Mkuu Mbona umejitokeza kwa kasi kumjibia wakati kipindi cha Scandal ya Mbowe hukujitokeza kumsaidia? Au wewe ni team Slaa?
Mshumbuzi naye anamzingua.
Hivi vijamaa vya lumumba ni shiiiiiiiiiidahWeee ifweero pale lumumba kazi yako si kumpikia chai nape?
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee
unajitahidi sana kupost lakini post zako nyingi ni hewaMama mfalme na kampuni yake ya escrow atapona kweli kupandishwa kizimbani?
huyu ni kada mtiifu sana wa chadema...akili zao ndivyo zilivyoSure mkuu angalia hata makamanda wake walivyo kwa sasa mfano huyu morogoro choka mbaya na bangi juu.
mmebaki ku capitalise ishu zilizochuja.....mmechoka kama slaa wenuScandle zipi za wizi wa escrow, epa, meremeta, richmond, bomba la gesi toka mtwara hadi dsm, meno ya tembo, dawa za kulevya?
mmebaki ku capitalise ishu zilizochuja.....mmechoka kama slaa wenu
Wewe aliyekupa haki ya kusemea watanzania ni nani? Toa boriti kwenye jicho lakousiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
unajitahidi sana kupost lakini post zako nyingi ni hewa
mmebaki ku capitalise ishu zilizochuja.....mmechoka kama slaa wenu
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee
yaambie haya
Mkuu, kuna muda huwa siwaelewi!
Hivi kuna nini cha kitoto hapo kuhusu Mzee Slaa?
Kama mtu hana mvuto tena kisiasa hamtaki isemwe?
Kumshauri mtu apumzike na kulea wajukuu ni utoto?
Acheni ujinga,wengine hatuna vyama,msifikiri kila mtu anaekuwa kinyume na Slaa basi ni CCM.kwendrraa kule.