Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

na yule kijana ambae mnamdhalilisha kijinsia naona mnampa mazoezi ili mjomba akianza safari tena awe anapita kuzunguka nae. LUKOSI HIVI UNABEBA MABOX KWA BEI GANI NOW DAYS? maana huku tz kuna mfumuko wa bei. LASTLY TUNAOMBA UTUMALIZIE STORY YA YULE CALL GIRL MAANA USHAHAMA MADA.
 
Utaamua kufanya kipi kati ya hivi vifuatavyo kama mfukoni mwako una buku tano tu?
1. Njaa inauma, inabidi ule.
2. Wakati huo hupo, girlfriend/ boyfriend wako kakuomba umtumiebuku tano.
3. Wakati huo huo, umevaa suti kali, huwezi panda daladala, so inabidi uchukue taxi au bajaji kwenda huko uendako.
4. Wakati huo huo, mama anaumwa,inabidi umtumie angalau buku tano anunue dawa.
5. Wakati huo huo umekutana na jamaa anyekudai buku tano miezi mitatu imepita sasa.
Utafanya nini?

1. Ntaenda kwa mamalishe tunaejuana naagiza kisha nikimaliza kula najisachi, alafu nasema shit nimeacha hela kwenye suruali niliyovaa jana. Ntakupitishia baadae.
2. Ntampigia dem wangu kuwa azime simu kwa dakika kumi, kisha ntaenda kwa wauza vocha namwambia antumie vocha ya buku jero kisha nampa namba ya demu wangu iliyo off nikijifanya yangu, nasubiri meseji iingie kwenye simu yangu, olla. Namwabia tandao mbaya ntarudi baadae au ikiingia ntampitishia pesa baadaye.
3. Nachukua teksi ya mtu asiye nijua kabisa naenda mpaka karibu na ninapoelekea alafu nashuka naacha file lisilo na chamaana kwenye tax namwambia kuna mzigo nachukua mara moja anisubiri, naingia mlango wa mbele natokea wa nyuma moto.
4. Namtumia mama buku tano yote kwaajili ya dawa.
5. Mchizi anae dai buku tano na mwambia sina kama haamini afanye lolote analotaka.
 
Hili lijamaa bado halijakua likikua litaacha.
 
Tafadhali sana.Angalia usije ukawa Unamtupia Madongo Mwenyekiti wako Kiaina.Maana nasikia yeye ndiye Rais anayeongoza kwa kusafiri zaidi Duniani.

Mpe mpe huyo. Nyan haon kundule ndo dsgn ya huyo jamaa mwenyeketi wake kila kukcha yupo njee,
 
Chadema wanajiaibisha sana

Wewe ni miongoni mwa wanaoibukaga ku-support mada za udaku..unakuwaga wapi wakati wa kuchangia hoja zenye mashiko??maana nakuonaga kwenye udaku tu.
 
Kuwa mwana ccm ni utahila wa kujitakia!!bwana wewe atukushangai sio siri!!
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.


JITAMBUE!
''sisi sote ni ndugu,tatizo ni ccm''by chris Lukosi
 
Maandamano ya wapanga ugaidi na uuwaji yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote na watanzania wote wakati wote
 
mkuu umenivunja mbavu
Ndugu wewe ni mgonjwa.Yule dr wako alikuwa sahihi.Leo umethibitisha.Una 'delusional disorder'.Mfano:Mgonjwa anasisitiza kuna watu wamejificha kwenye vyumba vya hospitali wanataka kumwua.Mkithibitisha kwamba hawapo,atasema wamekimbia baada ya kumwona yeye.Jitambue,pata tiba.
 
Chadema wanajiaibisha sana
Mkuu hawa jamaa wamekuwa kichekesho sana siku hizi

Wameshindwa kabisa kutoa sera za kuongoza nchi badala yake ni maandamano na ugaidi halafu wanachukua picha za wahanga kutafutia attention . si unakumbuka heche juzi alikuwa wapi na ile picha
 
Ndugu wewe ni mgonjwa.Yule dr wako alikuwa sahihi.Leo umethibitisha.Una 'delusional disorder'.Mfano:Mgonjwa anasisitiza kuna watu wamejificha kwenye vyumba vya hospitali wanataka kumwua.Mkithibitisha kwamba hawapo,atasema wamekimbia baada ya kumwona yeye.Jitambue,pata tiba.
Hebu muulize huyo Dr paulina kwanza yuko wapi siku hizi?

Mnake unashabikia wakati Paulina aliamua kuweka vyeti vyake vya hospitali hapa akitumia jina langu,

By the way unajua kuwa huyo paulina ni mliberali orijino? tuulize sisi tunaoishi naye huku tutakujuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom