Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 625
- 431
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐๐ฅ๐๐๐๐ ๐ก๐๐๐๐ก๐ ๐๐๐๐ง๐ข๐๐๐ ๐ ๐๐ฅ๐๐๐๐ก๐
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la Iowa.
Pia katika ziara hiyo, Waziri Mkuu alifanya mazungumzo na wawekezaji, watafiti na washirika wa maendeleo kuhusu ushirikiano katika kilimo, usalama wa chakula, teknolojia na uwekezaji, kwa lengo la kuongeza tija, kupanua masoko ya mazao na kukuza fursa za ajira na kipato kwa wananchi.