Kura yangu nitampa Slaa,Siyo fisadi kama viongozi wa CCM.
Kura yangu nitampa Slaa,Siyo fisadi kama viongozi wa CCM.
Kwani kusema ukweli kumhusu SLAA unalipwa, na nani akulipe, ili iweje?How much are you being paid? Ukilala ukiamka huna jingine zaidi ya kumwandika Slaa ili upate ujira. Ujira unaopata ni wa kidhalimu kwani hadidu za rejea ni za kuwachafua watu wengine. Ona aibu. Inakuwaje mtu akazungumza uingo bila hata chembe cha aibu?
Nakwambia patachimbika, CHADEMA walifikiri watawaokota CUF kirahisi.Chadema wanafiki sana,kila siku wanampigia debe Lipumba agombee ubunge ili wampitishe Slaa kinyemela
anzishia mada hizo issue...ondoka kwenye hii thred....mbona unafuata nguo zako kwa kichaa ukiwa uchi?
ndio mnavyofanya huko ufipa?Mleta uzi Umemaliza? Pole kwa usingizi mzito, sasa nenda kalale tena, uote njozi tena na tena.
uliuliza kinafki ndio manaNilikuwa nauliza kwa nia ya kupata ufahamu pia kukushauri. Wanaosoma hapa wanaelewa umuhimu wa kujadili issues ili kupata suluhisho la matatizo ya wananchi. Utake usitake kujadili issues kuna manufaa zaidi kuliko kujadili watu. Lakini kama upo kazini kwa maslahi ya tumbo lako endelea kujadili watu mimi nahamia thread zingine kama ulivyoamuru.
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
na wameshamtangaza lipumba mgombea waoNakwambia patachimbika, CHADEMA walifikiri watawaokota CUF kirahisi.
tunataka ajue kabisasasa kama kachuja si ndio vizuri ili mshinde kirahisi, sasa makelele ya nini?
tunataka ajue kabisa
Nachukizwa na watu wanaotukana humu ndani na wenye maneno ya shombo. .....ukombozi wa kweli unaanzia katika fikra zetu, tukubali challenge hata kama uzi unamuhusu mtu wako wa karibu jibuni kwa hoja sio kufata mahaba na mihemuko.Pamoja kwamba dr hana jipya kwa sasa, wanaoona ana jipya watueleze sio kushusha mitusi.
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Chadema wanafiki sana,kila siku wanampigia debe Lipumba agombee ubunge ili wampitishe Slaa kinyemela
Mkuu mimi mbona nachangia kwa utulivu ila nikiona hapa kuna tatizo la akili lazima nishangae..!! Nani anafaa kuwa Rais sasa mzee wa Lumumba?? Maaana kipenzi cha watanzania ni Dr Slaa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums