Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Dr. Slaa aanza ziara ndefu barani Ulaya

Mkuu hawa jamaa wamekuwa kichekesho sana siku hizi

Wameshindwa kabisa kutoa sera za kuongoza nchi badala yake ni maandamano na ugaidi halafu wanachukua picha za wahanga kutafutia attention . si unakumbuka heche juzi alikuwa wapi na ile picha

Naamini ukikua utaacha
 
Sio mbili 2tashinda tatu moja kama last match na2kishinda nitakunya viroba kama anavyosema lukosi.
 
Watanzania tuiogope chadema kama tuavyoliogopa gonjwa hatari la ukimwi
Mkuu inabidi tuiogope sana hasa baada ya kugundulika kuwa ina urafiki wa karibu sana na chama cha CDU ya ujerumani ambacho habari zake ni hizi hapa chini

Senior members of Merkel's Christian Democratic Union want to address equal rights for homosexuals. They are looking into taxing same-sex partnerships like married couples.German top courts have extended gay adoption laws in Germany, a further step toward equality for homosexual couples. From now on, life partners will have more rights when it comes to adoption
source; DW

Hii ina maana hawa jamaa wanataka kutupeleka huko na ni moja ya masharti ya hawa jamaa kuwa lazima uwe na siasa zenye mlengo unaofanana nao.
 
Lukos kila nikitafakari mada zako humu jf sikuelewi kuwa we ni binadamu wa aina gani,nikikkuita mjinga haitoshi make ujinga hauna shida kwani mwisho wa siku utaelewa,nikikuita mpumbavu naona ntakuwa nimekusifia,wenda nikuite mwendawazimu.
Manyanyaso ya watz yanajulikana kwa kila binadamu mwelewa.Dr aende ulaya na cd akapatiwe msaada ili autumie vipi kuhusiana na unyanyasaji huo?tumeishawazoea wana ccm kwa mawazo ya kipumbavu mnavyoyatumia kama nusla yenu, japo haitawasaidia hata kidogo,kwa akili zako ndogo unafkiri ni baya lipi watz hawajatendewa ambalo wakitendewa hata wewe utakelwa?wanauwa kila sku,wananyima elimu watz,wanawanyima tiba watz,wanawaibia watz na maovu chungu nzima zinduka acha sifa za mda mfupi hazna msaada wowote wa kudumu kwako.

Nikulime LIKE? Au nikusamehe?
 
Dr. asije akatuletea sera za CDU, manake hicho chama kimeegemea maslahi ya kanisa.

Kama ambavyo Kikwete anatuletea Bidhaa bandia au zilizo chini ya kiwango kutoka kwa Wakomunisti wenzake wa China!!!??
 
Hebu muulize huyo Dr paulina kwanza yuko wapi siku hizi?

Mnake unashabikia wakati Paulina aliamua kuweka vyeti vyake vya hospitali hapa akitumia jina langu,

By the way unajua kuwa huyo paulina ni mliberali orijino? tuulize sisi tunaoishi naye huku tutakujuza

In every sense of the word Dellusional Disorders Mr Lukosi you are demonstrating all these diagnostic symptoms of this psychological disorder.You need a therapeutic treatment from a Therapist to free you from that mental dysfunction.
 
Hebu muulize huyo Dr paulina kwanza yuko wapi siku hizi?

Mnake unashabikia wakati Paulina aliamua kuweka vyeti vyake vya hospitali hapa akitumia jina langu,

By the way unajua kuwa huyo paulina ni mliberali orijino? tuulize sisi tunaoishi naye huku tutakujuza
Ndugu umeongeza tatizo lingine la afya ya akili kwenye majibu yako.Naomba nisilijadili hapa.Unajihami sana bila kujijua,this may prevent you from being aware that there are problems which may require treatment.
 
Mkuu hawa jamaa wamekuwa kichekesho sana siku hizi

Wameshindwa kabisa kutoa sera za kuongoza nchi badala yake ni maandamano na ugaidi halafu wanachukua picha za wahanga kutafutia attention . si unakumbuka heche juzi alikuwa wapi na ile picha

You pathetic guys are cracking me up with your unbelievable ignorance.CHADEMA ni chama cha Kigaidi?Na wale waliokutwa kule Mbeya wakipewa mafunzo ya Kigaidi chini ya maelekezo ya Mwiguru tuwaitaje?
 
Ndugu zanguni

Kama mnavyojua Dr yuko Germany kwa mwaliko wa kile chama cha kileberali CDU.

Kama kawaida najua katika mikoba ya Dr lazima atakuwa na picha za matukio mbali mbali ya vurugu ambazo ni wao wenyewe viongozi wa chadema walizipanga ili kujitafutia umaarufu huku wakiwaacha makamanda viroba waandamane bila kibali wapate mkong'oto wakati wao wamejifungia majumbani mwao wakiangalia TV.

Nwashauri Chadema mnapozunguka Ulaya mnatakiwa muwaambie hao wafadhili wenu mtafanya nini mkipewa nchi ili kuleta maendeleo na sio kuzunguka na picha za marehemu ambao hata kuwasaidia hamuwasaidii na nyie ndio sababu kubwa ya mauti yao.

JITAMBUE!

Chris mda mwingine huwa nakuelewa....
 
Lukosi, nipo Germany kwasasa na sijaona hata chembe ya hayo unayosema, kwanini usinyamaze kama hujui kitu, hivyo ni lazima useme. Next week nitarudi UK nitakutafuta ili nikushauri namna nzuri ya kujitengenezea jina nje ya siasa. Mbona huongelei ccm wanavyotumia watu walliomwagiwa tindikali kuomba kura/kula ama ni upinzani tu wa kusemwa. Siasa chafu hazitakiwi iwe zinafanywa na ccm ama vyama tishio kwa ccm. jitambue
 
Mkuu hawa jamaa wamekuwa kichekesho sana siku hizi

Wameshindwa kabisa kutoa sera za kuongoza nchi badala yake ni maandamano na ugaidi halafu wanachukua picha za wahanga kutafutia attention . si unakumbuka heche juzi alikuwa wapi na ile picha

Chadema inaharibiwa na watu kama hao dr slaa
 
dah nashukuruni sana kwa kunifanya nicheke kwa hz comments zenu.
 
Hapa umeonesha jinsi serikaliyako ilivyo dhaifu yani viongozi wa chadema wapenga vurugu kama ulivyo sema alaf wewe na serikali yako mnashindwa kuwakamata. sasa kwa nini tusiamini ninyi ndio wapanga vurugu?.

Kwa nini tusiamini serikali yako imeshindwa kuongoza na nidhaifu?
Hivi umejuaje kilichomo kwenye mkoba?
 
Mbwana Samatta kama kawaida na Thomas Ulimwengu wanatupia goal kila mmoja.
 
tusishangae akina Nepi, Chemba, Lushindwe, Wahasara na magamba wengineo wakaja na madai ya kutunga eti dkt Slaa amekwenda Ujerumani kutafuta misaada ya zana za kivita ili kuleta machafuko katika uchaguzi wa 2015 maana ndo zao!

Mkuu umenifurahisha sana!
 
Back
Top Bottom