Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 418
Hivi historia ya Kikwete na Kagame inaeleweka vizuri??Hawa jamaa hawana issue nyingine baina yao ambayo labda sisi wengine hatuijui?
Inawezekana wana ugomvi wao mwinngine wa siku nyingi?Kushauri kuongea na waasi ndio iwe sababu ya haya ypte?Fanyeni uchunguzi hapa si bure!
Hapa hakuna issue personal kaka...! Ni kuwa Kagame ameua sana na watu walikaa kimya, lakini sasa SADC na UN wakasema basi. Tanzania kupeleka majeshi Congo under Intervention Brigade sio jambo dogo.....! Wapiganaji wengi wa M23 either ni raia wa Rwanda au wanajeshi wa Rwanda, hivyo Intervention Brigade inaenda kupambana na Rwanda kwenye ardhi ya Congo. Rwanda inajua kuwa hilo ni tatizo, sasa wanaanza kutafuta sababu kuwa-provoke viongozi wetu ili baadae waseme 'enhe unaona.....kumbe Tanzania ilikuwa na ajenda ya siri'