Na huo ndio ukweli ambao ulimfanya SAS kukosa nafasi ya kuteuliwa mwaka 2005 ingawaje watu wanapotosha kwamba alichafuliwa na JK! Hata kama JK alifanya propaganda chafu dhidi ya SAS, kilichomwangusha zaidi ni hicho ambacho umekisema! Wana-CCM wengi wa bara hawana tatizo na SAS lakini tatizo lipo kutoka kwa wale ZNZ/Unguja ambao hadi leo wanamuhusisha SAS na HIZBU/ZNP.....chama cha Kisultani!Tatizo ni kuwa WaZanzibari hawampendi wanamwita MWARABU; Hawapendi UARABU wake haufai... lakini Wanapenda kweli kuitwa kuwa wao ni Waarabu wa OMAN; it is shocking - this kind of discrimination...
Na ukiangalia Maalim Seif na Salim Ahmed Salim wana Undungu; Sasa ni kivipi Maalim Seif awe anakubalika Zanzibar pamoja na kuwa yeye ni Mpemba na Salim Salim kuwa na Undugu na Maalim na ni wa Pemba hakubaliki huko Zanzibar?
Unajua There is no vaccine to fight this kind of Racism and no antibiotics to take. It's a dangerous and infectious virus, strengthened by indifference and inaction... But, Salim angekuwa Rais mzuri sana...
Tukirudi kweneye mshangao wako wa kwamba inakuwaje Seif anakubalika kuliko SAS kule ZNZ wakati wote ni wale; ni kwamba umeteleza kidogo! Seif anakubalika Zanzibar upande wa Pemba na sio Unguja! Wana-CCM wa Unguja ambao wengi ni ex-ASP wanamuona Seif kwa jicho lile lile wanalomuona nalo SAS! Sehemu ambazo Seif anakubalika Unguja ni zile zenye wakazi jamii ya akina Seif/Salim! Ukisikia CCM wanawaambia wananchi kwamba wasiichague CUF coz' watarudisha utawala wa Kisultani; maana yao ni ile ile inayowafanya wamnyanyapae SAS. Seif nae, anaonekana ni product ya HIZBU ingawaje Wapemba weusi hawajadanganyka na propaganda hii na iliyowakolea ni Waunguja Weusi!