Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Ni haki yao Mkuu; sidhani kama kuna binadamu yeyote mwenye akili timamu anayependa habari mbaya. By the way, hivi tukiwa-rank, ni Katibu Mkuu yupi anashika nafasi ipi kwa uongozi mahiri ndani ya vyama vyao?

1. Col. Abdulrahmani Kinana (CCM)
2. Maalim Seif Sharif Hamad (CUF)
3. Sam Ruhuza (NCCR-Mageuzi)
4. W. P. Slaa (Chadema)
5. General Secretary Emeritus Nnape Nnauye (CCJ/CCK)
6. xxx (UPDP)
7. xxx (UMD)
8. xxx (Tadea)
9. xxx (NRA)
10. xxx (TLP)
11. xxx (ADC)
12. xxx (UDP)

Hebu tupe maoni yako hapo.

....aseee Dr. hastahili kulinganishwa/kuwekwa kundi moja na haya majamaaa bhanaa, kawaacha mbaya kuanzia shule mpaka namna ya kuitumia shule katika mazingira ya kawaida...
 
Kwa niaba ya familia yangu nawatakia kila la Kheri Dr. Slaa na makamanda wote katika vita hii ya ukombozi wa taifa hili kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi (CCM).

Eee Mwenyezi Mungu waimarishie viongozi wetu ulinzi na uwaepushe na roho zote za maangamizi.
 
CCM pressure inapanda, pressure inapanda, pressure inapanda, pressure inapanda, pressure inapanda,
Duhh, mbona haishuki?
 
Katibu mkuu wa chadema Dr. Willibrod Slaa Leo atafungua Matawi mapya kadhaa pamoja Na ofisi ya Jimbo la Momba CHADEMA pamoja na kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma. Fuatana Na thread hii Kwa matukio mbalimbali yatakayojiri leo.

Peopleeeeees!
 
Wasalipa songo, tuli pooka, nndi mwidala nkwinza kutunduma.
 
Chadema mnapenda habari nzuri nzuri kuhusu nyie.duh!



Utaisoma namba....................kama kuna mbaya zilete sisi huwa hatufichi ugonjwa hata wewe nishahidi............tunapeana za uso..tunakubaliana lakufanya..tunapeana mikono ..tunachapa mwendo.............
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anaanza ziara rasmi ya kichama leo katika wilaya za Momba na Mbozi.

Kiongozi huyo mwenye mvuto mkubwa wa kisiasa nchini leo atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Tunduma katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma.

Kesho Dr Slaa atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Vwawa katika wilaya ya Mbozi.

Dr Slaa anatarajiwa kupokea maelfu ya wanachama wapya wengi wao wakitokea CCM. Pia Mwanasiasa huyo asiyeyumba atazindua matawi kadhaa ya CHADEMA na kufungua ofisi mpya za chama hicho.

Katika ziara hiyo Dr Slaa atafuatana na maafisa kadhaa wa makao makuu,maafisa wa Kanda ya nyanda za juu kusini na Mbunge wa Mbozi David Silinde.

Kwa wiki hii nzima hapa Tunduma kuna hekaheka kubwa ya wananchi wakiwa na hamu kubwa na ujio wa Dr Slaa. Pia Polisi wanahaha kupiga doria huku na huko wakijipanga kusimamia usalama wakati wa mapokezi yake kwani sikuzote mapokezi ya kiongozi huyo hapa Tunduma yanautikisa mkoa mzima. Dr Slaa anachukuliwa na wananchi wa hapa kama Mfalme wa Tunduma.
Nadhani ameenda kukamilisha ule uzushi kuwa alikuwa anafuatiliwa toka iringa dadi dar na gari aina ya landcruiser. Sasa huko nadhani atatoka na mapya zaidi. Mara ooooh nimewekewa vinasa sauti kwenye chumba changu, oooooh kuna mpango wa kutaka kumuua. Siku zote mchawi haishi kujishuku
 
Chadema mnapenda habari nzuri nzuri kuhusu nyie.duh!

Zenu c nikuwapongeza police kwa kazi nzuri!! Au sema ulitaka waandike story za Mwigulu afumaniwa n mke wa mtu ndo ungeona nzuri eeee! Au ulitaka aandikeje ili ufurahi??
 
Nadhani ameenda kukamilisha ule uzushi kuwa alikuwa anafuatiliwa toka iringa dadi dar na gari aina ya landcruiser. Sasa huko nadhani atatoka na mapya zaidi. Mara ooooh nimewekewa vinasa sauti kwenye chumba changu, oooooh kuna mpango wa kutaka kumuua. Siku zote mchawi haishi kujishuku

Mtaungaunga sna. Si Unajua dalili y Mvua Ni mawingu, so dalili za CCM by by ndo hizi bana. Mpaka mtafika plan Z, maana kwa sasa Naona mko plan P. Zikiiasha anzeni a b c d....z. Chadema haishikiki awe chizi ukimuuliza story za Chadema anazijua.
 
sio heshima ila kuchukua housegil wako ndo heshima kuu...
Ma housegirl wanalika mkuu na wengi tunajisevia. Me mwenyewe baada ya kuona mke wangu anatoka na jamaa mwingine niliamua kupooza makali kwa housegirl wangu na nikawa naenjoy kwelimaana wanajua kucare na heshima inakuwa juu. Maana huku bosi, kule ni honey. So kunakuwa na utulivu kweli. Sasa nimeamua kumuacha huyu zumbukuku na nimetulia na house girl na nimefunganaye ndoa huku tukibarikiwa kwa kupata watoto mapacha wawili wa kike nakiume. Thanks God. Wakati mwingine Mungu ana makusudi yake. Ila kwa kuchukua mke wa mtu ni kashfa kubwa na huko ni kukosa ujasiri wa kutongoza. Maana wake za watu hawatongozwi bwali ni makubaliano tu hufanyika. Salamu pekee yatosha kumpata mke wa mtu hasa ikiwa mjamaa ni mvivu wa ule mchezo au kama ana kale kamchezo ka bafuni kama anavyofanya katibu mkuu wa chama fulani
 
Nawatakia kila la kheri kwenye mkutano wa leo na itakayofuata,picha muhimu.

mwacheni mheshimiwa ajaribu kurudisha angalao kaa percentage of what they have lost to ccm, since the master planner had taken the helm at ccm. Dr anajitahidi sana kwani hatuli he is a hard campaigner, i hope he is well compensated
 
Mtaungaunga sna. Si Unajua dalili y Mvua Ni mawingu, so dalili za CCM by by ndo hizi bana. Mpaka mtafika plan Z, maana kwa sasa Naona mko plan P. Zikiiasha anzeni a b c d....z. Chadema haishikiki awe chizi ukimuuliza story za Chadema anazijua.
Mkuu, tutawasiliana after 2015
 
tunawatakia mkutano mwema na muwe makini na mamluki wa uvccm waovalishwaga magwanda wanakuja kuleta fujo ili ionekane ni chadema wameleta.Mungu awatangulie katika yote Ameni.
 
Pale mbozi mashariki kuna ka kirusi fulani hapo.pigeni m4c la maana ili 2015 kasirudi kabisa mjengoni.viva the 5th presd of tz,dr w.p.slaa!
 
Back
Top Bottom