ondoa ukungu kwenye ubongo. ondoa tongo machoni. amka!!!!!!!!!!!! acha mambo ya kijiweni hapa. jibu kwanza hoja zangu 3 kama ni kweli au uongo. hapa ni nyumbani kwa great thinkers. kama unaona ubongo wako hauwezi kujenga hoja, kaa kimya
sramble,
Maneno yako yanalingana kabisa na jina lako-scramble. Kwa watu wa data na microwave signals wanajua maana ya scrambled signal kuwa ni signal ambayo imevurugwa au kuchafuliwa ili usiweze kujua kilichoko ndani.Ni uchafu au takataka tu hakuna kinachoeleweka.
Baada ya kusema haya nakuja kwenye hoja. Wazungu siku zote wanasema
intelligent mind discuss issues while foolish mind discuss people.Msemo huu unaenda moja kwa moja kwa mijtu yote ya Magamba-CCM na mishabiki yake. Kwamba ni jambo la kusikitisha na kushangaza mijtu mizima na kengele zao inaacha KUJADILI ISSUES ZA KITAIFA BADALA YAKE INAKAAA KUMZUNGUMZIA MTU-DR.WILBROAD PETER SLAA!!!Shame on you bastards. Kuna issue za kitaifa ambazo ni very hot kwa sasa kama hii ya GESI ASILIA YA MTWARA/LINDI ilivyo kaa vibaya! Badala ya mijitu ya CCM inayojidai kuwa imeshika dola kukaa na kutafakari namna ya kuuzima moto wa Gesi asilia ya Mtwara imekalia kumjadili Dr. Slaa!!!
What is 20 million Tshs. hata kama zingelikuwa hizo 140m! Mbona kama nyie CCM mna uchungu na hela ya walipa kodi wa Tanzania hamuhoji kuhusu Ufisadi uliopo serikalini kuanzia maswala ya EPA,DEEP Green,Meremeta na Mabilioni ya Shillingi yaliyoko kwenye offshore accounts huko Uswiss???Kuna watu wanadaiwa mabilioni lakini hakuna anayepiga kelele.
Sijui ni kipi cha ajabu kwa mtu kukopa fedha ya chama na baadaye kuirudisha! Kama mtu anaweza kukopeshwa na Kanisa na baadaye akarudisha hiyo pesa kuna tatizo gani?? Mbona hata wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma hukopeshwa na waajiri wao mishahara 3,2 au 1 kutegemea na mhitaji na baadaye akakatwa polepole kutoka kwenye mshahara wake na deni likaisha!!
Watanzania tunatakiwa kubadilika. Huu ushabiki wa kishenzi wa kushabikia kitu cha kipuuzi ili kumchafua mtu na ilhali hakina tija yoyote kwa jamii na Watanzania kwa ujumla wake ni ufisadi wa aina yake. Hivi kuna viongozi wangapi wa Serikali ya CCM wanaofanya madudu kila kukicha???Lakini kwa vile wao wameshika patamu mambo huwa wanayafunika kwa kutumia njia za kibabe ili wasiumbuliwe. Napenda niwahakikishie enyi wanafiki na wazushi wa chama Twawala siku inakuja muda si mrefu ambapo halitasalia jiwe juu ya jiwe. Mbona kila jambo litawekwa hadharani na sijui mtaficha wapi nyuso zenu!!
Pole sana Dr. Slaa. Kwa Watanzania na all Great Thinkers wenye akili timamu wanajua ukweli kuhusu wewe na wana Imani kubwa na wewe hadi 2015. CCM wanalijua hili na ndiyo maana kwa sasa majeshi yao yote yamehamishiwa CDM na nia ni kummaliza Slaa ili kwenye GE 2015 washinde kiulaini. Wanajua ulivyowapa tabu wakti wa GE 2010 ambapo ilibidi watumie UWT,Polisi na NEC kuvuruga matokeo ili kuinusuru CCM. Wanajua kuwa wasipofanya hivi kwa sasa ili kukuchafua na wakijua kuwa 2015 tutakuwa na Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hawataingia Ikulu!!!
Nina amini Mungu yuko pamoja na wewe na Mungu atakuwa amekwisha kuwaandalia Rais aliye bora kabisa kutoka CHADEMA come 2015. Tusubiri.