Elections 2010 Dr. Shein na Maalimu Seif wanachuana Z'bar

Status
Not open for further replies.
Hata kama Dr.Shein atashindwa, ni LAZIMA atakuwa ktk serikali ya mseto..hivyo hajachacha!
 
Asanteni kwa kutuletea matokeo. Bado ni mapema sana kujua nani mshindi. Tuwe na subira na ustaarabu wa kukubali kushinda na kushindwa, licha ya mizengwe iliyojitokeza. Kulalamika sasa wakati filimbi imeshapulizwa haitasaidia, bali tunaweza kujifunza kutokana na makosa yetu kwa mara ijayo. MUNGU IBARIKI TANZANIA:israel:
 
hawawezi kuchakachua tena hapa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:rip::rip::rip::rip::rip:ccm
 
Maneno ya mkapa pale jangwani eti serikali ya mseto anakubaliana nayo lakini lazima iongozwe na ccm sasa yatamrudia. laana ya maneno hayo itamrejea. sijui atafunikaje uso wake mbele ya jamii!!!!:nono:
 
Shein hawezi akashinwa. Usibabaike na data za Mheshimiwa Mwiba. Ndiyo yale yale!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Shein hawezi akashinwa. Usibabaike na data za Mheshimiwa Mwiba. Ndiyo yale yale!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu mwaka huu kama hajaapishwa Seif Zanzibar unguja Pemba watamuapisha. Nimeongea na mtu anasema kuna maboksi yamekamatwa sehemu za mtoni yashapigwa kura tayari. Na sehemu za ngome kongwe watu walikuwa wakibambikiziwa karatasi ambazo zishapigiwa kura , matukio hayo hayo pia yametokea sehemu za mtoni ambapo inasemekana pia wameonekana wageni (wasio watanzania) wakipiga kura.
 
Enough is enough naomba ccm wakubali kuwa wameshindwa coz kinyume na hapo naogopa kusema kuwa kutakuwa na umwagaji mkubwa wa damu ambao hakuna mtanzania yoyote mwenye kuipenda nchi yake atataka kuona mambo kama hayo yakitokea. Ee mola tuepushie machafuko ya aina yoyote znz - amin
 
Mkuu mwaka huu kama hajaapishwa Seif Zanzibar unguja Pemba watamuapisha. Nimeongea na mtu anasema kuna maboksi yamekamatwa sehemu za mtoni yashapigwa kura tayari. Na sehemu za ngome kongwe watu walikuwa wakibambikiziwa karatasi ambazo zishapigiwa kura , matukio hayo hayo pia yametokea sehemu za mtoni ambapo inasemekana pia wameonekana wageni (wasio watanzania) wakipiga kura.

Hii ni kweli nimeiona pia kwenye taarifa ya habari. Wapiga kura (tena wanawake, nawaamini sana) walisema walipofika kituoni msaidizi wa kituoni alikuwa anachukua karatasi ya kura anaweka kwanza tiki pale kwenye CCM ndipo anampatia mpiga kura. Kwa yule aliyekusudia kuchagua CCM, hiyo ni kura tayari, lakini kwa aliyekusudia kuchagua chama kingine basi hiyo kura inakuwa imeharibika tayari maana haipaswi kuwa na tick mbili. Wajanja waliogundua mchezo huo walikuwa wanakataa karatasi hizo. Lakini najua kuwa karatasi zimehesabiwa kwa idadi ya wapiga kura, kwa hiyo bado kuna tatizo.
 
Mji Mkongwe

Maalim Seif: 4717

Dr Shein: 1589

Kikwajuni

Maalim Seif: 2011

Dr Shein: 4933
 
Official Results:
Mji Mkongwe:
Ismail Jussa (4,566) CUF
Simai Mohamed Said (1,667) CCM
Waliobakia 213.
 
Mvumilivu hula mbivu.
Maalim Seif hii ni zamu yake. SAWA SAWA!


taratibu ami, ukisema "zamu yake" inakuwa kama amepewa vile.
mtendee haki na utumie "amechaguliwa" kwani ushindi huo sio wa hisani ya ccm
 
ITV, Farouq Kareem, anasema kutoka Zanzibar , matokeo rasmi yanatangazwa Zanzibar, kama vile Seif anaongoza
 
Matokeo ya urais Zenji yanatangwa sasa majimbo 8. Yote ni yalikuwa CCM, na safari hii CUF wamechukua moja
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom