Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

napata tabu sana kung'amua uelewa wako kwenye mipaka ya propaganda kwakweli, inasikitisha sana.
 
mara ziarani ulaya mara atakuwa mbulu sasa ni wapi exactly dr slaa anakwenda mwezi huu? au bukoba kabisa!
 
Kipindi uko CDM uliitwa mh na heshima yako ilikuwa %59.9 kwa juhudi zako na busara zako ukazidi kupendwa na chama kikashika hatamu huko ukonga<uk> kupitia misemo yako iliyokuwa na ujumbe mkubwa kwa jamii yako hasa watu wa iringa,ulikiponda chama cha mapinduzi kikapondeka hasa,ukamsimanga Rais kwa maneno ya kejeli, ukiamini maisha yako yatabadilika ndani ya siku chache pamoja na yote hayo hakuna aliejua wala kufikiria kama wewe ni Mwezi mchanga soon naamini utajirudi,kichaa chako huwa kinaamka sana sana mwezi wa 3,4,6,9 mwishoni na 2014 kitaanza tena mpk 2015 mwezi wa3
 
ndio mana lwakatare gaidi hatoki kwa sababu atamlisha sumu...zile picha zilizopelekwa kwa wafadhili sio tabia nzuri

Acha picha mwanangu, picha cha mtoto. Mwigulu anatembea na mtu kabisa. Yule aliyemwagikiwa na tindikali.
 
Hivi wakati Abdurahaman Kinana wakati alivyoenda China kaenda kuomba hela naye au?Hivi ulijuaje kama Dr Wilbroad Peter Slaa kaenda Ujerumani kuomba pesa?Mkuu badala ya kuleta hoja mbovumbovu bora ulete hoja ya kujadili mambo ya Katiba mpya maake hiyo ndio habari ya mjini kwa sasa.Acha kutumiwa vibaya kwani hata usipopost pumba hapa wanafahamu kuwa kuna mchumia tumbo mwenzao yuko UK anasafirisha ttakataka nyumbani na kubeba Box,kusafisha vyoo yva wazungu nk
 
Lameck Madelu anatembea kwenye nikutano ya Kampen na yule kijana aliyemmwagia tindikali hujaliona hilo!
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!

Kwanini HAUKUSEMA wakati NAPE NNAUYE alipokwenda na KUONANA NA SPD... kwahiyo pia alienda kuchota PESA Kwanini uko unaona One SIDED???

[h=1]NAPE AWASILI MJINI BERLIN, UJERUMANI[/h]

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye (katikati) akikaribishwa na baadhi ya viongozi wa chama cha SPD mjini Berlin, Ujerumani alipowasili jana kuhudhuria sherehe za miaka 150 ya kuzaliwa kwa chama hicho cha SPD.

​
 
Umejuaje kilicho kwenye mikoba yake kwani wewe na mke wake?

Mtu mwongo na mzushi hushindwi kumtambua mara moja. People who live off lies. Shame.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mmmh kwa kweli chadema na ishinde tuu we are fed up with ccm lets give chadema chance and see what they are going to do
 
Mkuu hawa jamaa wamekuwa kichekesho sana siku hizi

Wameshindwa kabisa kutoa sera za kuongoza nchi badala yake ni maandamano na ugaidi halafu wanachukua picha za wahanga kutafutia attention . si unakumbuka heche juzi alikuwa wapi na ile picha

Sasa ni Kwanini Waliomtoa JICHO na MENO Mr. KIBANDA bado hajapatikana ??? ni CHADEMA? au Walio-BOMB kanisa ARUSHA hakuna case na hakuna mtu aliyeshikwa hata walivyo na low knowledge hawajui hilo BOMB limetengenezwaje na WAPI na ni UGAIDI sasa ni CHADEMA pia???

Kwasababu Mmeshindwa kutoa HOJA za kutetea WIZI wa PESA kuzipeleka USWISI; Kutetea WIZI wa ARDHI LOLIONDO; Kutetea UMASIKINI wa WaTANGANYIKA mnakimbilia fulani ni FISADI no PROOF; Nyie Mnaona UFISADI Mnakimbia...

Actions Speaks Lauder than WORDS!!!! Mr.
Chris Lukosi
 
Watanzania tuiogope chadema kama tuavyoliogopa gonjwa hatari la ukimwi

Kwanini unatupa habari kwa MIKATO; Unatoa HABARI zisizo na UFAFANUZI? Tetea HOJA YAKO kwa convincing POINTS kwanini CHADEMA tukiogope kama GONJWA hatari la UKIMWI? Give us the reason or reasons...

Usiongelee CHUKI yako binafsi na CHADEMA na kutupa MSTARI MMOJA wa HIYO HABARI ili tu kutuchanganya...

Be REAL PROVE to US... Kwasababu kama tukianza kuongelea habari za kisiasa kwa CHUKI na Haujui ni kwanini Unakichukia CHADEMA ni kwasababu tu FULANI au FULANI anakuambia ni CHAMA KIBAYA anakujengea chuki bila sababu ndio hayo tunayoyaona NCHI NYINGINE...

Baada ya Damu kumwagika kama unabaki hai Unaanza kufikiria nini kilianzisha -- Unakuta ni FIKRA za MTU MMOJA kujenga CHUKI NDANI YAKO lakini haujui Sababu ni nini...

BE STRONG STAND FOR YOUR(ME) RIGHTS not OUR RIGHTS...
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!

Ni kweli amekwenda kuomba pesa na pia anawaomba wajerumani wawasaidie ku train vijana wake wa CHADEMA ili achukue nchi 2015. Na pia anataka Idara ya Usalama ya chadema inayoongozwa na Lwakatare iimarishwe na kupewa mafunzo zaidi na vifaa pia ili iwasaidie kuchukua dola.
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!
siyo wote wenye mvi wana hekima!!....mwewe akikosa kifaranga hupanda na jani ili kupooza machungu..
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!

Duh hii hatari, Yaani huko Babu anatembea na picha za marehemu (Umeziona lakini - au inteljensia!!!) Huku Jamaa Mwigulu Nchemba naye anatembea na yule kijana aliyemwagiwa tindikali Igunda majukwaa yote kuzunguka nchi nzima kwa kuinadi CCM.
HIVI VYAMA VIMEANZA KUTUMIA MAJONZI YA WATANZANIA KAMA MTAJI WA KISIASA??
NINI TOFAUTI YA CDM (21yrs old) WANAOTEMBEA NA PICHA HUKU CCM (35yrs old) IKITEMBEA NA WAJERUHIWA??
 
Kwani Mwingulu alipikwenda German alikwenda na CD za kuombea hela au alichukua Twiga na Pemba za Ndovu
 
Back
Top Bottom