Dr.Slaa ajiandikisha rasmi kuwa member JF.

Status
Not open for further replies.
Mimi binafsi huwa ninafurahishwa na yote uchangiayo bungeni. Hakika Dr. Slaa wewe ni mpiganaji. Mpigania haki za watanzania maskini wanaozidi kufukarishwa kila kukicha. Karibu sana JF. Kama walicyosema wengi hapo awali, kuna wengine humu kazi kwao ni kuvuruga na kukatisha tamaa. Ila naamini uko strong kukabiliana na ya humu JF kwa vile umeweza kuvumilia purukushani za bungeni bila kujali unaungwa mkono ama la, ili mradi uliamini kile ulichokisema ni sahihi na ni kwa maslahi kwa taifa.
 
habari kubwa hiyo! humu ndani itabidi siku moja tujitambulishe kwa majina yetu halisi, nina uhakika hata Makamba yupo huku JF!! na tena usikute ndio huyu "Antsadism" na propaganda zake za CCM!

Nilisha waambia wakati huo nina itwa GIGO...lakini nilionekana fala-nika fungiwa bila sababu..nikajisajili sasa ina itwa Kenge Mla mamba!!
 
Dr.Slaa karibu sana, tena kalia hiki kiti. Tunaomba ututajie mafisadi wanaochunguliaga hii forum yetu. Wewe nadhani utakua unawajua. Waseme au kama vipi twende Mwembe Yanga ukatutajie..
 
Hongera sana mheshimiwa Slaa. Usiwe unakaa muda sana bila kupitia hansad ya JF japo muda kiduchu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom