Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Yeye ndio hana credibility ni porojo za kuunga unga kila siku; mshaurini afanye maandamano labda ndicho kilichobakia

Chama
Gongo la mboto DSM


thubutuuu!! huyo dhaifu wenu anayehudhurua mikutano ya uzaz wa mpango wakati yeye ana watoto utadhani timu ya rugby ndo mnapaswa mumshari....na huyo dhaifu wenu kwa kuwa kaishiwa hoja na namana ya kuongoza amebaki kuua, kutishia maisha wananchi wake...huu ni udhaifu mkubwa sana...Dr Slaa na mtu makini sana na huwa hakurupuki hovyo hovyo kama huyo Jkilaza ..hakuna anachofanya zaidi ya kusubiri miradi ya kanisa katoliki ili akaribishwe kukata utepe na kusafiri
 
Dr angekubali kuhojiwa akawachane live,saivi ataonekana anaogopa.
 
Ritz,
Dr. Slaa ni dhaifu wa kiroho, kanisa katoliki limemsomesha na kumpa imani zote za kiroho; lakini kutoka na udhaifu wake wa kiroho alilikimbia kanisa na kujiingiza kwenye mambo ya dunia; sasa leo mtu kama huyu akipanda majukwaani kuishutumu serikali dhaifu utamuelewa? Roho yake imetaliwa na uongo wa kila aina ili mradi tu azma yake itimie; kila siku ni kutunga porojo ambao hazina kichwa wala miguu; ukiishiwa sera huishi kusema uwongo.

Chama
Gongo la mboto DSM

chama,

Anatamka hadharani kuwa umetishiwa kuukuwa unaita na waandishi wa habari cha kushangaza usemi umetishiwa vipi unakuja na maneno matupu huu siuti udhaifu, wala uzembe ama upuuzi bali nauita upungufu kwa sababu nimeamua kutumia lugha ya kiutu uzima na yakiungwana.
 
Last edited by a moderator:
VIONGOZI WA CHADEMA WAKO SAHIHI KUKATAA KWENDA KUHOJIWA NA CHINJA CHINJA AHMED MSANGI KWA KUWA VYOMBO HIVI SASA VINATUMIKA KISIASA ZAIDI

Kauli aliotoa Dr Slaa ni sahihi tena kwa sana.

Hoja yangu ya kusema hivyo ni kwamba Dr Ulimboka aliyenusurika kifo mikononi mwa watu waliodaiwa kuwa ni vyombo vyetu vya usalama, mpaka leo hii Tanzania tunaelekea kuingia WIKI YA TATU TANGU AOKOTWE AKIWA HOI-BIN-TAABANI porini lakini hakuna HATA MTU MMOJA ALIYETIWA HATIANI WALA KUHOJIWA na chombo chochote juu ya hili sasa yeye Dr Slaa aende kohojiwa vyombo vya usalama vinavyotumika kisiasa kwa maslahi ya CCM ili iweje?????

Wananchi tumekasirishwa sana juu ya mzaha unaoendelezwa juu ya tuhumaa za uhai wa Dr Ulimboka na sasa juu ya VIONGOZI WA CHADEMA.

Tangu sasa kuna haja kuandaa maandamano makubwa nchi nzima KUDAI USALAMA KWA WANANCHI WOTE nchini kutochinjwa chinjwa kila uchao na polisi kila kona ya nchi.

Ukweli wa mambo ni kwamba hadi hivi sasa wananchi IMANI IMEPUNGUA SANA si kwa polisi, si kwa Ikulu na vyombo vyingi anavyoviongoza na kutumia kisiasa kwa maslahi binafsi.

Jamani hii kauli ya Dr. Slaa kama ni yeye kasema kweli ni ya kisiasa tu.

Polisi wanahaki ya kisheria ya kumhoji mtu yeyote wanayemhisi au kumdhani anataarifa ambazo zitaisaidia serikali katika kuendesha mambo yake na hasa taarifa zinahusu masuala ya usalama wa nchi.

Hivyo Dr. anaweza kusema hatatoa ushirikiano wakati wa kumhoji. Hivihivi wanaweza hata wakatumia mbinu ambazo wanazijua wao tu kuhakikisha kuwa anatoa ushirikiano.

