Elections 2010 Dr. Shein na Maalimu Seif wanachuana Z'bar

Status
Not open for further replies.
1) Kituo Cha Bwawani-Unguja

Maalaim seif CUF 593
Dr Shein CCM 141

Jimbo la Chake Chake-Pemba
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani
Maalim CUF 623,
Shein CCM 132.

Wadi ya vikokotoni
Maalim Seif CUF 204
Dr Shein CCM 96

Ziwani -Pemba
*
Maalim Seif CUF 1080
Dr Shein CCM 60

Malindi - Unguja
Maalim Seif CUF 104
Dr Shein CCM 28

- Mwiba habari yako iko sawa, the dataz ni aibu huko kwa CCM!

Es!
 
Majimbo nane tume imemtangaza Shein kuongoza Znz.

majimbo hayo ni:
1. Fuoni:
Shein 6351
seif 2777

2. Mtoni-Unguja
Shein 4852
Seif 3746

3. Dole
Shein 4777
Seif 207

4. Dimani
Sehin 6225
Seif 4898

5.Kiembe Samaki
Shein 2734
Seif 1041

6. Mwanakwereke
Shein 4338
Seif 2812

7. Bubu
Shein 4458
Seif 4119

8. Mferejini
shein 3755
Seif 2246

matokeo Rasmi ya Tume yaliyotangazwa TBC live saa 9: 14
 
Majimbo namne tume imemtangaza Shein kuongoza Znz.

majimbo hayo ni:
1. Fuoni:
Shein 6351
seif 2777

2. Mtoni-Unguja
Shein 4852
Seif 3746

3. Dole
Shein 4777
Seif 207

4. Dimani
Sehin 6225
Seif 4898

5.Kiembe Samaki
Shein 2734
Seif 1041

6. Mwanakwereke
Shein 4338
Seif 2812

7. Bubu
Shein 4458
Seif 4119

8. Mferejini
shein 3755
Seif 2246

matokeo Rasmi ya Tume yaliyotangazwa TBC live

Na Mtoni yametoka mkuu CUF wameshinda rekebisha hiyo figure mie nimechelewa kuwasha TV
 
Naona Mongowe unachakachua matokeo matokeo kiusahihi haya hapa:

fuoni- cuf,2777
ccm,6351
mtoni- cuf,4852
ccm,3749

dole- cuf,2007
ccm4777
dimani-cuf,4898
ccm,6225
k/samaki-cuf,1041
ccm,2734
m/kwerekwe-cuf,2812
ccm,4338
bububu-cuf,4119
ccm,4458
mfenesini-cuf,2246
ccm,3755
 
cuf hakuna jipya kama ni hvyo

Kuwa na subira Cuf wameshachukua jimbo moja kutoka katika mdomo wa CCM na jengine ni ngome kongwe (bado hawajatangaza tu) ukijumlisha na ya pemba basi nadhani ushajua nani mshindi zanzibar.
 
Majimbo ya unguja
jimbo la fuoni: Ccm-6351, cuf-2797
jimbo la mtoni: Ccm-3746, cuf-4852
jimbo la dimani:ccm 6225, cuf-4898
jimbo la kiembe samaki:ccm- 2794, cuf-1141
jimbo la kwerekwe: Ccm-4338, cuf-2812
jimbo la bububu: Ccm-4458, cuf-4119
jimbo la mfenesini: Ccm-3755, cuf-2246
jimbo la dole: Ccm-4777, cuf- 2007
 
Fuoni WALIOJIANDIKISHA 10884 WALIOPIGA KURA 9337 KURA HALALI 9201 CUF 2777 CCM 6351
Mtoni 9972 --- CUF 4852 CCM 3746 HARIBIKA 1106
Dole 8017 --- 6858 --6834 CUF 2007 - 4777 CCM - 2770
Dimani 12837 11387 11208 CUF 4818 CCM 6225 -1407
K/samaki 10884 3856 3406 CUF1041 CCM 2834 -1793
M/kwerekwe 8062 7263 7178 CUF 2812CCM 4338 -1526
Bububu 9809 8727 8906 CUF 4119 CCM 4458 -339 ?
Mfenesini 7242 6203 6038 CUF- 2246 CCM3755 -1509


