Dr. Shein na Maalimu Seif wanachuana Z'bar


Status
Not open for further replies.
M

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
5,106
Likes
50
Points
145
M

Mdondoaji

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
5,106 50 145
Nimesikia tetesi Maalim Seif ana 50.06% na Dr Shein 47% sasa wanajiuliza vp asilimia ziongezeke kidogo ili Dr Shein atawazwe rasmi Rais mteule wa zanzibar.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,892
Likes
33,701
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,892 33,701 280
Mwenyekiti wa Zec yuko live on TBC akitangaza matokeo ya jimbo la Dongwe.
CCM-SHEIN- 6320
CUF- SEIF HAMAD-773
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,892
Likes
33,701
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,892 33,701 280
Mwenyekiti wa ZEC anatangaza matokeo ya Jimbo la Uzini.

CCM -Dr. Shein- 7158
CUF-Seif Hamad- 736
 
M

Malyamungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2009
Messages
363
Likes
1
Points
0
M

Malyamungu

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2009
363 1 0
Pressure inapanda pressure inashuka
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,892
Likes
33,701
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,892 33,701 280
Mwenyekiti wa ZEC, Hatibu Mwinyichande, amesema matokeo yanachelewa kwa sababu, kuna matokeo yenye mashaka, wanayafanyia kwanza verification, hivyo ameomba wananchi wawaelewe.

Amesema, bora kuchelewa kutangaza, lakini unachotangaza ni matokeo ya uhakika kuliko kuharakisha bila uhakika.
 
B

Bongokid

Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
53
Likes
2
Points
15
B

Bongokid

Member
Joined Nov 14, 2007
53 2 15
Tume ya Zanzibar:
M. Shein (CCM) anaendelea kuongoza huko Zanzibar (majimbo 10 kati ya 13)
 
TGS D

TGS D

Senior Member
Joined
Aug 3, 2010
Messages
114
Likes
1
Points
0
TGS D

TGS D

Senior Member
Joined Aug 3, 2010
114 1 0
FUONI
Waliojiandikisha 10884
Waliopiga kura 9367 %86.1
Kura halali 9201 %98.2
Zilizoharibika 166 %1.8
DK SHEIN CCM 6351 %69.0
Maalim Seif CUF 2777 %30.2
Kasim Bakr Ali wa jaahazi asilia ni 9 % 0.1

MTONI
Waliojiandikisha 9672
Waliopiga kura 8768 %90.7
Kura halali 8635 %98.5
Zilizoharibika 133 %1.5
DK SHEIN CCM 3746 %43.4
Maalim Seif CUF 4852 %56.2

DOLE
Waliojiandikisha 8017
Waliopiga kura 4912
Kura halali 6834 %98.4
Zilizoharibika 108% 1.6
DK SHEIN CCM 4777 %69.9
Maalim Seif CUF 2007 %6.4
Kasim Bakar wa jahazi asilia 16 % 0.1

DIMANI
Waliojiandikisha 12813
Waliopiga kura 11383 %88.8
Kura halali 11298 %68.5
Zilizoharibika 175 % 1.5
DK SHEIN 6225 % 55.5
Maalim Seif CUF 4898
Tadea na Jahazi asilia wamefuata kwa kufungana kwa kura 23

Kiembe samaki
Waliojiandikisha 4998
Waliopiga kura 3856 %35.4
Kura halali 3806
Zilizoharibika 50 % 1.3
DK SHEIN CCM 4338
Maalim Seif CUF 2812
NCCR mageuzi 10

Mwanakwerekwe
Waliojiandikisha 8062
Waliopiga kura 7253 %90.3
Kura halali 7178 % 98.4
Zilizoharibika 115 % 1.6
DK SHEIN CCM 4338 % 60.4 2812 % 39 .2 NRA 10 %0.1
Maalim Seif CUF

BUBUBU
Waliojiandikisha 9809
Waliopiga kura 8827
Kura halali 8606
Zilizoharibika 121
DK SHEIN CCM 4458 %51.8
Maalim Seif CUF 4119 % 47.9
Nra 12 % 0.1

MFENESINI
Waliojiandikisha 7242
Waliopiga kura 6203% 85.7
Kura halali 6038
Zilizoharibika 165
DK SHEIN CCM 3755 %62.2
Maalim Seif CUF 2246%37.2
AFP 11 %0.2

AMANI
Waliojiandikisha 7641
Waliopiga kura 6857%
Kura halali 6725
Zilizoharibika 112 %1.6
DK SHEIN CCM 4567 % 64.9
Maalim Seif CUF 2312 %34.4

Raha leo
Waliojiandikisha 7229
Waliopiga kura 6399 %88.5
Kura halali 6300 %88.5
Zilizoharibika 99 %1.5
DK SHEIN CCM 4043 %64.2
Maalim Seif CUF 2216 %35.2

KIKWAJUNI
Waliojiandikisha 7910
Waliopiga kura 6513 %82.3
Kura halali 6431%98.7
Zilizoharibika 82 % 1.3
DK SHEIN CCM 4534 %70.5
Maalim Seif CUF 1860 % 28.9

KWAHANI
Waliojiandikisha 7497
Waliopiga kura 6459%86.2
Kura halali 6398 %99.1
Zilizoharibika 61 %0.9
DK SHEIN CCM 4994%78.1
Maalim Seif CUF 1349 %21.1

MJI MKONGWE
Waliojiandikisha 7495
Waliopiga kura 6414 %85.6
Kura halali 6334 %98.8
Zilizoharibika 80 %1.2
DK SHEIN CCM 1589 %25.1
Maalim Seif CUF 4717 %74.5

Magogoni
Waliojiandikisha 10101
Waliopiga kura
Kura halali
Zilizoharibika
DK SHEIN CCM 3867 %44.1
Maalim Seif CUF 4867 %55.4

MPENDAE
Waliojiandikisha 9459
Waliopiga kura 8596 %90.9
Kura halali 8476
Zilizoharibika 120
DK SHEIN CCM 4870 %57.5
Maalim Seif CUF 3546 %41.8
 
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Messages
1,918
Likes
24
Points
135
Sokomoko

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2008
1,918 24 135
Mhn wameshachukua wameweka waaa sidhani kama CUF watatoboza as Mkapa ameshaingia ndani ya zenji kusimamia mapinduzi daima
 
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,949
Likes
247
Points
160
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,949 247 160
Yaani matokeo ya Zenji hata hayaeleweki yapi ya kweli yapi ya kuchakachua.
 
Lucchese DeCavalcante

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Messages
5,473
Likes
70
Points
145
Lucchese DeCavalcante

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2009
5,473 70 145
Hadi sasa ikiwa majimbo kadhaa yamekwishatangazwa na ZEC bila majimbo 18 ya Pemba na baadhi ya Unguja Dr. Shein 91,464 na Maalimu Seif 64,878
 
Igabiro

Igabiro

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
242
Likes
0
Points
33
Igabiro

Igabiro

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
242 0 33
Mpaka sasa Dr. Shein Anaongoza kwa kura 90458 zidi ya 69253 za CUF, hapo ni mahesabu ya Unguja tu bado hawajaelekea Pemba, Unguja CUF wamechukua majimbo 4 Unguja ( ambayo haikuwahi kutokea uko Nyuma). Na kuna ukweli kuwa Pemba wamechukua yote majimbo 18 Pemba.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,264,126
Members 486,207
Posts 30,173,847