Haki za binadamu na kuendesha serikali havikubaliani 100%. Tuache ushabiki hapa JF. tujitahidi kuwa wahalisia japo kidogo
 
pamoja na hayo.Umeandika taarifa hii kwa ushabiki mno mpaka mtu wa kawaida anaelewa wewe uko katika itikadi gani! Na kupoteza reputation ya kuwa jf!

mh!!!!!!!?????????? sidhani kama ni kweli usemacho
 
Good! Maamuzi mazuri na thabiti, asitetereke!
Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgomba wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana Nchini tanzania na Nchi za jirani Dr.W.Slaa, amesema hatokubali kuhojiwa na polisi juu ya habari za kutishiwa kuuwawa kwa viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho kwa kile alicho dai kwamba hana imani na jeshi hilo la polisi.
Ni hayo tu.
 
thubutuuu!! huyo dhaifu wenu anayehudhurua mikutano ya uzaz wa mpango wakati yeye ana watoto utadhani timu ya rugby ndo mnapaswa mumshari....na huyo dhaifu wenu kwa kuwa kaishiwa hoja na namana ya kuongoza amebaki kuua, kutishia maisha wananchi wake...huu ni udhaifu mkubwa sana...Dr Slaa na mtu makini sana na huwa hakurupuki hovyo hovyo kama huyo Jkilaza ..hakuna anachofanya zaidi ya kusubiri miradi ya kanisa katoliki ili akaribishwe kukata utepe na kusafiri

kwikwikwiii hiyo ina idadi ndogo kulinganisha na wajamaa
 
Siwadanganyi ndugu zangu wana JF. Mi mwenyewe sina imani na Jeshi la Polisi, Serikali, Usalama wa Taifa (Kama siyo Uhasama wa Taifa) na CCM. Dr. ana haki ya kutokuwa na imani na hawa watu maana ni matukio kibao ambayo amewapelekea lakini hawajafanyia kazi. Dr. Mwakyembe ambaye ni mwenzao, alilalamika kuchakachuliwa na watu wake, lakini hadi leo Jeshi hilo hilo halijawahi kutoa majibu yenye maana, sembuse mpinzani?. Sijaona wenye usafi wa kumhoji Dr.:behindsofa:
Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgomba wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana Nchini tanzania na Nchi za jirani Dr.W.Slaa, amesema hatokubali kuhojiwa na polisi juu ya habari za kutishiwa kuuwawa kwa viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho kwa kile alicho dai kwamba hana imani na jeshi hilo la polisi.
Ni hayo tu.
 
Ukweli ni kwamba hata nyie wachangiaji mkitakiwa muhojiwe hamtakuwa na imani na polisi hata kidogo. Kwani kama kuna taasisi au chombo ambacho nikibovu, polisi ni cha kwanza, cha pili ni bunge, na cha tatu mahakama, cha nne ni uraisi, tano wanaoitwa usalama wa taifa, hivi vitu wanavyoshupalia mbona havina tija, kuna mtu alifukuzwa nchini kwa sababu hataki kulipa kaushuru na bado yupo na analindwa na anaendelea kupakia dhahabu zetu kila wiki kg 15, kati ya huyu na kina slaa nani alitakiwa ahojiwe haraka kwa sababu kuna tija katika taifa? ACHENI KUTETEA UJINGA TETEENI TAIFA.
 
hata mimi namuunga mkono. hivi mtu kashakwambia kuwa dola imepanga kumuua halafu wewe unatuma sehemu nyingine ya dola kumuhoji mtu huyo hii haijakaa vizuri.
ikiwa tuhuma hizi za kweli yuko sahihi kabisa kukataa kuhojiwa kwani polisi na usalama ni watoto wa baba moja
 
Huyu rizt naona ameanza miguu dat why unashabikia mpaka ukatil wa polic acha zako nch inawenyewe ila si wewe takataka.
 
Usijisumbue kuongea na mtu asiye na faida ya kweli kwako, haogopewi mtu, kwani wao hawafi ndio tuwaogope, wao ni watu kama sisi, wanaumia na wanakufa pia, kuongea now ni kupoteza muda tu na kuzidi kujisogeza karibu na adui zako, but hapana shaka Wananchi tutawapoteza wakifanya upuuzi kwa Chadema
Dr angekubali kuhojiwa akawachane live,saivi ataonekana anaogopa.
 
Dume la mbegu hana tofauti na Chatu Dume na Zomba watu hawa ni masokolindo sana ai mean wabishi na wanaongoza kwa kutetea uozo nyie fuatilieni comments zao
 
Nyinyi pigeni kelele tu Mkwele leo ametuwa London UK, kuendelea na utalii wake, nadhani Membe hana kazi kama waziri wa mambo ya kigeni.

[h=6][/h]
 
Back
Top Bottom