Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

kanapenda starehe na ubwana mkubwa haka kapadri...sasa ziara ya ulaya inasadidia nini CDM
 
Josephine kaenda Kama nani na Dr Slaa? Ametumia fedha za chama? Haya Makene tujuze tupate kuelewa
 
uploadfromtaptalk1370773329959.jpgAttached photo,taken after the meeting titled confict resolutions the main country was Burundi sharing past experience.south sudan and sudan,Iran and central Africa.

In the picture Ngendakumana Serge sinior advisor current president of Burundi.

Ntibantunganganya Sylvestre former President of Burundi.
 
Josephine nimekwenda kama companion wa Dr Slaa.

Na mke/msaidizi ambaye Dr Slaa amemridhia ndani ya moyo wake.

Dr Slaa anao uwezo wa kugharamia safari zake pale anapoona italeta manufaa kwa nchi yake yeye kuwa pale.
 
Josephine kaenda Kama nani na Dr Slaa? Ametumia fedha za chama? Haya Makene tujuze tupate kuelewa

Mtoto wa kiume kila siku unamzungumzia mwanamke wa mwenzako hata huoni aibu? Hivi nyie watoto wa kiume mlioko huko ccm mnatamani kuchukua nafasi ya Josephine? Au ndio tabia zenu huko ccm kuserukambwa?
 
Experience is the best teacher.
All in all we need to love to learn.

Yapo mambo huwezi kuyakuta darasani.utayapata tu kwa kuwa na watu na kujifunza toka kwao.

Na hii ndiyo inayokosekana kwa vijana wengi,hata mnakubali kutumika kubomoa.
Watanzania leo,hasa vijana hapa mmefundishwa kubomoa,badala ya kuzungumza mambo yanayoweza kutuunganisha kama Taifa.
Hakika ninyi kizazi mnaotumika vibaya,ipo siku itawagharimu kujenga mausiano haya mnayoyabomoa leo.

Inatupasa kujifunze kupenda,na kuvumiliana tofauti zetu badala ya kujenga uhadui.tuijenge nchi yetu kwa hoja.
 
Josephine kaenda Kama nani na Dr Slaa? Ametumia fedha za chama? Haya Makene tujuze tupate kuelewa

acha wivu we tulia na mkeo jamani wa mwenzako hakuhusu acha wivu mr magamba
 
Experience is the best teacher.
All in all we need to love to learn.

Yapo mambo huwezi kuyakuta darasani.utayapata tu kwa kuwa na watu na kujifunza toka kwao.

Na hii ndiyo inayokosekana kwa vijana wengi,hata mnakubali kutumika kubomoa.
Watanzania leo,hasa vijana hapa mmefundishwa kubomoa,badala ya kuzungumza mambo yanayoweza kutuunganisha kama Taifa.
Hakika ninyi kizazi mnaotumika vibaya,ipo siku itawagharimu kujenga mausiano haya mnayoyabomoa leo.

Inatupasa kujifunze kupenda,na kuvumiliana tofauti zetu badala ya kujenga uhadui.tuijenge nchi yetu kwa hoja.

safi sana mama tupo pamoja.if God is with us nobody could be against us
 
Josephine nimekwenda kama companion wa Dr Slaa.

Na mke/msaidizi ambaye Dr Slaa amemridhia ndani ya moyo wake.

Dr Slaa anao uwezo wa kugharamia safari zake pale anapoona italeta manufaa kwa nchi yake yeye kuwa pale.

na junior mnaye?
 
Katika uzi mmoja ulitamka kuwa pesa anayo lipwa mzee Slaa inarudi kwa wananchi, na kutoa maelezo ya jinsi hizo pesa zinavyo tumika. ukifanya hesabu unakuta anabaki na milioni moja ya matumizi yake sasa je hiyo milioni anayo bakiza ndio inagharamia safari yako, malazi na chakula?
 
Mkuu niwekeni sawa rozi kamili nae Vipi kwani ukristo unaruhusu kuwa na wawili au babu slaa aba uchu
 
Yule mzee wa nin? Ndo maana people znahs ukaskaz, mkiwa junk nitawapa kura yangu.
 
katika uzi mmoja ulitamka kuwa pesa anayo lipwa mzee slaa inarudi kwa wananchi, na kutoa maelezo ya jinsi hizo pesa zinavyo tumika. Ukifanya hesabu unakuta anabaki na milioni moja ya matumizi yake sasa je hiyo milioni anayo bakiza ndio inagharamia safari yako, malazi na chakula?

mbona hamhoji pesa zinazotumika katika ziara za kikwete lakini cha ajabu leo mmepata ujasiri wa kuhoji ziara za dr slaa tena ziara moja tu vipi kuhusu zile ziara zaidi ya 300 sisi hazituumi?
 
Kila kutu ni mipango.
Kwetu milioni ni nyingi kwakuwa tunajua tunayo kwa makusudi
 
Experience is the best teacher.
All in all we need to love to learn.

Yapo mambo huwezi kuyakuta darasani.utayapata tu kwa kuwa na watu na kujifunza toka kwao.

Na hii ndiyo inayokosekana kwa vijana wengi,hata mnakubali kutumika kubomoa.
Watanzania leo,hasa vijana hapa mmefundishwa kubomoa,badala ya kuzungumza mambo yanayoweza kutuunganisha kama Taifa.
Hakika ninyi kizazi mnaotumika vibaya,ipo siku itawagharimu kujenga mausiano haya mnayoyabomoa leo.

Inatupasa kujifunze kupenda,na kuvumiliana tofauti zetu badala ya kujenga uhadui.tuijenge nchi yetu kwa hoja.

Yes,nimependa ulivyochagua maneno ya kuandika very touching!
Dawa ya hawa watu ni kusimamia hoja na kuepuka majibizano wanayokuja kuyatumia kama mtaji.
Safari njema First lady mtarajiwa,hawataki wajininginize!
 
Mungu akubariki Dr Slaa, ni jambo la busara ha heri kutujuza yanayoendelea ili wenye dukuduku waweze kupata ufahamu, kila kitu kinahitaji uvumilivu
 
CDM chama cha ukanda, udini na uchagga! Kumbe hata huko majuu na Iran wako kanda ya kaskazini, tena wadini, tena wachagga...kudadadeki.Inabidi tuanze upya! Spika wa Sudan na Sudan kusini nao ni wa kanda tena wachaga....kudadadeki Sikujua hilo! JF inafumbua macho....Waislamu, wayahudi na Wakristo wa Iran kudadadeki kumbe nao ni wachagga. CDM NI CHA WACHAGA.....nilikuwa sijui...CCM kwa mitusi.....Zitto kumbe baba'ake mchaga ndio maana yuko CDM du...kudadadeki.....
 
Back
Top Bottom