Miya
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 816
- 1,249
Tatizo ni kwamba hata wao inaonekana walikuwa hawajui juu ya huu usanii wa dr. Slaa. Ndio maana hata kumtetea wanashindwa.
Dr. slaa amejifanya kujibu hii hoja kabla ya kikao cha kamati kuu cha weekend kwa sababu anajua hoja hii italetwa sasa anataka kudesa majibu ya kutoa. hata hivyo, vidhibiti vyote vipo kuwa alichukua 140 mil kwa hiyo anaweza kujitapa kwenye facebook lakini ikijadiliwa kwenye kamati kuu atachemsha.
Yaani watu walalahoi wanachangia kipato chao kidogo kwa ajili ya M4C halafu yeye anachukua hizo pesa kumpekea mpenzi wake josephine. Huu sio tu ufisadi bali pia ni DHARAU. Na ndio maana Lema naye kajichotea na hawawezi kumgusa!!!
Kwani halipi unataka.....yani kila analofanya kwenu baya..nyie mnataka afanyaje kwa kweli anawatesa sana,
mtu kakopa hajaiba na amelipa