Dr Rioba, uelewa wako una walakini

Dr Rioba, uelewa wako una walakini

Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa na miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????

Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.

Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
Unapimaje uelewa Kwa mtu kurejea machapisho ya kale..?

Uelewa haupimwi hivyo
 
Wewe ndiyo mgumu kuelewa, ukiambiwa miaka ya 1800 waliyosoma history hupenda kuandika 1800's. Hii humaanisha kitu kinachosemwa hapo kimetokea kati ya mwaka 1800 hadi 1899.

Waliyosoma kombi zenye kuchukua somo la History kama vile HKL, HGL na nyinginezo. Hutumia 1800's kutaja mwaka kama sehemu hana uhakika ni mwaka gani hasa ingawa ilitokea kati ya 1800 na 1899. Hata muwekaji alama humpa pasipo kumkata maksi, maana yupo sahihi.

Hivyo alosema miaka ya 1800 yupo sahihi, huyo mtoa mada aliyesoma uhandisi hawezi kuelewa hilo, aulize kwanza kabla ya kukosoa.
Kama DR alimaanisha hivyo yupo sahihi, mtoa mada kakosea
Nakuunga mkono sisi wengine tulisoma ngumbaru. Heri yenu mlioliona darasa.
 
Kukosa umakini katika facts, inaleta hisia za mapungufu katika uelewa.

Ukija leo na ukaniambia Tanzania(na si Tanganyika), ilipata uhuru miaka ya 1960s, nitakutilia mashaka usomi wako.
Hasa kama ni Dr wa Phd.
Sawa. Katika hili Watanzania wengi wanakosea. Mwezi ujao tuna sherehe. Sikiliza na angalia hili halafu njoo utukumbushe humu jamvini
 
Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa na miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????

Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.

Dr unanitia wasi wasi elimu yako!
Majitu yote ya Awamu ya 5 ni malaghai mkuu...laghai na.1 akiwa "mamlaka yao ya uteuzi". Na sababu kubwa ni kwamba na.1 alisukumiziwa tu kazi asiyoimudu!
 
Ujenzi wa reali kipindi cha ujeruman nikuanzia mwaka 1885 baada ya mkutano wa Berlin confrnce,ujenzi huo uliendelea hadi mwaka 1918 baada yahapo ujeruman alinyanganywa makoloni yake Tanzania ikiwa nimojawapo,
 
Wote hata babu zenu walikuwa hawajazaliwa,mnasoma vitabu vya history kama hadithi,inategemea pengine wewe umesoma kitabu tofauti na alichosoma Dr Rioba,watunzi tofauti,si kwamba elimu yake inamashaka

Kama Dr mzima anashindwa kufanya "fact checking"; kabla ya kwenda public ana walakini! Labda kama alisoma kitabu alichoandika mwenyewe bila kufanya basic research, vinginevyo ukweli ni kwamba reli ya kati ilianza kujengwa 1905 mpaka 1914 period.
 
Wewe jamaa ni zero.. Kwahiyo tukisema Nyerere alikufa 1999 unaweza kusema itategemea na kitabu ulichosoma..?! Kweli wewe ni mbumbumbu
kwa hiyo umepanic nini hata kama wewe umesoma history kuwa mpole.
Swali langu ni huo mwaka 1905 ulikuwepo ? Hatujaongelea kuhusu Nyereee hapa, tuko na reli kwanza.
 
Mtajuana wenyewe msitusumbue na kutuchosha, sasa hivi akili zetu Watanzania zipo katika Kongamano la Kusifu na Kushindwa Kukaa vizuri katika ' benchi ' kwa Amber Rutty Mahakamani.
Hahaha point.
 
Ha ha haaaaa,akaongezea na lugha ya chemistry,kaunganisha maneno kama kumi hivi,kukazia hoja yake kuwa yupo vizuri kwenye lugha ya malkia
hahaa inaonekana ni mdau wa history ndio maana alitaka kutetea kwa nguvu zote, japo bado naona wanavyopishana pishana wenyewe kwa wenyewe.
Mimi nimewaachia mambo ya history sio mdau nitaishia ku-google tu.
 
Nimesikia katika kipindi TBC DK 15 zilizopita, Dr Rioba akisema Central Railway ilijengwa na miaka ya 1800 hadi miaka ya 1920 na kitu , na wajerumani ????

Mimi ni muhandisi na historia yangu ya msingi najua ujenzi wa Cetral Railway ilianza 1905 hadi 1914, na utawala wa wajerumani ulikoma 1918 baada ya vita kuu ya kwanza.

Dr unanitia wasi wasi elimu yako!

Sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamu.
 
Absolutely
Wote hata babu zenu walikuwa hawajazaliwa,mnasoma vitabu vya history kama hadithi,inategemea pengine wewe umesoma kitabu tofauti na alichosoma Dr Rioba,watunzi tofauti,si kwamba elimu yake inamashaka
 
Unapimaje uelewa Kwa mtu kurejea machapisho ya kale..?

Uelewa haupimwi hivyo
Ninyi ndo inaelekea mlisoma lakini hamkuelimika.
Hesabu iliyo kitabuni ya,
10.5x3.0= ya mwaka 1850
Inatofutiana vipi na,
10.5x3.0= ya mwaka 1918?
Usiniambie uchekechea jamvini.
 
Ninyi ndo inaelekea mlisoma lakini hamkuelimika.
Hesabu iliyo kitabuni ya,
10.5x3.0= ya mwaka 1850
Inatofutiana vipi na,
10.5x3.0= ya mwaka 1918?
Usiniambie uchekechea jamvini.
Kwikwikwiii...

Sorry I didn't know kwamba hujui tofauti Kati ya kuelewa na kukariri

Wewe umekariri... Because 1890 au any year or number huwa tunakaribia, haihitaji uelewa because there nothing than fact(uals)

Kuelewa includes internalization, further analysis and deducing the info for future use

Huwezi kuelewa birthday, utakariri the dates
 
Without an argument, it takes a stupid person to say so.
Why should I waste my valuable time to discuss a person? Ujinga mtupu.. Tanzania ina matatizo lukuki yanayohitaji majawabu sio huu ujinga mnaoanzishia thread kila siku.
 
Kwikwikwiii...

Sorry I didn't know kwamba hujui tofauti Kati ya kuelewa na kukariri

Wewe umekariri... Because 1890 au any year or number huwa tunakaribia, haihitaji uelewa because there nothing than fact(uals)

Kuelewa includes internalization, further analysis and deducing the info for future use

Huwezi kuelewa birthday, utakariri the dates
I thought you were better than this!
 
Back
Top Bottom