Ni maisha yake binafsi. Kama hujawahi kukwea pipa pole sana
Hivi mtu anayeshindia mihogo anaweza kutumia usafiri wa nmana hiyo hata ule wa FastJet wa kulipia miezi sita kabla ya safari ? Lbda kapata mfadhi anaenda kusoma nje.
Ni maisha yake binafsi. Kama hujawahi kukwea pipa pole sana
Ni maisha yake binafsi. Kama hujawahi kukwea pipa pole sana
Aende tu akale mihogo ya USA .
Lizaboni..
Ninakuheshimu sana. Kitu kimoja tu nina uhakika nacho kinakutokea sasa hivi.. HUAMINI MACHO YAKO kilichotokea baada ya kuona response ya watu kwa sanaa mliyomtuma dr slaa jana. Najua kimoyomoyo unatamani ardhi ipasuke ujimalize. Ila ukweli ni kwamba.. Lowassa atawapasua mapafu safari hii haki ya Mungu naapa. Mood ya taifa ss hv ni CHANGES tuu. This spirit is unstoppable!
Ni maisha yake binafsi. Kama hujawahi kukwea pipa pole sana
Ninavyoona mimi hili Kombora kama limekosea, ni kama Marekani wakitaka kuwapiga Al Shaabab halafu kombora lao lipige ndani ya bahari ya Hindi, na kwa kukosea huko. Al Shaabab washtuke na kuchukua tahadhari zaidi.maneno kuntu,
Mia mia mkuu tell them