Dr Rioba, uelewa wako una walakini

Dr Rioba, uelewa wako una walakini

Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa katika miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????

Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.

Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
Elimu yake pia ni ya kuunga unga jamaa sio mzuri kielimu.

Alipata u-dr huku chini aliunga unga kijanja mno!
 
Wanakulupuka tu, reli ijengwe kwa miaka 120? Kweli Rioba akili yake imetatizika.
 
Wote hata babu zenu walikuwa hawajazaliwa,mnasoma vitabu vya history kama hadithi,inategemea pengine wewe umesoma kitabu tofauti na alichosoma Dr Rioba,watunzi tofauti,si kwamba elimu yake inamashaka
Ina mashaka huenda hata yako pia, chukua 1920-1800= 120. Kwa akili yako mradi unawezwa kujengwa kwa miaka 120?
 
Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa katika miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????

Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.

Dr unanitia wasi wasi elimu yako!

Mimi sioni alikokosea maana huo mwaka uliotaja uko ndani ya kipindi alichotaja. So shida iko wapi sio lazima ukumbuke exactly date na years lakini ukisema miaka fulani ndani humu sioni shida.
 
Mkuu mtu akiwa msomi, kiwango cha Phd, na ni mwanahabari mbobezi, tena kiongozi wa chombo muhimu kama TBC, we demand nothing short of the best in academic knowledge and hence output and public performance.
 
Elimu yake pia ni ya kuunga unga jamaa sio mzuri kielimu.
Alipata u-dr huku chini aliunga unga kijanja mno!
Mkuu Wyatt Mathewson, hakuna kitu kizuri na kinachojenga heshima kama kusema kitu unachokijua!, ukisema kitu unachodhani unakijua na kumbe hukijui, wakiwemo humu wanaokijua, wanakuona wewe ni mjinga. Ukiwa hujui na hujui kuwa hujui, wewe ni mjinga, ukijulishwa utajua na ujinga utakutoka. Naomba kuchukua fursa hii kukujulisha ili kukutoa ujinga.
Nimesoma na Dr. Rioba Ilboru High School, naamini unajua what it takes kuingia Ilboru!, mtu yoyote anayesoma Ilboru hii sio shule ya kuunga unga!.
Alipomaliza enzi hizo Tanzania hatuna degree yoyote ya media, Ayub alifumua Div. 1 safi akaenda Makerere University kufanya BA in Mass Communications, Makerere sio chuo cha kuunga unga!. Alipomaliza akarudi bongo na kuajiriwa kwenye media mbalimbali, ikiwemo Daily News!, katika media za Tanzania, kuajiriwa Daily News sio media ya kuunga unga!. Kisha akaenda Cadif, University of Wales nchini Uingereza kufanya MA ya Journalism. Aliporudi akajoin UDSM, School of Journalism and Mass Communications, as a lecture, kwatika vyuo vikuu vya Tanzania, UDSM sio chuo cha kuunga unga!. Akiwa hapo akaenda University of Tampere inchini Finland kufanya Ph.D, hii pia sio university ya kuunga unga!. Mpaka anateuliwa kuwa DG wa TBC, alikuwa ni Associate Dean akisubiri tuu kupewa u profesor awe dean kamili!.

Next time kama kitu hukijui, ni bora ukae kimya kuliko...
P
https://www.linkedin.com/search/res..._profile_view_base-background_details_company
 
Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa katika miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????

Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.

Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
Mkuu
Jidu La Mabambasi, kwa heshma na taadhima, mtu unapojinasibu humu kuwa ni msomi, mhandisi halafu ukaleta hoja za ukilaza wa chekechea ni kujiabisha tuu, kumbe Jidu ni kilaza hivi!. Kwa kukusaidia tuu, Reli ya Kati sio reli ya kwanza kujengwa Tanzania, reli ya kwanza ni Reli ya Tanga ilianza kujengwa mwaka 1891 kwa feasibility study na Construction of the mwaka 1896 by mwaka 1902 ilifika Korogwe, ikafika Mombo mwaka1904 na kufika Moshi mwaka1912!. Tena tuzizungumzie Zanzibar reli ilijengwa toka mwaka 1880 to 1888!.

Mtu yoyote anayejinasibu kuwa msomi, baada ya kumsikiliza Dr. Rioba kabla ya kuja humu angejiridhisha kwanza apate uhakika ndipo aje humu na sio kukimbilia kumwaga upupu na kujiita msomi kumbe ni msomi kilaza!.

Kwa kukusaidia tuu na hawa vilaza wengine humu wanaokuunga mkono kilaza wewe
1891, the Eisenbahngesellschaft für Deutsch-Ostafrika (English: Railway Company for German East Africa) was established, with the goal of building a railway from Tanga in Tanganyika to the hinterland. For that, and subsequent, main lines in the German colony, the gauge selected was 1,000 mm (3 ft 3 3⁄8 in) metre gauge. In addition, light railways were developed for individual Tanganyikan sisal plantations in narrower gauges, usually 600 mm (1 ft 11 5⁄8 in) gauge.

The construction of the Usambara Railway, from Tanga to the hinterland, began in 1893. However, the company building that railway went into bankruptcy after two years. At that stage, only 40 km (25 mi) of track had been completed, as far as Korogwe. The treasury of the colony then took over the project in 1899. Four years later, in 1903, it issued an Order for further construction. Subsequently, there were other attempts to operate the railway on an economically and juristically stable footing.

In 1904, the smaller railways received a boost. Meanwhile, in Germany, the Sigi-Eisenbahngesellschaft (English: Sigi Railway Company) was established, with the objective of constructing one of the narrow gauge railways branching off the Usambara Railway, the Sigi-Bahn,[1] in 750 mm (2 ft 5 1⁄2 in) gauge. The same year, 1904, the Ostafrikanische Eisenbahngesellschaft (English: East African Railway Company) (OAEG) was formed to promote a railway from Dar es Salaam in the direction of Lake Tanganyika, the Zentralbahn (English: Central Line). Kigoma was reached on 2 February 1914, on the eve of World War I.

Dr. Rioba was very right!, kitu kikifanyika miaka 1800, ni 1800s hata kama ni 1899!.
P
 
Wote hata babu zenu walikuwa hawajazaliwa,mnasoma vitabu vya history kama hadithi,inategemea pengine wewe umesoma kitabu tofauti na alichosoma Dr Rioba,watunzi tofauti,si kwamba elimu yake inamashaka
Kwa hiyo kuna kitabu kimoja kimeandika uwongo..???
 
Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya
Hehee angesema imejengwa miaka ya 1950 ungekua na haki ya kufungua thread
Kwa sisi wapenzi wa fasihi simulizi,Dk Rioba yupo sahihi tu labda kama una lako
 
Mtu yoyote anayejinasibu kuwa msomi, baada ya kumsikiliza Dr. Rioba kabla ya kuja humu angejiridhisha kwanza apate uhakika ndipo aje humu na sio kukimbilia kumwaga upupu na kujiita msomi kumbe ni ms
Ni Tanzania tu,utakuta kilaza anahoji usomi wa phd holder! ~Dk.Harrison Mwakyembe
 
Ukishakuwa TBC tu, unang'olewa akili, TIDO aligoma kung'olewa akili. Akafukuzwa kazi na KESI juu, pole RYOBA.
 
Hehee angesema imejengwa miaka ya 1950 ungekua na haki ya kufungua thread
Kwa sisi wapenzi wa fasihi simulizi,Dk Rioba yupo sahihi tu labda kama una lako

Historia imetaja mpaka miaka ya ujenzi wa reli , wewe unasema fasihi simulizi,

TUKUELEWAJE?

Na wewe ni KILAZA?
 
W
Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa katika miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????

Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.

Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
Watu mnapenda kujimwambafai, ingependeza kweli endapo ungeleta rejea yako na ukurasa husika wa kitabu ulichosoma ili kuweka usahihi wa andiko lako. Nikukumbushe tu kua Mhandisi hakukupi alama za utambuzi wa mambo kwa ufasaha, Dunia ya leo tunasimama katika uelewa wa mambo na sio taaluma uliyosoma.
 
Mkuu Wyatt Mathewson, hakuna kitu kizuri na kinachojenga heshima kama kusema kitu unachokijua!, ukisema kitu unachodhani unakijua na kumbe hukijui, wakiwemo humu wanaokijua, wanakuona wewe ni mjinga. Ukiwa hujui na hujui kuwa hujui, wewe ni mjinga, ukijulishwa utajua na ujinga utakutoka. Naomba kuchukua fursa hii kukujulisha ili kukutoa ujinga.
Nimesoma na Dr. Rioba Ilboru High School, naamini unajua what it takes kuingia Ilboru!, mtu yoyote anayesoma Ilboru hii sio shule ya kuunga unga!.
Alipomaliza enzi hizo Tanzania hatuna degree yoyote ya media, Ayub alifumua Div. 1 safi akaenda Makerere University kufanya BA in Mass Communications, Makerere sio chuo cha kuunga unga!. Alipomaliza akarudi bongo na kuajiriwa kwenye media mbalimbali, ikiwemo Daily News!, katika media za Tanzania, kuajiriwa Daily News sio media ya kuunga unga!. Kisha akaenda Cadif, University of Wales nchini Uingereza kufanya MA ya Journalism. Aliporudi akajoin UDSM, School of Journalism and Mass Communications, as a lecture, kwatika vyuo vikuu vya Tanzania, UDSM sio chuo cha kuunga unga!. Akiwa hapo akaenda University of Tampere inchini Finland kufanya Ph.D, hii pia sio university ya kuunga unga!. Mpaka anateuliwa kuwa DG wa TBC, alikuwa ni Associate Dean akisubiri tuu kupewa u profesor awe dean kamili!.

Next time kama kitu hukijui, ni bora ukae kimya kuliko...
P
https://www.linkedin.com/search/res..._profile_view_base-background_details_company

Anaejifanya kujua personal affairs za watu binafsi ndio anajua eti anajua

Umesoma nae Ilboru tu,hayo mengine unahisi

U got no proof of all others apart from Ilboru tu!

Thank you!
 
Back
Top Bottom