Dr. Salim Ahmed Salim kuwa Obama wa Tanzania 2015?

Ulitaka tumpe nchi mburu slaa tumuache mtoto Wa mjini jakaya unatufanya sie wajinga mpeni ushirikiano ajenge nchi nyie mnamuharibia atafukuza wangapi ktk serikari

'mtoto wa mjini jakaya' unawajua vizuri watoto wa mjini? we ndo kichefuchefu kabisa. Hii nchi sio familia acha ubwege,viva chadema viva
 
Katiba mpya tunataka wanasiasa kujitenga na shughuri za kiutendaji za kila siku serikalini,hatutaki mbunge kuwa waziri,nchi hii ina wasomi wenye uwezo maadili na uzalendo na si wanasiasa,pia tumechoka kusikia wabunge wa chama fulani kuwatetea mawaziri au serikali ambayo inavurunda kila mara.
HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaja Dk. Wilbroad Slaa ambaye ni katibu Mkuu wake kuwa ndiye mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Rais na Wabunge utakaofanyika 2015.
Chama hicho kinaamini ya kuwa kitashinda katika uchaguzi huo, na endapo kitashinda kweli, basi kitamteua Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe kuwa Waziri Mkuu.
Safu hiyo ya watawala wapya nchini ilitangazwa wiki iliyopita na Mbunge wa Nyamagana, Hezekiah Wenje, wakati akiwahutubia maelfu ya wananchi waliokusanyika katika viwanja vya Mbungani Jijini Mwanza kwenye mkutano wa wabunge wa CHADEMA waliosimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa siku tano.
Wenje katika mkutano huo alitangaza Zitto Kabwe, ambaye amepata kusema kwamba hatagombea tena ubunge, atakuwa Waziri wa Fedha, huku yeye akishika Wizara ya Mambo ya Nje.
Kwa mujibu wa Wenje, Waziri wa Maliasili na Utalii atakuwa Mchungaji Peter Msigwa huku nafasi ya Waziri wa Michezo na Utamaduni ikienda kwa Joseph Mbiliniyi, ama maarufu kama Sugu. Waziri wa Nishati na Madini atakuwa John Mnyika na Waziri wa Sheria atakuwa Tundu Lisu.
Alisema Wizara ya Mambo ya Ndani itashikwa na Godbless Lema, Wizara ya Kilimo itakuwa chini ya Meshack Opulukwa na ile ya Mazingira itasimamiwa na Halima Mdee wakati ya Viwanda na Biashara itashikwa na Highness Kiwia.
Wenje aliwahakikishia wananchi waliohudhuria mkutano huo kwamba chama chake kimejipanga na kwamba hakina wasiwasi hata kidogo kuongoza dola mwaka 2015 kwa kuwa kina wapiganaji imara wanaoweza kuwakwamua Watanzania kutoka katika lindi la umaskini.
"Nchi haifanyi ya kutosha kuimarisha shilingi yetu, yupo msomi mmoja wa CCM ambaye anaamini kuwekwa kwa picha ya Nyerere na Karume hela yetu itapanda thamani. Hawa watu ni hatari, tupeni dola 2015 ili Zitto (Zitto Kabwe) awe Waziri wa Fedha, ni kijana mwenye akili nzuri nchi itakwenda," alisema.


Inaendelea hapa Raia Mwema - Timu ya CHADEMA 2015
 
Kumweka huyu naona ni kiketi ya CDM mia kwa mia, maana hata namna ya kuziiba kura ili zikamilike itashindikana.
 
By 2015 nazani atakuwa anakaribia miaka 80 na kama sio basi atakapomaliza mihula miwili atakuwa keshafikia umri huo!!! Hatuna haja na wa2 kama hao kwavile bado kuna vijana au wazee kidogo wengi tu wenye uwezo wa kuongoza!!!

Kwani Padri Slaa ana miaka mingapi vile?
 
wadau mnamuonaje dr. Salim, kwa uadilifu wake na taswira na haiba yake kitaifa na kimataifa haimtoshi kuongoza nchi yetu ya tanzania kwenye ngazi ya urais?

angekua muadilifu angeshaondoka ccm, obama wa tanzania ndio kitu gani? Tanzania imeruhusu dual citizenship? Huyu mchizi kwa mujibu wa mtandao wa ccm uliompa jk urais ulisema ni raia wa oman na yuko na brother yake ni mwnajeshi kwa jeshi la oman hivyo hafai kuwa rais wa tanzania, siamini kama ccm ni mbwa anaeweza kula matapishi yake(salim ahmed salim).
 
'mtoto wa mjini jakaya' unawajua vizuri watoto wa mjini? we ndo kichefuchefu kabisa. Hii nchi sio familia acha ubwege,viva chadema viva

Kumbe kajamaa ni katoto ka mjini! Halaaaaaaaa! Mshamba,dhaifu,akili yake ndogo sana haifanani hata ya dogo wa form 4 mwenye dvn 4,aibu na janga kumcfia huyo mzee wa kwenda nje kwa mabasha wake.
 
Kwani swala walilo mzushia la kuhusika na kifo cha karume limeishia wapi 'hidsbora..." kama sijakosa? kwani hiyo siyo kashfa! CCM bwana wana chafuana vibaya sana wao kwa wao. maji yakiwafiak puani wanaanza kulambana miguu. jama wapuuzi sana


Mi ntashangaa kama atawakubalia ombi lao teh he he...
 
Kwa nini Tanzania itake Obama-clone na si rais wake?

Kwa nini Tanzania isitake rais ambaye anaweza kuigwa na Wamarekani?

Yaani tunajiweka wenyewe kwenye makucha ya ukoloni kabla hata Wamarekani hawajaanza!
 
Wadau mnamuonaje Dr. Salim, kwa uadilifu wake na taswira na haiba yake Kitaifa na Kimataifa haimtoshi kuongoza Nchi yetu ya Tanzania kwenye ngazi ya Urais?

Tatizo ni kuwa WaZanzibari hawampendi wanamwita MWARABU; Hawapendi UARABU wake haufai... lakini Wanapenda kweli kuitwa kuwa wao ni Waarabu wa OMAN; it is shocking - this kind of discrimination...

Na ukiangalia Maalim Seif na Salim Ahmed Salim wana Undungu; Sasa ni kivipi Maalim Seif awe anakubalika Zanzibar pamoja na kuwa yeye ni Mpemba na Salim Salim kuwa na Undugu na Maalim na ni wa Pemba hakubaliki huko Zanzibar?

Unajua There is no vaccine to fight this kind of Racism and no antibiotics to take. It's a dangerous and infectious virus, strengthened by indifference and inaction... But, Salim angekuwa Rais mzuri sana...
 
Tatizo chama alichomo; 2010 walimkataa kiulaini kabisa bila hata aibu! Kwenye chama chake uwezo wake mkubwa na uadilifu wake uliotukuka ni kikwazo!

Kweli Kamanda basi waache wivu kwa Chadema na Dr.Slaa wetu watuachie jumba jeupe likiwa salama 2015.
 
CCM hatuna tabia ya kuteua mgombea wa kiti cha Uraisi kabla ya uchaguzi huru na wa haki. Hayo mambo ya kumteua mgombea wa Uraisi kabla hata ya uchaguzi yapo CHADEMA.

Right candidate ni yule atakayechaguliwa baada ya uchaguzi wa ndani ya chama chetu.

Umemaliza mkuu, Ccm ime contain watu wa kutosha wanaoweza kusimama na kuwakilisha taifa letu kitaifa na kimataifa.
Ccm sio wabakaji wa democracy kama cdm.
 
Back
Top Bottom