Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!

Wewe Chris tumia akili unapoweka thread huku unachukua akili yako unaweka mfukoni unataka kujaribu kushawishi ujinga humu ndani.
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!

Hakika inaelekea Cris CHADEMA inakuuma sana. mbona Nape alikuwa Ujeruman na hukutwambia iwapo alibeba filam ya Lwakatare?
 
Sichangii mada za kipuzi kama hizi..Mbona vibaraka wote CCM mnafanana kwa kila kitu? udaku,wizi wa mali ya umma,kudanganya......why????
Mkuu mechi ya star ni sangapi za kibongo
 
Eddie,
Walafi daima hufikiria nafsi zao na posho. Wana mageuzi hufikiria namba ya kukomboa mataifa Yao.
Nikuhakikishie, hakuna posho coyote iliyotolewa na hakuna sent hata mmoja ya chadema imetumika katika ziara hii. Dr. Slaa amesafiri na ndege kwa kutumia Economy Class kwa kutambua kuwa ukombozi sio sherehe bali kupitia milim a na mabonde kwa ajili ya watanzania wengi walioweka matumaini yaeo kwa Chadema.

Tarehe 5June, nimekuwa na mikutano mbalimbaeli Karlsruhe na viongozi wa ngazi mbalimbali. Nimejifunza mengi hasa kuhusiana na mfumo wa Utawala wa Local Government, Karlsruhe ipo katika State of Baden Wurtenburg.

Kuanzia Tarehe 6 June nimehudhuria Breakfast Prayer iliyoshirikisha viongozi Wabunge, Maspika, Mabalozi na viongozi wa Vyama kutoka nchi 100 kutoka Dunia nzima, na wajumbe zaidi ya 1,000. Huu ni Mkutano wa 18 tangu Breakfast Prayer Gatherings imeanza. Mkutano umeandaliwa na wabunge wa Bundestag (Bunge la Ujerumani). Kati ya waliohudhuria ni Wabunge wa Iran, Sudan na Southern Sudan. Ilifurahisha sana kuona Spika wa Sudan na Southern Sudan kukaa meza mmoja baada ya mazungumzo ya pamoja kuhusiana na mgogoro baina ya nchi zao mbili. Huu ni mkutano unaounganisha madhehebu yote ya Dini, bila kubagua mataifa, rangi, na au dini zao. Dini zote zinaamini kuna Mwenyezi Mungu, na kumekuwa na themes mbaelimbali katika mkutano huu wa siku tatu.

Kuanzia kesho Nina mikutano kadhaa katika Lander ( States mbalimbali) kwa mikutano na MinisterPresident ( Mawaziri wakuu wa States hizo pamoja na maofisa mbalimbali. Kila nitakapopata nafasi nitakuwa nikiwajulisha matukio mbalimbali. Wenye nia njema wanaweza kuniuliza wanavyopenda kuliko kufanya posts za upotoshaji. Nawatakia nyote neema na baraka tele. Yako mengi yanayotuunganisha watanzania katika swala la dini zetu mbalimbali kuliko yanayotutenganisha. Nimejifunza mengi kwa Iran, ambayo ni takriban 99% Islamic lakini Bunge Lao Lina wabunge Waislamu, wayahudi na Wakristu.

[B[/B]

Asante sana Dr.W.Slaa kwa updates.Mungu azidi kukulinda na kukubariki.
 
Last edited by a moderator:
CCM ni ukoo wa panya. Baba, Mama, Kaka, Shangazi, Dada, Mtoto, Bibi, Babu wote wezi.
 
Huyu Jamaa ndo anatafuta umaarufu yeye....anataka, aonekane anapenda CCM kwa kuandika chochote dhidi ya CDM....ndo maana haya hana .... anasema CDM walipanga kupata picha wanazoombea msaada kutoka kwa waliberali....yeye anadhani kila chama ulaya kinaitwa "waliberali" ..., nashangaa anakiri zipo picha CDM walipanga, inamaa serikali ya CCM haikujua na kulizuia kwa kuruhusu maandamano km katiba inavyotaka? au kutojua kwao ndo faida kwa CDM?

Ila sioni ajabu kwa CCM kuwakumbatia watu wenye ujinga km huu.... wamejaa kila mahali ndani ya chama .... wanasifa km yake hawaogopi kuonekana mazuzu wao wanaita hiyo ndio CCM na kwakuwa dola inawabeba hakuna anayejua taifa linaangamia kisa bado wako madarakani.... eti kwao ruksa kuwa punguani kisa bado upo madarakani.... hisia zao ni kwamba aliyeko madakani anaweza kuwa zezeta la kutosha nchi itaenda tuu....!!
 
