ya alahaki karibu kila mwaka, sasa kwa nini Kagame ndiye peke yake ambaye anamuona Rais Jakaya ni mbaya wakati Rais wengine walio tajwa wamekaa kimya!! Rais Jakaya Kikwete ni binadamu ambaye anaona mbali sana alishajua mgogoro wa DRC niwakuchonga tu kwa maslahi ya viongozi wakorofi na wabishi ambao hawana nia thabiti ya kumaliza mgogoro huo, si hilo tu vurugu hizi za DRC zinaweza kuwa-replicated ndani ya Taifa letu overtly au covertly kwa kuwa katika nchi za Africa Mashariki na kati Tanzania ni nchi ya pili yenye aridhi kubwa yenye rutuba na maliasili nyingi hivyo migogoro inayoendelea huko DRC inaweza kuanzishwa huku kwetu na Viongozi hao wapenda madaraka na WEZI. Kwa bahati mbaya ni Watanzania wachache ambao walisha ling'amua hilo; tukumbuke majirani zetu hawaitakii mema TANZANIA.Nadhani Dr. Slaa hapa kakurupuka naye anasema mbona yeye kashindwa kushughulikia mambo yake ya ndani?? Mimi kwa uelewa wangu hii aimzuii kuongelea amani ya east afrika...mimi nadhani si kila kitu tupinge usalama wa east afrika una maana usalama wa tanzania...J.K alikua sawa tu mtutu ukishindikana haina budi kurudi mezani.I stand to be correctedSent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hawa watu akili zao mbovu. Usipokubaliana na Slaa, basi wanakuita ccm.
Usipokubaliana na chadema, wanakuita mliberali. Kuna mmoja wao humu leo kaniita mimi m-liberali. Wakati mimi ni "conservative to the core". Lakini kwa kuwa sikubaliani na utendaji, sera, na uendeshaji wa chadema, basi wameshaamua kwamba mimi ni liberal.
uzee unamsumbua huyo tumsamehe bure tu!!
Hilo zigo la JK mwenyewe.....yaani nchi iingie vitani kwa ujinga wa raisi!! Mwache akapigane mwenyewe na m.k.e.w.e.!! Mnashabikia vita ya kijinga!!
Mzee mbona anatapatapa sana atulie tu aone chadema inavyomfia mikononi.