Jaribu uoneNi kawaida tu mtu kuondolewa kama uliwekwa, na siyo kwamba umeondolewa eti kwakuwa ulikosana na fulani ambaye hana hata ushawishi kwa boss wako. Mnawaamini watu mpaka mnawapa uwezo kimungu kwamba eti ukikosana nao basi - UPUUZI MTUPU
NyumbxJaribu uone
na tapeli pia umesahau sasaMuhongo dalali mkuu
na watu wake ndani..watu wna roho mbaya sanah kwkweli jamani..kma magomeni nyumba imeuzwa na watu ndani jamaniAmedalalia nchi huyo
na hilo mie nilikuwa naliwaza sanah ...ishu sio kufukuzwa kazi na pia akafie jela tu..na mali kutaifishwAkalime jela
msomi ndo mwizi sasa wapi na wapi sasa....ndo maana nawaambiaga watu kuwa angalia kichwa chako usije ukasoma sanah ukawa chizi bure na tapeli kama hao..profesa mzima mwizinikikumbuka kauli za muhongo dhidi ya wa-tz siamini kama leo hii ni yeye amechafuka hivyo. eti mitaji ya watanzania ni ya kuwekeza kwenye matunda na juice. alijaa dharau kupitiliza mpaka akataka kutoa CV ya ole sendeka kwamba ana elimu ndogo kushinda yeye msomi!
sasa wale askari wenu waende wakapige risasi huko sio kwa raia wema bwanah...au walle wanaopaki gari vbaya..huko ndo risasi zinahtajika haswaaaWahenga waliwahi kunena kuwa unaweza kumdanganya mtu mmoja kwa wakati mmoja, lakini ni vigumu kuwadanganya watu wote kwa wakati wote....ulafi wa kupindukia na wa bila soni umewaponza na utawahukumu.
Ni kawaida tu mtu kuondolewa kama uliwekwa, na siyo kwamba umeondolewa eti kwakuwa ulikosana na fulani ambaye hana hata ushawishi kwa boss wako. Mnawaamini watu mpaka mnawapa uwezo kimungu kwamba eti ukikosana nao basi - UPUUZI MTUPU
Basi natabiri na wewe lazima ULALE tu huwezi kukaa siku TATU bila KULALA - Utalala tu.Kama ulishindwa kuamini yaliposemwa hayo kipindi kile na mifano watu wakatoa, hata hili la picha ya kwenye TV huamini?!! Lilikuwa ni suala la muda tu, yametokea sasa Muhongo chali...! Chezeya Mengi weye!!
Baada ya kuadhibiwa rasmi, sasa tumsamehe.Mkuu kweli una orodha ndefu ya jamaa waliopishana na Mengi.
Lakini cha kusisitiza kwa Mengi ni kwamba ana down to earth touch.
Huyu anaombewa sana na wale albino na vilema na watu msikini.
Na si kwamba ni mtakatifu, la hasha.
Hata akiongea juu ya wajasiriamali wa kitanzania kuwezeshwa , wengi ya walio serikalini hawamuelewi kabisa.
Huyu Muhongo ndo akapitiliza, na kudharau watanzania wajasiriamali wote kuwa ni wenye upeo wa kutengeneza juisi tu.
Wengi hatukumsamehe Muhongo kwa matusi hayo.
yametimia.Mengi sasa anatumika kupenyeza chuki zake kwa Mhongo Mengi kaapa atahakikisha mhongo anang'oka kwa gharama yeyote,Mengi ni mpenda ligi sana.
Kumbe kuna watu mlikuwa mnawajua hawa madalali tangu kitambo?.Wote madalali tu, sema position ya Muhongo ilkua rahisi kudalali ingawa ni hatar. Ila Mengi ndo adhan kauwin udalali mnh, asijiachiee
Mzee Mengi will catch him.. It's just matter of time..Hatimaye muda wa tukio hili ndio huu umewadia.
Watu walio karibu na huyu Dogo wa Darisalsama, wamtahadharishe dogo, siku zake zinahesabika.
P.
Hili la mchanga wa dhahabu alipaswa alielewe fika.Baada ya kuadhibiwa rasmi, sasa tumsamehe.
P