Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?


Ni kweli huyo Mzee Mengi huwa anapenda Ligi sana na Mara nyingi hutumia Mapesa kibao ili apate Ushindi, Mengi ana Mengi maovu Kama lilivyo jina lake aliwahi kukopa NBC bank kisha wakachoma nyaraka ili kuficha ushahidi hatinae NBC ilifirisika ikaja kuokolewa na Uwekezaji, Mengi anawalipa wafanyakazi wake mishahara Mibovu huku akitumia Pesa nyingi kwenye Fitina juu ya Prof Mhongo Kisa eti amemnyima asifanye Udalali vitalu vya Gesi. Huyo Mengi huanzisha jambo kisha hutengeneza mazingira ya kupata huruma za Wananchi, ampapo wengi huingia kichwa kichwa kumtetea Mengi pasipo kujua kuwa Mengi ni Dalali na Hana Uchungu na Pesa za walipa Kodi bali yeye anaangalia masilahi yake.
 

Mengi ni Dalali wa Vitalu vya Gesi Pia ni Bingwa Mtetezi wa Fitna na Uchonganishi hapa Tz , sasa kaungana na mkono wapo busy wanapika mbinu za kumgaragaza prof Mhongo kwa kuwatumia Sendeka na Kafulila ambao wamevuna Pesa nyingi toka kwao kwa Lengo la kuwafurahisha na kutimiza lengo la kumng'oa Prof mhongo.
 
Wenye Uchungu na Pesa za Tz si Mengi wala Mkono , wenye Uchungu ni Wananchi pekee, Mengi na mkono ni madalali wenye kuangalia masilahi Yao tu kisha wanataka wananchi wawasaidie ! Na sasa wapo Wananchi hawajui kuwa Mengi ni Dalali wa Vitalu vya Gesi na kila Kiongozi aliyewahi kugusa masilahi yake hutumia mapesa lukuki kuhakikisha anaanguka.
 
Ushahidi umeungua na moto mtu anakamatwa vipi? au unadhani kina zito na kamati zao walikuwepo zamani?... Hebu nenda kalale pimbi wewe hujui ulisemalo.

Mengi Pia aliifirisi NBC Bank baada ya kukopa mapesa kibao kisha wakachoma ushahidi Bank ikafirisika ikaja kufufufuliwa na Uwekezaji, Mengi ana Mengi maovu Kama lilivyo jina lake, Mengi ni Dalali wa Vitalu vya Gesi
 
Muhongo anaweza kuwa mchafu lakini haina maana Mengi ni msafi...lazima tutofafutishe uzawa na ubinafsi.Mengi ni mbinafsi
 
Hivi zecomedy nao wamemalizika?
 

Share hushuka na kupanda bei kutegemea mambo mengi.
Singa alinunua share 7 kutoka kwa Mechar na piper.
Mechar tayari walisha filisika na kampuni ilikua inafungwa na ilikua na zigo la madeni kuliko assets zake hivyo haikua na thamani tena .
Singa ameinunua akaweka mikakati ya kibiashara kuifufua IPTL ndio maana hisa zikapanda thamani na pia Ruge amelipwa zaidi kwa vile alikua hataki kuachia na Singa hawezi kufanya kazi nae hivyo ili kum Buy out ilibidi apewe zaidi akitowe.
Hivyo suala hili technically si lamsingi
 

mengi sio dokta wangu kama unavyosema. namkubali tu kwa sababu ni mfanyabiashara aliyefanikiwa, na mie napenda biashara. ila sikubali hizo games anazocheza, anakera sana kulalamika hovyo. ni mtu wa kutafuta huruma na wa-tz wameshaleweshwa na huruma zake. prof muhongo namkubali kwa misimamo yake, nilifurahi aliposimamia ile deal ya ophir. sijakataa waziri kukutana na wawekezaji ofisini kwake, ila walichohoji PAC ni kwa nini afanye deal na singsinga ili hali jamaa hakuwa halali? na TRA walithibitisha hilo, mpaka sasa iptl ni hewa kwa kuwa pap ni hewa. pia sikupenda uongo aliozungumza bungeni ati hapakuwa na pesa za umma; kodi ni pesa ya mtu binafsi? TRA wamethibitisha kwamba kodi haikulipwa hasa na pap.
 
Muhongo alipaswa akiwa kama kiongozi kusikilizana vizuri kwa hoja na wawekezaji wazalendo sio kuwapiga vijembe vya kashfa
 
Mkuu funza mpala leo hii tarehe 30.11.2014 wafanyakazi wa Guardian hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili mfulilizo...uko sahihi kabisa chief
 
Sina mazoea ya ubishi ingawaje mimi ni mwanasheri na kazi ya sheria ni ubishi. Nakuachia ushindi , ila huko baadae utaelewa tu.
 
Waulize kina Kitenge Mwaipaya na wenzao watakuambia yule mzee ni mtu wa aina gani.. wewe ukiishia kutazama upara wake kwenye TV tu hutamuelewa mnyonyaji yule na mwizi yule aliyeichoma moto benki kuu enzi zake

Huyo mume wa jacqueline aka baba mapacha aka reginard mengi ni miongoni mwa mafisadi wakubwa kwa mujibu wa Abdul rassul rostam aziz pia yeye na muhongo ni majambazi wakubwa wa rasili mali za nchi hii.
 
Mkuu funza mpala leo hii tarehe 30.11.2014 wafanyakazi wa Guardian hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili mfulilizo...uko sahihi kabisa chief

Mengi kasahau kuwa watanzania wa sasa si wale wa Zamani ambao waliokuwa wakikariri migogoro binafsi ya Mengi na Watu wake kisha wanaamua kumtetea kwa speed kubwa, Wajanja wamezinduka sasa wanajua kuwa Mengi ni Dalali wa Vitallu Gesi na Ana Chuki kubwa kwa Prof a Mhongo baada ya kumnyima Vitalu vya Gesi.
 
Mengi mwizi na tapeli wa mali za watanzania.
 
Mwanzo nilikuwa nadhani watu wote hawajui kuwa mengi ni mpuuzi na mwizi ila anawalaghai watu kwa vitu vidogo vidogo wakati yeye anaiba mabilioni kumbe mpo baadhi ya watanzania mnamjua mengi vema nilidhani niko peke yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…