ifweelo, simiyu yetu, victoire, pumbafu sn mnaanzisha mada mnadibet wenyewe mko sawa. you a empty mind
ifweelo, simiyu yetu, victoire, pumbafu sn mnaanzisha mada mnadibet wenyewe mko sawa. you a empty mind
Mkuu, kuna muda huwa siwaelewi!
Hivi kuna nini cha kitoto hapo kuhusu Mzee Slaa?
Kama mtu hana mvuto tena kisiasa hamtaki isemwe?
Kumshauri mtu apumzike na kulea wajukuu ni utoto?
mkuu unaendeleaje baada ya ile ajali ya kibaha. hivi kweli wenzako wote wanakufa we unabaki hata kukwaruzwa kidogo hakuna? kweli mungu yupo.Badala ya kujadili matatizo ya watanzania na kutoa suluhisho la kisera akajadili masuala binafsi kwa watanzania?Watanzania sio wadaku na wambea kama wewe
Watanzania wazalendo tutafanya harambee tumchangie Slaa pesa za kujikimu aachane na ndoto za kuwa rais, tunajua tatizo la Slaa ni mafao yake ya uzeeni sio urais.
Mumeo atakua anaishi kwa kutegemea ccm.. Maana ulichokiongea inaonesha kabisa una akili fupi za maccm.. Halafu ambao hawana vyama hawanaga upuuzi kama uliouandika hapa...!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kuna umuhimu gani wa kujadili mtu badala ya issues?
anzishia mada hizo issue...ondoka kwenye hii thred....mbona unafuata nguo zako kwa kichaa ukiwa uchi?Yaani thread zinazotoka #TeamLumumba karibia zote zinajadili majina ya watu na si matatizo ya watanzania....!!
Kwa wenye busara wote suluhu ya matatizo mnayowasababishia watanzania ni muhimu tena maradufu kuliko majina ya hao watu mnaowaogopa na kudai wamechoka na kupauka!!!
Nyie ndo mnawaabudu watu,kwa sababu tu yupo upinzani au CCM,wengine hatuangalii yupo CCM,UKAWA ,au chama kingine chochote kile,kama kachemcha kachemsha tu na tutamsema bila kuangalia yupo wapi?
Safi sana mleta mada kama Dr. Slaa amechuja ni furaa na faida kwa ccm maana mtashinda uchaguzi kwa kishindo. Hakuna haja ya kumwogopa mtu aliyechuja.
UKAWA kumpata mgombea ni shughuli pevu, udini utachukua nafasi kwa kiasi kikubwa.Kwani mmesha mpitisha Slaa kugombea? Hakika patachimbika.
Mkuu changia kwa utulivu Slaa hafai kuwa Rais.
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Mkuu changia kwa utulivu Slaa hafai kuwa Rais.
anzishia mada hizo issue...ondoka kwenye hii thred....mbona unafuata nguo zako kwa kichaa ukiwa uchi?
Mpaka kufikia kumnyoa CCM , UKAWA mtakuwa mmeshanyoana sana kwanza. Issue ya udini nasikia imeanza kuchukua nafasi huko awe SLAA au Lipumba.Hakuna haja ya kubishana na huyu gamba,,Makamanda kutendee kuchemsha maji tumnyonyoe OCT 2015.