MAJIMBO YA UNGUJA
JIMBO LA FUONI: CCM-6351, CUF-2797
JIMBO LA MTONI: CCM-3746, CUF-4852
JIMBO LA DIMANI:CCM 6225, CUF-4898
JIMBO LA KIEMBE SAMAKI:CCM- 2794, CUF-1141
JIMBO LA KWEREKWE: CCM-4338, CUF-2812
JIMBO LA BUBUBU: CCM-4458, CUF-4119
JIMBO LA MFENESINI: CCM-3755, CUF-2246
JIMBO LA DOLE: CCM-4777, CUF-

MAJIMBO YA PEMBA SO FAR
JIMBO KUTOKA PEMBA

JIMBO LA OLE: CUF- 5775, CCM -893

JIMBO LA WETE: CUF-6317, CCM-1189

JIMBO LA GANDO: CUF-5239, CCM-884

JIMBO LA MTAMBWE: CUF-5415, CCM-307

JIMBO LA KOJANI: CUF-6262, CCM-562
 
Ajimbo ya unguja
jimbo la fuoni: Ccm-6351, cuf-2797
jimbo la mtoni: Ccm-3746, cuf-4852
jimbo la dimani:ccm 6225, cuf-4898
jimbo la kiembe samaki:ccm- 2794, cuf-1141
jimbo la kwerekwe: Ccm-4338, cuf-2812
jimbo la bububu: Ccm-4458, cuf-4119
jimbo la mfenesini: Ccm-3755, cuf-2246
jimbo la dole: Ccm-4777, cuf-

majimbo ya pemba so far
jimbo kutoka pemba

jimbo la ole: Cuf- 5775, ccm -893

jimbo la wete: Cuf-6317, ccm-1189

jimbo la gando: Cuf-5239, ccm-884

jimbo la mtambwe: Cuf-5415, ccm-307

jimbo la kojani: Cuf-6262, ccm-562


so far ccm 45% cuf 55%
 
hivi 1995, pamoja na uchakachuaji wa kutisha, CCM siwalijitangaza washindi kwa tofauti ya kura 300 hivi! Mwaka huu itakula kwao!
 
Naona Mongowe unachakachua matokeo matokeo kiusahihi haya hapa:

fuoni- cuf,2777
ccm,6351
mtoni- cuf,4852
ccm,3749
dole- cuf,2007
ccm4777
dimani-cuf,4898
ccm,6225
k/samaki-cuf,1041
ccm,2734
m/kwerekwe-cuf,2812
ccm,4338
bububu-cuf,4119
ccm,4458
mfenesini-cuf,2246
ccm,3755

Hata mimi pia nilikuwa nashangaa.Yaani wanyamwezi 207 tu !.Wengine wote hawakumfahamu maalim Seif;kwamba hakuna atakayefukuzwa ilimradi katimiza masharti ya uzanzibari.
Halafu naomba kuuliza huyu Ali Haji Pandu yuko wapi?,mbona simsikii siku hizi?
 
Naangalia TBC Live toka ukumbi wa Salama Hall, Hoteli ya Bwawani ambapo matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Zanzibar, yanatakiwa kutangazwa wakati wowote.

Mtangazaji Ali Saleh wa BBC ameohojiwa, anashangaa hii sintofahamu ya nini wakati kufikia asubuhi ya leo, matokeo yote tayari yalishapatikana!.

Ametoa angalizo, huku kuchelewa kutangaza matokeo ili hali wanayo, ndiko kunakopelekea kutishia amani.
 
Naangalia TBC Live toka ukumbi wa Salama Hall, Hoteli ya Bwawani ambapo matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Zanzibar, yanatakiwa kutangazwa wakati wowote.

Mtangazaji Ali Saleh wa BBC ameohojiwa, anashangaa hii sintofahamu ya nini wakati kufikia asubuhi ya leo, matokeo yote tayari yalishapatikana!.

Ametoa angalizo, huku kuchelewa kutangaza matokeo ili hali wanayo, ndiko kunakopelekea kutishia amani.

Wanataka kuleta habari kama walivyofanya KEC Kenya halafu matokeo yake watu walianza vurugu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom