Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,602
- 28,579
- Thread starter
- #21
Usi confuse na panic, kama madaktari, brain inapokuwa na kasi zaidi ya vidole.Sawa msomi, naona tayari umepanic hadi unakosea kuandika kwakutetemeka....tehteehh
Ama kweli shuzi likipata mjambaji, nisawa na pele likipata mkunaji...![]()
![]()
![]()
![]()
Na mwandiko haujawahi kuwa mzuri.
Facts man, facts rule!