Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

[h=2]
icon1.png
Mbinga: CCM chali, Chadema kidedea[/h] Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimeigarakaza CCM huko wilaya ya Mbiga kijiji cha Amani Makoro kwa chadema kupata kura 58 na CCM kura 43 kijiji hiki ndiko anakotoka aliekuwa katibu mkuu wa CCM Ndg Laurence Gama nani jirani kabisa na komba..Peoplesssssssssssssss.. ..

Dr Slaa yuko Ulaya lakini vijana wake wanafanya mambo kama haya.
 
Mungu ibariki ziara ya jemedari wa magamba dr.slaa magamba yanajiharishia wakisikia jina dr. Slaa
 
Don't worry ccm once dr slaa takes over the leadership in tanzania he will be giving you exciting feedbacks from what new he has come up with following his foreign trips abroad unlike the travellor-in-chief we have in the white house who travel more and come back with nothing.
 
sAFARI NJEMA TUMTAKIE NA MUNGU AMUEPUSHE NA JANGA LOLOTE LITAKALOOMBWA NA WABAYA WAKE NA CDM ARUDI SALAMA.
 
tusishangae akina Nepi, Chemba, Lushindwe, Wahasara na magamba wengineo wakaja na madai ya kutunga eti dkt Slaa amekwenda Ujerumani kutafuta misaada ya zana za kivita ili kuleta machafuko katika uchaguzi wa 2015 maana ndo zao!
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!
 
Tafadhali sana.Angalia usije ukawa Unamtupia Madongo Mwenyekiti wako Kiaina.Maana nasikia yeye ndiye Rais anayeongoza kwa kusafiri zaidi Duniani.
 
Ndugu zangini

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!

Lukos kila nikitafakari mada zako humu jf sikuelewi kuwa we ni binadamu wa aina gani,nikikkuita mjinga haitoshi make ujinga hauna shida kwani mwisho wa siku utaelewa,nikikuita mpumbavu naona ntakuwa nimekusifia,wenda nikuite mwendawazimu.
Manyanyaso ya watz yanajulikana kwa kila binadamu mwelewa.Dr aende ulaya na cd akapatiwe msaada ili autumie vipi kuhusiana na unyanyasaji huo?tumeishawazoea wana ccm kwa mawazo ya kipumbavu mnavyoyatumia kama nusla yenu, japo haitawasaidia hata kidogo,kwa akili zako ndogo unafkiri ni baya lipi watz hawajatendewa ambalo wakitendewa hata wewe utakelwa?wanauwa kila sku,wananyima elimu watz,wanawanyima tiba watz,wanawaibia watz na maovu chungu nzima zinduka acha sifa za mda mfupi hazna msaada wowote wa kudumu kwako.
 
[Eddie Griffin]
Aww they say uhh..
.. a black man is a pimp
Well let me tell you the biggest pimp
on planet mother----in Earth, is her momma
It's her MOMMA that told her,
"Get a man that got a good job gurl!
Make sure he got a good car gurl!
Make sure he can take you out and buy you somethin gurl!"
What happened to just fallin in love with a nigga with a bus pass --
-- just cause you love the nigga?
But +I'm+ the pimp mother----er!
I gotta be the player!
Biggest hoes, on planet Earth..
.. are walkin through the mother----in neighborhood
You KNEW when you got with the nigga he already had a woman
You knew he already had a family
but you ----ed him anyway!!!
And then when you thought you gon' lose the nigga
you went and got pregant - didn't you bitch, DIDN'T YOU!!
THE OL' KEEP A NIGGA BABY
And then when the nigga ain't around, what do you tell the child?
"Aww that nigga ain't shit, that's why yo' daddy ain't here;
cause that nigga ain't shit."
How bout bein a woman, and tellin the kid the truth
that yo' momma, you was a hoe!
TELL THE KID!
Momma was a hoe, I was weekend pussy
I had you to keep the nigga, it didn't work out
that's why he ain't here - but he a good nigga
cause he take care of his REAL family
I was just a dumb bitch, tryin to keep, a nigga that I wanted
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jk kafanikiwa kupata msamaha wa deni la mchele toka japan?
 
Acha kutumika mzee, angalia biashara zako huko. Mtafute le mutuz akupe ushauri umeingizwa choo cha kike.

Back
Top Bottom