Eddie,
Walafi daima hufikiria nafsi zao na posho. Wana mageuzi hufikiria namba ya kukomboa mataifa Yao.
Nikuhakikishie, hakuna posho coyote iliyotolewa na hakuna sent hata mmoja ya chadema imetumika katika ziara hii. Dr. Slaa amesafiri na ndege kwa kutumia Economy Class kwa kutambua kuwa ukombozi sio sherehe bali kupitia milim a na mabonde kwa ajili ya watanzania wengi walioweka matumaini yaeo kwa Chadema.

Tarehe 5June, nimekuwa na mikutano mbalimbaeli Karlsruhe na viongozi wa ngazi mbalimbali. Nimejifunza mengi hasa kuhusiana na mfumo wa Utawala wa Local Government, Karlsruhe ipo katika State of Baden Wurtenburg.

Kuanzia Tarehe 6 June nimehudhuria Breakfast Prayer iliyoshirikisha viongozi Wabunge, Maspika, Mabalozi na viongozi wa Vyama kutoka nchi 100 kutoka Dunia nzima, na wajumbe zaidi ya 1,000. Huu ni Mkutano wa 18 tangu Breakfast Prayer Gatherings imeanza. Mkutano umeandaliwa na wabunge wa Bundestag (Bunge la Ujerumani). Kati ya waliohudhuria ni Wabunge wa Iran, Sudan na Southern Sudan. Ilifurahisha sana kuona Spika wa Sudan na Southern Sudan kukaa meza mmoja baada ya mazungumzo ya pamoja kuhusiana na mgogoro baina ya nchi zao mbili. Huu ni mkutano unaounganisha madhehebu yote ya Dini, bila kubagua mataifa, rangi, na au dini zao. Dini zote zinaamini kuna Mwenyezi Mungu, na kumekuwa na themes mbaelimbali katika mkutano huu wa siku tatu.

Kuanzia kesho Nina mikutano kadhaa katika Lander ( States mbalimbali) kwa mikutano na MinisterPresident ( Mawaziri wakuu wa States hizo pamoja na maofisa mbalimbali. Kila nitakapopata nafasi nitakuwa nikiwajulisha matukio mbalimbali. Wenye nia njema wanaweza kuniuliza wanavyopenda kuliko kufanya posts za upotoshaji. Nawatakia nyote neema na baraka tele. Yako mengi yanayotuunganisha watanzania katika swala la dini zetu mbalimbali kuliko yanayotutenganisha. Nimejifunza mengi kwa Iran, ambayo ni takriban 99% Islamic lakini Bunge Lao Lina wabunge Waislamu, wayahudi na Wakristu.

[B[/B]

Ahsante Mheshimiwa; MUNGU aendelee KUKUPA mwangaza ili uje na MENGI ya Kutujuza na KUTUELIMISHA wananchi Wa TANZANIA.
 
Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE![/QUOTE]

Mkuu June hii. Tunakusubiri katika Jimbo lako! lol...
 
..... eti anasema Dr. Slaa aseme wakiingia madarakani watafanya nini ... kwani CCM ya sasa ilituambia nini itatufanyia.....cha mtemakuni tumekiona .... Madaktari hawatibu tena ... Waalimu walishaacha kufundisha .... Wizara yenye fedha za bajeti no moja tu ya ujenzi kisa ujenzi wa Barabara ndo ishara ya maendeleo ndo maana Elimi, Afya, Kilimo ni Wizara zisizothaminiwa tena ila hii ya Ujenzi ndo ya maana kisa barabara zinatoa sifa kwa viongozi tunaona wakina mama wanafurahi eti barabara imepita wakati watoto wao wamefeli, njaa isiyokwisha, matibabu duni sijui wataitumiaje hiyo barabara....! Haya tutaona.....!

Hili hawakutuahidi ...... kuwa watatumia kodi yetu kujenga barabara ili wapate sifa wao kuwa ndo maendeleo ilhali hata kidato cha nne mpaka wapendelewe ndo wafaulu
 
Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!
Hivi wewe hata darasa la saba ulifika kweli? mbona huoneshi uwezo wowote wa kufikiri. Sasa mtu akisha kuwa marehemu huwa anahitaji msaada? marehemu anasaidiwaje?
 
Hizo inaonyesha ndio zenu kama mwigulu anavyotuonyesha yule kijana aliemmwagia tindikali. Kama chama chenye dola na yeye ni naibu katibu kwanini asiharakishe kufanya uchunguzi kuwapata waliotenda badala yake wanamfanya maonyesho. Zambi kubwa sana hii.
 
Back
Top Bottom